Jiji la Dar chini ya UKAWA latwaa tuzo ya dunia!

Jiji la Dar chini ya UKAWA latwaa tuzo ya dunia!

Jiji la Dar es Salaam linaloongozwa na serikali ya Ukawa chini ya Meya wake Isaya Mwita limetangazwa kuwa jiji bora kwa usafiri wa haraka maarufu kama mwendo kasi.

Hafla hiyo imefanyika nchini Chile jana ishirikisha majiji tofauti duniani kwenye suala la Usafirishaji, ambapo sisi wanajiji la Dar tumeshinda kupitia BRT(BUS RAPID TRANSIT) yetu, ama unaweza kusemaa MWENDOKASI kama ilivozoeleka mjini.

Tumepiga hatua kubwa sana kwa BRT japokua reflection hatuioni nchini, Ila ukitoka nje ya nchi ndio mtazamo Mkubwa sana upo Kwa hii Nyanja ya Usafirishaji.

Heko kwa Meya wa Jiji, Heko kwa Chadema, Heko kwa Cuf, Heko kwa Nccr Mageuzi, Heko kwa NLD, Heko kwa Rais Mstaafu Kikwete, Heko kwa wakazi wa Dar akiwemo rais Magufuli mlioamua kwa ridhaa yenu kuipa dhamana UKAWA kuongoza jiji la Dar.

Na Yericko Nyerere
View attachment 533560
Teh! Teh! Teh! Acha fujo wewe
 
makubwa haya....kweli chadema mpauko......
 
Yericko acha ukipofu,Mwendokasi ni mradi ulioanzishwa na serikali ya CCM,hao Chadema hawajui hata thumni ya mradi huo,kwa hiyo kutoa pongezi kwenu ni uongo wa mchana na kwa kuwa wapenda uongo hakuna anayewaamini hata mtakaposema ukweli.Kama sifa basi kama kawaida ya maendeleo kwa nchi hii CCM ndio inastahili pongezi kwa utekelezaji wa ilani zake,nina wasiwasi hata flyover zinazojengwa Dar mtakuja kujisifia kuwa Chadema na Ukawa yenu ndio mliojenga wakati hata kwenye sherehe za kuweka mawe ya msingi mlisusa.Kwenye misifa mnakuwa wa kwanza lakini kwenye utendaji hatuwaoni.
 
Kwamba BRT iko Dar es Salaam, sawa. Lakini kwamba uongozi wa sasa wa jiji una mchango wowote kusimamia BRT, hapana. Na huo ndio ukweli.
Huyo ndio kilaza Yericko,hatumshangai anapenda kiki za kijinga
 
Hata Hosteli za Mlimani mtadai za Chadema ndio wapewe sifa
 
Mwendokasi upinzani hasa ukawa hawana hata tone la mchango zaidi ya kelele za kuupinga, mradi ulianzishwa muda wa JK na mpaka sasa serikali ya JPM chini ya DART ndo wasimizi wa mradi wa BRY. ukisikia kusafiria nyota ya wenzako ndo hii.
Ps: siku hizi card za mwendokasi hawakupigi?? Au ulikuwaga ni ushamba wako?
Yericko Nyerere.
Kumbe wapinzani hawalipi kodi nchi hii...maajabu! Sasa ya nn CCM wanakosa uc.ngizi kwa mambo madogo wakati Ukawa wanatekeleza mipango yao.
 
Mkuuu [emoji87] [emoji87] kes ikikuangukia mi simo
Ooooh!!![emoji125] [emoji125] [emoji125]
Ohhooooo.......[emoji134] [emoji134] [emoji134]
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Meya Isaya Mwita ameishaachana na siasa za CHADEMA Vs CCM.

Huwezi kumuona kwenye siasa za kijinga jinga kama alivyo Meya wa Ubungo, Boniface Jacob.

Meya Mwita amefahamu vizuri kuwa bila kushirikiana na serikali ya Mkoa hawezi kutimiza malengo yake.

Kuna baadhi ya viongozi ndani ya CHADEMA wanamtaka afanye mapambano ya kijinga/kipumbavu na serikali ya Mkoa wa Dar es Salaam lakini amewakatalia.

Meya Mwita ni mmoja wa viongozi wachache sana ndani ya CHADEMA wenye maarifa, hekima na busara.
Anamwakilisha vizuriiii mtalaam Chacha wangwe,,, mwita piga kaz wanadrlesalaam waliyokutuma,, achana na matamko ya kubadli gia ang'an
 
Chadema ituoneshe kwenye ilani yake kuhusu hili...

Kwa upande wa CCM...Tuliahidi tunatekeleza na kuwaacha wafurahie matunda ya CCM .
Hata Siku ile Raisi magufuri alikuwa anazindua ujenzi wa fly over ubungo akiwa Na Raisi wa benk ya dunia ambaye alilidhia kutoa Pesa za ujenzi wa Fly over Ubungo, Pamoja Na Ujenzi wa barabara ya Mwendokasi Awamu ya Pili(mbagala) Na Tatu (G/mboto) na fedha hizo zimeisha wasili tayari kwa utekelezJi. Siku hiyo Raisi na Mgeni wake walisari kwenda Ubungo kwa basi LA Mwendokasi. Mh Raisi bila hiyana akaeleza maendeleo hayana Chama akamtaka mbunge wa Ubungo asalimie wananchi Pamoja na mgeni kutoka Benk ya Dunia jamaa hawakutokea . Leo Dunia inasifia wanasema wamefanya WAO [emoji23] [emoji23] [emoji23] jamani hataka kama kusoma hatujui hata Picha hatuioni. Kweli wameishiwa UKAWA. Wakati Raisi yupo bize na maendeleo ya wananchi WAO walikuwa bize kumshinikiza Raisi amtoe mkuu wa mkoa eti bashite. Raisi akaona ngoja awaambie ukweli yeye apangiwi . matokeo YAKE wamegoma kumpa ushirikiano Makonda kwenye Midia rakini Makinda bado anapiga KAZI za maendeleo ya mkoa wake ambayo sisi wananchi ndio tu nataka . Huu ni Muda wa kufanya KAZI Siasa hadi 2020. Mheshimiwa Makonda wana DSM tunakuomba usimamie ujenzi wa awamu hizo ya Pili na Tatu Mwendokasi zije na huku kwetu.Dunia izidi kutupongeza zaidi UKAWA waende kwenye sherehe tu nyie fanyeni KAZI tu.[emoji120]
 
Ohhooooo.......[emoji134] [emoji134] [emoji134]
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Waaaaaa[emoji15] [emoji15] [emoji14] [emoji14]
Na ww umekimbia sasa
Utaiweka jf kwa shda ujue
[emoji87]
 
Hongera sana RC Paul Makonda kwa juhudi zako kwa kushirikiana na wana dar es salaam na mwishowi kupata tuzo hii.
Hongera sana, Mungu akubariki katika utumishi wako kwa ajili ya jiji na Taifa kwa ujumla.
 
Back
Top Bottom