Jiji la Dar chini ya UKAWA latwaa tuzo ya dunia!

Jiji la dar limepata tuzo sawa lkn tuzo hiyo haijatokana na mchango wa kuwa chini ya ukawa.

Kama nakosea nielekezwe jinsi uongozi huu ulivyoshiriki kufanikisha mradi huo wa usafiri wa haraka
 
Jiji la Dar es Salaam linaloongozwa na serikali ya Ukawa chini ya Meya wake Isaya Mwita limetangazwa kuwa jiji bora kwa usafiri wa haraka maarufu kama mwendo kasi.

Hafla hiyo imefanyika nchini Chile jana ishirikisha majiji tofauti duniani kwenye suala la Usafirishaji, ambapo sisi wanajiji la Dar tumeshinda kupitia BRT(BUS RAPID TRANSIT) yetu, ama unaweza kusemaa MWENDOKASI kama ilivozoeleka mjini.

Tumepiga hatua kubwa sana kwa BRT japokua reflection hatuioni nchini, Ila ukitoka nje ya nchi ndio mtazamo Mkubwa sana upo Kwa hii Nyanja ya Usafirishaji.

Heko kwa Meya wa Jiji, Heko kwa Chadema, Heko kwa Cuf, Heko kwa Nccr Mageuzi, Heko kwa NLD, Heko kwa Rais Mstaafu Kikwete, Heko kwa wakazi wa Dar akiwemo rais Magufuli mlioamua kwa ridhaa yenu kuipa dhamana UKAWA kuongoza jiji la Dar.

Na Yericko Nyerere
View attachment 533560
hapa yericko tumeanza kupigana fix mchana kweupeeeeee, bila shaka hao jamaa walikuwa wanaigiza
 
Kwamba BRT iko Dar es Salaam, sawa. Lakini kwamba uongozi wa sasa wa jiji una mchango wowote kusimamia BRT, hapana. Na huo ndio ukweli.
Uko sahihi sana mara ya kwanza kuona matumizi ya hii barabara nilitoa heshima zangu kwa kikwete na mtu aliyetoa wazo ila kwamba tuko bora kiasi hicho hapana nadhani bado iko safari ndefu kufikia miundo mbinu ya cape town pretoria durban na kule north africa tena bado sana
 
Dah sikujua kama katoa yericko hii post maana nadhani jama ni mkubwa kuliko mtizamo mdogo sana aliotoa kuhusu BRT
 
Jiji la Dar es Salaam linaloongozwa na serikali ya Ukawa chini ya Meya wake Isaya Mwita limetangazwa kuwa jiji bora kwa usafiri wa haraka maarufu kama mwendo kasi.

Hafla hiyo imefanyika nchini Chile jana ishirikisha majiji tofauti duniani kwenye suala la Usafirishaji, ambapo sisi wanajiji la Dar tumeshinda kupitia BRT(BUS RAPID TRANSIT) yetu, ama unaweza kusemaa MWENDOKASI kama ilivozoeleka mjini.

Tumepiga hatua kubwa sana kwa BRT japokua reflection hatuioni nchini, Ila ukitoka nje ya nchi ndio mtazamo Mkubwa sana upo Kwa hii Nyanja ya Usafirishaji.

Heko kwa Meya wa Jiji, Heko kwa Chadema, Heko kwa Cuf, Heko kwa Nccr Mageuzi, Heko kwa NLD, Heko kwa Rais Mstaafu Kikwete, Heko kwa wakazi wa Dar akiwemo rais Magufuli mlioamua kwa ridhaa yenu kuipa dhamana UKAWA kuongoza jiji la Dar.

Na Yericko Nyerere
View attachment 533560
wewe yeriko nyerere hakika ni mtu asiye na aibu. meya wa dar na ukawa wana mchango gani kwa mafanikio ya dart hadi kuleta makidai ya kisiasa. wa kujidai hapo ni jk pekee waziri wake wa ujenzi jpm au ukipenda awamu numero quarto. huyo meya wa ukawa kaja na kuruhusu bodaboda na bajaji kuingia katikati ya jiji na kuongeza msongamano wakati wenzake wanajitahidi kuondoa. mjinga tu hajui.
 
ukitaka kupata kichekesho kama hiki tuma pm kwa yeriko.

nadhani uliandika kwa mantiki ya kujifurahisha mkuu.
 
Naheshim bidii kubwa ya UKawa ila kwenye hili hapana aisee lazima turuhusu akili kuwaza vema ukawa mchango hapa ni mdogo sana
 
Hii n kaz nzr ya mtoza hela wa kwenye daladala
 
Jiji la Dar es Salaam linaloongozwa na serikali ya Ukawa chini ya Meya wake Isaya Mwita limetangazwa kuwa jiji bora kwa usafiri wa haraka maarufu kama mwendo kasi.

Hafla hiyo imefanyika nchini Chile jana ishirikisha majiji tofauti duniani kwenye suala la Usafirishaji, ambapo sisi wanajiji la Dar tumeshinda kupitia BRT(BUS RAPID TRANSIT) yetu, ama unaweza kusemaa MWENDOKASI kama ilivozoeleka mjini.

Tumepiga hatua kubwa sana kwa BRT japokua reflection hatuioni nchini, Ila ukitoka nje ya nchi ndio mtazamo Mkubwa sana upo Kwa hii Nyanja ya Usafirishaji.

