Jiji la Dar chini ya UKAWA latwaa tuzo ya dunia!

Jiji la Dar chini ya UKAWA latwaa tuzo ya dunia!

Haaaa haaaaa mmeanza kusifia na vitu ambavyo hamjavibuni nyie huu mradi ungekuwa ulibuniwa chini ya uongozi wa UKAWA jiji halafu ukashinda tuzo ulikuwa na haki ya kushangilia
 
Chadema ituoneshe kwenye ilani yake kuhusu hili...

Kwa upande wa CCM...Tuliahidi tunatekeleza na kuwaacha wafurahie matunda ya CCM .
 

Attachments

  • Screenshot_2017-07-01-14-42-38.png
    Screenshot_2017-07-01-14-42-38.png
    51.9 KB · Views: 30
  • Screenshot_2017-07-01-14-42-23.png
    Screenshot_2017-07-01-14-42-23.png
    46.2 KB · Views: 34
Hah hah hah Jingalao umeamua utafute kumbukumbu tukumbushie watu walivyotokwa na mapovu juu ya ujio wa MABASI YA MWENDO KASI.


Ama kweli hakuna anae penda sifa mbaya
Hawa jamaa wanapinga kila kitu ila kwenye kupokea sifa wanataka kutajwa wao!

Wizi mtupu!
 
Hivi unajua kuwa jiji la Dar liko ndani ya mkoa wa dar es salaam ila mkoa wa dar hauko ndani ya jiji la dar?
Refer london na greater london!
Kwani nani amebisha
Kuna Mkuu wa Mkoa na kuna Mkuu wa Jiji.
Jiji ndio limetwaa Tuzo
 
Kwani nani amebisha
Kuna Mkuu wa Mkoa na kuna Mkuu wa Jiji.
Jiji ndio limetwaa Tuzo
Jiji ni sehemu ya mkoa hivyo liko chini ya rais wake Makonda, huyo meya ni mtendaji, bosi wake ni rais wa mkoa PAUL MAKONDA aka Kiboko Yao (KY) kwa bavicha!
 
Jiji ni sehemu ya mkoa hivyo liko chini ya rais wake Makonda, huyo meya ni mtendaji, bosi wake ni rais wa mkoa PAUL MAKONDA aka Kiboko Yao (KY) kwa bavicha!
Ahsante kwa kuja Mama Bashite
Naona ume reffer KY kabisa.
Michezo yenu
 
Hahaaa jamani comed za humu! sipati picha! Ok JPM,Mungu amekuleta kwa nia fulani,,endelea bhana....
 
Kwenye mimba watoto warudi shule ipo kwenye ilani ya ccm lakini kwakuwa mwenyekiti wenu kapiga marufuku basi makada wote mnakana kuwa hilo sio la ccm,

Kwenye wizi wa madini kupitia mikataba uliofanywa na ccm leo mnasema ccm haihusiki ilihali yote yapo kwenye ilani zenu tangu 1995.

Kwenye tuzo ya jiji linaloongozwa na Ukawa mnalilia iwe ni sifa ya ccm, nyinyi mpo kama polepole alivyo...
Umewekewa ilani ya ccm hapa ikitaja haya yote yaliyofanyika dar! Tuwekee document inayoonyesha wapi chadema inazungumzia hili jambo la mwendokasi
 
Meya Isaya Mwita ameishaachana na siasa za CHADEMA Vs CCM.

Huwezi kumuona kwenye siasa za kijinga jinga kama alivyo Meya wa Ubungo, Boniface Jacob.

Meya Mwita amefahamu vizuri kuwa bila kushirikiana na serikali ya Mkoa hawezi kutimiza malengo yake.

Meya Mwita ni mmoja wa viongozi wachache sana ndani ya CHADEMA wenye, maarifa, hekima na busara.
Makonda na Gambo wao vipi?[emoji111]
 
Umewekewa ilani ya ccm hapa ikitaja haya yote yaliyofanyika dar! Tuwekee document inayoonyesha wapi chadema inazungumzia hili jambo la mwendokasi
Watakwambia wao ndio waliopigia kelele hili swala bungeni!! teh teh teh...wazee wa MIGA
 
Back
Top Bottom