una undugu na cocochanel!!!Chin ya uongoz bora kabisa wa paul makonda safi sana
Makonda oyeeee
LONDON BABY
Mbona hawajawataja Ukawa?Hongera na pongezi sana kwa waliowezesha Tanzani kuwa nchi ya 28 duniani na ya kwanza bara la Africa
Source; Jiji la Dar es Salaam lashinda tuzo ya usafirishaji bora duniani
Twaweza hao washafanya yaoMinaomba kujua.....
Hayo mashindano yalifanyika lini na wapi...[emoji45] [emoji45] [emoji45]
Uchochezi utakusaidia nini ? Ni wapi ambapo Mstahiki Meya ameshirikiana na Bashite ?Meya Isaya Mwita ameishaachana na siasa za CHADEMA Vs CCM.
Huwezi kumuona kwenye siasa za kijinga jinga kama alivyo Meya wa Ubungo, Boniface Jacob.
Meya Mwita amefahamu vizuri kuwa bila kushirikiana na serikali ya Mkoa hawezi kutimiza malengo yake.
Kuna baadhi ya viongozi ndani ya CHADEMA wanamtaka afanye mapambano ya kijinga/kipumbavu na serikali ya Mkoa wa Dar es Salaam lakini amewakatalia.
Meya Mwita ni mmoja wa viongozi wachache sana ndani ya CHADEMA wenye maarifa, hekima na busara.
Duhh......Twaweza hao washafanya yao
Kwa hongo kubwa na hawatak
Kushauriwa
Kwanini mkuuuna undugu na cocochanel!!!
Yule mbunge nn alitamanishaDuhh......
Umenifanya nikamkumbuka Mama Kijobi na lile saga....[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Mzee umekuja dar lini? hivi unajua mradi wa mabasi ya mwendokasi ulibuniwa toka kipindi cha mkapa?Mwendokasi upinzani hasa ukawa hawana hata tone la mchango zaidi ya kelele za kuupinga, mradi ulianzishwa muda wa JK na mpaka sasa serikali ya JPM chini ya DART ndo wasimizi wa mradi wa BRY. ukisikia kusafiria nyota ya wenzako ndo hii.
Ps: siku hizi card za mwendokasi hawakupigi?? Au ulikuwaga ni ushamba wako?
Yericko Nyerere.