Heko kwa Meya wa Jiji, Heko kwa Chadema, Heko kwa Cuf, Heko kwa Nccr Mageuzi, Heko kwa NLD, Heko kwa Rais Mstaafu Kikwete, Heko kwa wakazi wa Dar akiwemo rais Magufuli mlioamua kwa ridhaa yenu kuipa dhamana UKAWA kuongoza jiji la Dar.

Na Yericko Nyerere
View attachment 533560
Huu ni wazimu!
Mwendo kasi usafiri ulioratibiwa na serikali ya awamu ya 4. Wakati wa kina Jerry Slaa na UDA, Leo unakuwa ushindi wa Meya wa UKAWA?
Sawa hongera zenu kwa kushinda usafiri...!
Iweje sasa zile zero zote za mwaka Jana form 4 Ziwe za MAKONDA?
Chukueni Basi na tuzo ya zero za form 4!
 
Mhhh.., kwa vigezo vipi?! J'burg wana mwendokasi pia na miundombinu yao ni bora kuliko ya BRT!!
 
Yeriko ipongeze serikali kwa jitihada hizi meya Hana alichofanya haya kutokea...hata meya angekuwa ccm tungeliona haya.
 
Chadema ituoneshe kwenye ilani yake kuhusu hili...

Kwa upande wa CCM...Tuliahidi tunatekeleza na kuwaacha wafurahie matunda ya CCM .
Kuna vitu sio stahiki ya chadema!
Wao ni wanaharakati, na often huwa hawawazi plans za aina hii! Ni ngumu sana kuwaza kujenga Ila kwao kufunga watu, kuvunja taasisi, kufumua katiba etc.
Ni wanaharakati na huwa na vipaumbele vyao vya aina hiyo!
 
B
Jiji la Dar es Salaam linaloongozwa na serikali ya Ukawa chini ya Meya wake Isaya Mwita limetangazwa kuwa jiji bora kwa usafiri wa haraka maarufu kama mwendo kasi.

Hafla hiyo imefanyika nchini Chile jana ishirikisha majiji tofauti duniani kwenye suala la Usafirishaji, ambapo sisi wanajiji la Dar tumeshinda kupitia BRT(BUS RAPID TRANSIT) yetu, ama unaweza kusemaa MWENDOKASI kama ilivozoeleka mjini.

Tumepiga hatua kubwa sana kwa BRT japokua reflection hatuioni nchini, Ila ukitoka nje ya nchi ndio mtazamo Mkubwa sana upo Kwa hii Nyanja ya Usafirishaji.

Heko kwa Meya wa Jiji, Heko kwa Chadema, Heko kwa Cuf, Heko kwa Nccr Mageuzi, Heko kwa NLD, Heko kwa Rais Mstaafu Kikwete, Heko kwa wakazi wa Dar akiwemo rais Magufuli mlioamua kwa ridhaa yenu kuipa dhamana UKAWA kuongoza jiji la Dar.

Na Yericko Nyerere
View attachment 533560
Badala ya heko ziende kwa serikali kuleta mabasi hayo we unazieleleza kwa chadema ambal hawajanunua hata baiskeli. Kweli maajabu hayaishi
 
Hongera sna ukawa kwa kuongoza jiji vizur had likafanikiwa kupta tunzo ya dunia. Mungu ibarki Tanzania chini ya ukawa
 
Hongera sana kamanda na wanaDar kwa pamoja.
 
Jiji la dar limepata tuzo sawa lkn tuzo hiyo haijatokana na mchango wa kuwa chini ya ukawa.

Kama nakosea nielekezwe jinsi uongozi huu ulivyoshiriki kufanikisha mradi huo wa usafiri wa haraka
Hujakosea mkuu...uko sawa kabisa huyu Yericko siku hizi Hamnaga
 
Jiji la Dar es Salaam linaloongozwa na serikali ya Ukawa chini ya Meya wake Isaya Mwita limetangazwa kuwa jiji bora kwa usafiri wa haraka maarufu kama mwendo kasi.

Hafla hiyo imefanyika nchini Chile jana ishirikisha majiji tofauti duniani kwenye suala la Usafirishaji, ambapo sisi wanajiji la Dar tumeshinda kupitia BRT(BUS RAPID TRANSIT) yetu, ama unaweza kusemaa MWENDOKASI kama ilivozoeleka mjini.

Tumepiga hatua kubwa sana kwa BRT japokua reflection hatuioni nchini, Ila ukitoka nje ya nchi ndio mtazamo Mkubwa sana upo Kwa hii Nyanja ya Usafirishaji.

Heko kwa Meya wa Jiji, Heko kwa Chadema, Heko kwa Cuf, Heko kwa Nccr Mageuzi, Heko kwa NLD, Heko kwa Rais Mstaafu Kikwete, Heko kwa wakazi wa Dar akiwemo rais Magufuli mlioamua kwa ridhaa yenu kuipa dhamana UKAWA kuongoza jiji la Dar.

]

Acha kudharau Watanzania. UKAWA wanahusikaje na mwendo kasi? Walitoa wazo, walijenga, walisimamia, au wanaoendesha mradi? Kwanini Yericko unasema uongo kwa vitu ambavyo viko wazi? Huko sio kuwadharau watu kuwa hawaelewi chochote? Jaribu kuheshimu watu.
 
Back
Top Bottom