Jiji la Dar chini ya UKAWA latwaa tuzo ya dunia!

Yericko Nyerere

JF-Expert Member
Joined
Dec 22, 2010
Posts
17,026
Reaction score
20,513
Jiji la Dar es Salaam linaloongozwa na serikali ya Ukawa chini ya Meya wake Isaya Mwita limetangazwa kuwa jiji bora kwa usafiri wa haraka maarufu kama mwendo kasi.

Hafla hiyo imefanyika nchini Chile jana ishirikisha majiji tofauti duniani kwenye suala la Usafirishaji, ambapo sisi wanajiji la Dar tumeshinda kupitia BRT(BUS RAPID TRANSIT) yetu, ama unaweza kusemaa MWENDOKASI kama ilivozoeleka mjini.

Tumepiga hatua kubwa sana kwa BRT japokua reflection hatuioni nchini, Ila ukitoka nje ya nchi ndio mtazamo Mkubwa sana upo Kwa hii Nyanja ya Usafirishaji.

Heko kwa Meya wa Jiji, Heko kwa Chadema, Heko kwa Cuf, Heko kwa Nccr Mageuzi, Heko kwa NLD, Heko kwa Rais Mstaafu Kikwete, Heko kwa wakazi wa Dar akiwemo rais Magufuli mlioamua kwa ridhaa yenu kuipa dhamana UKAWA kuongoza jiji la Dar.

Na Yericko Nyerere
IMG_20170701_132615_819.jpg
 
Meya Isaya Mwita ameishaachana na siasa za CHADEMA Vs CCM.

Huwezi kumuona kwenye siasa za kijinga jinga kama alivyo Meya wa Ubungo, Boniface Jacob.

Meya Mwita amefahamu vizuri kuwa bila kushirikiana na serikali ya Mkoa hawezi kutimiza malengo yake.

Kuna baadhi ya viongozi ndani ya CHADEMA wanamtaka afanye mapambano ya kijinga/kipumbavu na serikali ya Mkoa wa Dar es Salaam lakini amewakatalia.

Meya Mwita ni mmoja wa viongozi wachache sana ndani ya CHADEMA wenye maarifa, hekima na busara.
 
Kwamba BRT iko Dar es Salaam, sawa. Lakini kwamba uongozi wa sasa wa jiji una mchango wowote kusimamia BRT, hapana. Na huo ndio ukweli.
Uongoxi hauwezi kusimamia biashara ya mtu binafsi kwa kivuli cha mwekezaji.
 
Meya Isaya Mwita ameishaachana na siasa za CHADEMA Vs CCM.

Huwezi kumuona kwenye siasa za kijinga jinga kama alivyo Meya wa Ubungo, Boniface Jacob.

Meya Mwita amefahamu vizuri kuwa bila kushirikiana na serikali ya Mkoa hawezi kutimiza malengo yake.

Meya Mwita ni mmoja wa viongozi wachache sana ndani ya CHADEMA wenye, maarifa, hekima na busara.
Mada ni jiji kupata tuzo
 
...Mungu wa dar akikuskia yeriko...wafaa...au atazifuta hizo tuzo kama alivoamuru kibao ca wanyama street kingolewe...[emoji3][emoji3]
 
Jiji la Dar es Salaam linaloongozwa na serikali ya Ukawa chini ya Meya wake Isaya Mwita limetangazwa kuwa jiji bora kwa usafiri wa haraka maarufu kama mwendo kasi.

Hafla hiyo imefanyika nchini Chile jana ishirikisha majiji tofauti duniani kwenye suala la Usafirishaji, ambapo sisi wanajiji la Dar tumeshinda kupitia BRT(BUS RAPID TRANSIT) yetu, ama unaweza kusemaa MWENDOKASI kama ilivozoeleka mjini.

Tumepiga hatua kubwa sana kwa BRT japokua reflection hatuioni nchini, Ila ukitoka nje ya nchi ndio mtazamo Mkubwa sana upo Kwa hii Nyanja ya Usafirishaji.

Heko kwa Meya wa Jiji, Heko kwa Chadema, Heko kwa Cuf, Heko kwa Nccr Mageuzi, Heko kwa NLD, Heko kwa Rais Mstaafu Kikwete, Heko kwa wakazi wa Dar akiwemo rais Magufuli mlioamua kwa ridhaa yenu kuipa dhamana UKAWA kuongoza jiji la Dar.

Na Yericko Nyerere
View attachment 533560
Kumbe kuna Jiji la UKAWA ambalo Rais wake ni Mh.Rc Makonda. Hongeleni sana.
 
Mwendokasi upinzani hasa ukawa hawana hata tone la mchango zaidi ya kelele za kuupinga, mradi ulianzishwa muda wa JK na mpaka sasa serikali ya JPM chini ya DART ndo wasimizi wa mradi wa BRY. ukisikia kusafiria nyota ya wenzako ndo hii.
Ps: siku hizi card za mwendokasi hawakupigi?? Au ulikuwaga ni ushamba wako?
Yericko Nyerere.
 
Kwamba BRT iko Dar es Salaam, sawa. Lakini kwamba uongozi wa sasa wa jiji una mchango wowote kusimamia BRT, hapana. Na huo ndio ukweli.
Kwenye umeya kuna mtego. Mazuri ni ya mkurugenzi na DC mabaya ya Meya.
 
Kumbe mnafurahi serikali ikifanya mazuri japo mnajitiaga uzuzu UKWAWA, huo si mradi wa ukwawa ni wa serikali
Kwenye mimba watoto warudi shule ipo kwenye ilani ya ccm lakini kwakuwa mwenyekiti wenu kapiga marufuku basi makada wote mnakana kuwa hilo sio la ccm,

Kwenye wizi wa madini kupitia mikataba uliofanywa na ccm leo mnasema ccm haihusiki ilihali yote yapo kwenye ilani zenu tangu 1995.

Kwenye tuzo ya jiji linaloongozwa na Ukawa mnalilia iwe ni sifa ya ccm, nyinyi mpo kama polepole alivyo...
 
Jiji la Dar es Salaam linaloongozwa na serikali ya Ukawa chini ya Meya wake Isaya Mwita limetangazwa kuwa jiji bora kwa usafiri wa haraka maarufu kama mwendo kasi.

Hafla hiyo imefanyika nchini Chile jana ishirikisha majiji tofauti duniani kwenye suala la Usafirishaji, ambapo sisi wanajiji la Dar tumeshinda kupitia BRT(BUS RAPID TRANSIT) yetu, ama unaweza kusemaa MWENDOKASI kama ilivozoeleka mjini.

Tumepiga hatua kubwa sana kwa BRT japokua reflection hatuioni nchini, Ila ukitoka nje ya nchi ndio mtazamo Mkubwa sana upo Kwa hii Nyanja ya Usafirishaji.

Heko kwa Meya wa Jiji, Heko kwa Chadema, Heko kwa Cuf, Heko kwa Nccr Mageuzi, Heko kwa NLD, Heko kwa Rais Mstaafu Kikwete, Heko kwa wakazi wa Dar akiwemo rais Magufuli mlioamua kwa ridhaa yenu kuipa dhamana UKAWA kuongoza jiji la Dar.

Na Yericko Nyerere
View attachment 533560
Hivi hamna hata aibu? Ukawa wanamchango wowote kwenye BRT??
Mambo yaliyofanywa na ccm ndiyo mnayageuza kwamba ya ukawa?
Mchango wa ukawa na chadema unajulikana ambao ni kutetea wezi, maandamano, na kuleta vurugu bungeni..
 
Back
Top Bottom