Jiji la Dar chini ya UKAWA latwaa tuzo ya dunia!

Jiji la Dar es Salaam linaloongozwa na serikali ya Ukawa chini ya Meya wake Isaya Mwita limetangazwa kuwa jiji bora kwa usafiri wa haraka maarufu kama mwendo kasi.

Hafla hiyo imefanyika nchini Chile jana ishirikisha majiji tofauti duniani kwenye suala la Usafirishaji, ambapo sisi wanajiji la Dar tumeshinda kupitia BRT(BUS RAPID TRANSIT) yetu, ama unaweza kusemaa MWENDOKASI kama ilivozoeleka mjini.

Tumepiga hatua kubwa sana kwa BRT japokua reflection hatuioni nchini, Ila ukitoka nje ya nchi ndio mtazamo Mkubwa sana upo Kwa hii Nyanja ya Usafirishaji.

Heko kwa Meya wa Jiji, Heko kwa Chadema, Heko kwa Cuf, Heko kwa Nccr Mageuzi, Heko kwa NLD, Heko kwa Rais Mstaafu Kikwete, Heko kwa wakazi wa Dar akiwemo rais Magufuli mlioamua kwa ridhaa yenu kuipa dhamana UKAWA kuongoza jiji la Dar.

Na Yericko Nyerere
View attachment 533560
Hovyoo! Hapo Ukawa wamehusika vipi na mradi wa mwendo kasi? Kabla hamjaandika muhakikishe viroba vimekwisha kichwa
 
Kule kwetu tarime tunasema umesifia kikuda, hivi mradi WA BRT ulianza chini ya meya wa UKAWA?

Huuu ni ukuda
 
Meya Isaya Mwita ameishaachana na siasa za CHADEMA Vs CCM.

Huwezi kumuona kwenye siasa za kijinga jinga kama alivyo Meya wa Ubungo, Boniface Jacob.

Meya Mwita amefahamu vizuri kuwa bila kushirikiana na serikali ya Mkoa hawezi kutimiza malengo yake.

Meya Mwita ni mmoja wa viongozi wachache sana ndani ya CHADEMA wenye, maarifa, hekima na busara.
Unataka akufikilie angalau kazi ya kufukuzia mabango?
 
Jiji la Dar es Salaam linaloongozwa na serikali ya Ukawa chini ya Meya wake Isaya Mwita limetangazwa kuwa jiji bora kwa usafiri wa haraka maarufu kama mwendo kasi.

Hafla hiyo imefanyika nchini Chile jana ishirikisha majiji tofauti duniani kwenye suala la Usafirishaji, ambapo sisi wanajiji la Dar tumeshinda kupitia BRT(BUS RAPID TRANSIT) yetu, ama unaweza kusemaa MWENDOKASI kama ilivozoeleka mjini.

Tumepiga hatua kubwa sana kwa BRT japokua reflection hatuioni nchini, Ila ukitoka nje ya nchi ndio mtazamo Mkubwa sana upo Kwa hii Nyanja ya Usafirishaji.

Heko kwa Meya wa Jiji, Heko kwa Chadema, Heko kwa Cuf, Heko kwa Nccr Mageuzi, Heko kwa NLD, Heko kwa Rais Mstaafu Kikwete, Heko kwa wakazi wa Dar akiwemo rais Magufuli mlioamua kwa ridhaa yenu kuipa dhamana UKAWA kuongoza jiji la Dar.

Na Yericko Nyerere
View attachment 533560

Wacha kutafuta ujiko kwa vitu vyakijinga wewe
Hao Upawa wamehusika kwa lipi hasa!!
Wewe niwakupuuzwa tu
unatuharibia habari nzuri kwa Taifa letu kwa kuingiza upumbavu upumbavu!!
 
Mwendokasi upinzani hasa ukawa hawana hata tone la mchango zaidi ya kelele za kuupinga, mradi ulianzishwa muda wa JK na mpaka sasa serikali ya JPM chini ya DART ndo wasimizi wa mradi wa BRY. ukisikia kusafiria nyota ya wenzako ndo hii.
Ps: siku hizi card za mwendokasi hawakupigi?? Au ulikuwaga ni ushamba wako?
Yericko Nyerere.
Hawa watu wameishiwa vibaya
 
Hizi ni sifa za kuteleza kwenye ganda la ndizi. Huu mradi umegubikwa na ufisadi mkubwa sana na hata wabunge wa Chadema walipigia kelele sana awamu iliyopita. Sasa leo kutuletea sifa zake na kuzihusisha na ukawa ni kutaka kuteleza tu.
 
