Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,319
- 33,124
Itabidi tuende kwa Babu wa Lolilondo aombe dua ili viongozi wetu wawe na imani ya kutupatia umeme na matatizo ya umeme wa mgao yaishe tena tehtehetehetehwatugawie umeme basi......
Itabidi tuende kwa Babu wa Lolilondo aombe dua ili viongozi wetu wawe na imani ya kutupatia umeme na matatizo ya umeme wa mgao yaishe tena tehteheteheteh
Pamoja na kile kikombe cha Babu wa Lolilondo kuwa ni kidogo, lakini ningelikuwa mimi ndio Babu wa Lolilondo kila kiongozi anaye kuja kwangu ningeli muombea Dua awe na Mapenzi na huruma juu ya Raia wake anaoishi nao na ingelifika kwa Muhusika Muheshimiwahahahahah duuhh
wazani kikombe cha babu kitasaidia
kweli tatizo la umeme?
ni aibu kwa kweli tuna vyanzo
vingi vya kuanzisha umeme ...
umeme ulitakiwa usiwe shida kabisa TZ...
Anyway napenda kuamani kila kibaya
kama kilivyo kizuri kina mwisho wake ..
sante..
<br />Dubai usiku kunawakawaka but still kimji kidogooo,
Kweli mkuu,tatizo lililopo nchi yetu kubwa mno mikoa 31 wilaya 100 na kitu,watu milioni 40 na ushee,makabila 120 na ushee,ndio maana kuna sehemu akufikiki tangu tupate huru takriban miaka 50,sehemu kama mtwara tungewaachia msumbiji,ruvuma tungewaachia malawi,kigoma tungewaachia burundi,mbeya tungewaachia zambia,mara tungewaachia kenya,kagera tungewaachia uganda nadhani tungekabiliana na changamoto zilizopo
Dubai usiku kunawakawaka but still kimji kidogooo,
DUbai mbona mjukuu...nenda Tokyo ndiyo utajua bongo ni city ya karne ya ngapi[/QUOTE
Kwa hiyo hii ya Dubai haifai kipimisha na bongo mpaka aende Tokyo. mwenzio kaleta Dubai, wewe unasema Dubai mjukuu, au ndo tujue umeshafika Tokyo. Mimi mbona nimefika Dubai sijasema.
Mi nimependa hiyo bara bara mazee five lane unategemea foleni itoke wapi? Kwa nin tusiwapeleke magamba wakasafishe macho huenda wakirudi watakuwa na akili nzuri?