Jiji la dubai wakati wa usiku

nasikia Kigoma itakuwa hivi kabla ya 2015.
Kigoma haitakuwa hivyo mpaka waje viongozi wanaopenda Walala hoi na hiyo HaitawezekanaLabda tumrudishe muingereza au Mzungu yoyote anayependa maendeleo lakini sisi Waafrika Ndivyo tulivyo......... Mambumbumbu tu hatuna akili ya uongozi hata kidogo.........
 
pic09741mk5.jpg


Mi nimependa hiyo bara bara mazee five lane unategemea foleni itoke wapi? Kwa nin tusiwapeleke magamba wakasafishe macho huenda wakirudi watakuwa na akili nzuri?


Magamba waende mara ngapi wakati wanaishi huko huku wanakuja kutembea weekend nz kusaini kmikataba halafu wanaondoka
 
  • Thanks
Reactions: Aza
nasikia Kigoma itakuwa hivi kabla ya 2015.

thanks for the joke...

nasikia sheria za dubai haziruhusu kuishi g.f & b.f !! ... niliziona hizo info. kutoka kwenye dubai experts .... kipengele cha frequently asked questions ..
 
Pindi Magamba wakitoka madarakani ndo TZ tutakua na fursa yakuendeleza majiji na miji yetu hivi
 
Back
Top Bottom