i think you didn't get my post well...... nimesema CCTV CAMERA na sio vitambulisho !!!
Pia wateja wanatakiwa sasa kuacha vitambulisho mapokezi hahahahha
Vitambulisho gani viachwe mapokezi wakati nchi haina vitambulisho?
Mtu akisema hana kitambulisho asipewe huduma wakati sheria haimlazimu kuwa nacho?
Kuna dimension nyingine itakayofanya upelelezi wa kesi hii ulegelege.Nilikuwa naongea na baadhi ya watu nimepata kwamba kinachoongelewa na kutiliwa mkazo sasa ni aibu na kumkinga marehemu na hata jamaa zake na aibu zaidi. Jamii inaona kwamba kutoa ushirikiano katika kufanikisha kumkamata muuaji kutapelekea kufukua mambo yanayoweza kuwaaibisha au kuumiza watu.
Je ni kipi bora? Kutokuficha maradhi upone, au kuficha maradhi kifo kikufichue?
Mi nadhani janga limeshaingia katika jamii hivyo 'tujaribu kusahau" kidogo mambo mengine kama aibu ili kuwapa askari ushirikiano unaotakiwa ili mhalifu huyu au wahalifu hawa wapatikane na haki itendeke.
Vitambulisho gani sasa . Mfanya biashara solo au mkulima wa Tanzania ana kitambulisho. Na hata ukiaiwauacha vitambulisho zero brain wapo kuhakisha wanaume na wanawake wanaotaka kusaliti nda zao wanafanikiwa.Polisi wamesema wateja guest houses waache vitambulisho....
<br />Polisi wamesema wateja guest houses waache vitambulisho....
Huu uzi wa mwaka 2011,shuguli imeanza tenaNasikia wameanza kuua tena
Nasikia wameanza kuua tena
Wapi huko mkuu?