Hongera zao lkn Jiji la Dar giza limezidi wakati wa usiku. Barabara nyingi kubwa za,Dar giza likiingia ni taabu-Mandera Road, Bandari Road, Bagamoyo Road, zote mataa ya kando ya barabara haziwaki. Ukawa fanyieni kazi hili.

Vv
 
Jiji la Dar es Salaam linaloongozwa na serikali ya Ukawa chini ya Meya wake Isaya Mwita limetangazwa kuwa jiji bora kwa usafiri wa haraka maarufu kama mwendo kasi.

Hafla hiyo imefanyika nchini Chile jana ishirikisha majiji tofauti duniani kwenye suala la Usafirishaji, ambapo sisi wanajiji la Dar tumeshinda kupitia BRT(BUS RAPID TRANSIT) yetu, ama unaweza kusemaa MWENDOKASI kama ilivozoeleka mjini.

Tumepiga hatua kubwa sana kwa BRT japokua reflection hatuioni nchini, Ila ukitoka nje ya nchi ndio mtazamo Mkubwa sana upo Kwa hii Nyanja ya Usafirishaji.

Heko kwa Meya wa Jiji, Heko kwa Chadema, Heko kwa Cuf, Heko kwa Nccr Mageuzi, Heko kwa NLD, Heko kwa Rais Mstaafu Kikwete, Heko kwa wakazi wa Dar akiwemo rais Magufuli mlioamua kwa ridhaa yenu kuipa dhamana UKAWA kuongoza jiji la Dar.

Na Yericko Nyerere
View attachment 533560
Mkuu Yeriko, hivi ni wewe umepost huu uzi kweli? Au kuna mtu katumia id yako? Siamini!
 
Heko kwa Meya wa Jiji, Heko kwa Chadema, Heko kwa Cuf, Heko kwa Nccr Mageuzi, Heko kwa NLD, Heko kwa Rais Mstaafu Kikwete, Heko kwa wakazi wa Dar akiwemo rais Magufuli mlioamua kwa ridhaa yenu kuipa dhamana UKAWA kuongoza jiji la Dar.
Mockery!
 
Jiji la Dar es Salaam linaloongozwa na serikali ya Ukawa chini ya Meya wake Isaya Mwita limetangazwa kuwa jiji bora kwa usafiri wa haraka maarufu kama mwendo kasi.

Hafla hiyo imefanyika nchini Chile jana ishirikisha majiji tofauti duniani kwenye suala la Usafirishaji, ambapo sisi wanajiji la Dar tumeshinda kupitia BRT(BUS RAPID TRANSIT) yetu, ama unaweza kusemaa MWENDOKASI kama ilivozoeleka mjini.

Tumepiga hatua kubwa sana kwa BRT japokua reflection hatuioni nchini, Ila ukitoka nje ya nchi ndio mtazamo Mkubwa sana upo Kwa hii Nyanja ya Usafirishaji.

Heko kwa Meya wa Jiji, Heko kwa Chadema, Heko kwa Cuf, Heko kwa Nccr Mageuzi, Heko kwa NLD, Heko kwa Rais Mstaafu Kikwete, Heko kwa wakazi wa Dar akiwemo rais Magufuli mlioamua kwa ridhaa yenu kuipa dhamana UKAWA kuongoza jiji la Dar.

Na Yericko Nyerere
View attachment 533560

Hapa ndio unaweza kupima uwezo wa kufikiri wa think tank wa vyama vya siasa,,It's totally null and void..inasikitisha sana vijana kuvaa magwanda ya uvyama hata sehemu pasipostahili
 
Kwani mwendokasi unasimamiwa na Meya wa Jiji au Serikali Kuu?

Mimi nikadhani mmeshinda tuzo ya usafi....kweli mmechoka.
 
Hivi kuhusu brt chadema mnajisifia kweli?
Nilijua utaongelea mtaa wa wanyama?
Huu ni ujinga wa hali ya juaa wa bavicha. Mnatuaibisha
 
Yaani manaandika tu hata haionekani kikombe au certificate?????

Tanzania bana!!!
 
Back
Top Bottom