Jihadhari utaishia Shimo la Tewa

Jihadhari utaishia Shimo la Tewa

Huyo aliyetoa hiyo story ni muongo, huwezi ukampenda mtu ambaye mnachati kupitia simu na jf bila kuonana,
 
Tatizo letu WATZ kila jambo tunalichukulia lahisi lahisi, pengine kwa sababu maisha ni LAHISI au tunawaza mambo mepesi mepesi.
 
Jambo la kawaida kabisa hili, wala sheria za JF hazikatazi kuwa na ID zaidi ya moja wala hakuna sehemu mmeambiwa muwe na ID moja tu! otherwise mthibitishe! lol..

People possess ID's depending on the missions that they are after here...

Kuna watu wanafanyia kazi CIA na FBI, forgerying ni kitu cha kawaida kabisa kwenye maisha yao! sembuse kuwa na ID zaidi ya 1?

Jambo la msingi hapa ni kufuata kilichokuleta hapa...

Rodger that?
 
Huyo aliyetoa hiyo story ni muongo, huwezi ukampenda mtu ambaye mnachati kupitia simu na jf bila kuonana,

Inaonekana we ni mgeni sana wa wanawake! Labda kama unazungumzia wanawake wa sayari nyingine lkn hii ya earth anaweza kukupenda hata kwa sauti tu na hiyo ndio ikawa sababu.vingine vikafuata...women are complex creatures
 
Mhhhhhhhhhh!! Job true true,hii moja inanishinda zingine za kazi gani?? Kweli watu hawa wanaharibu jukwaa ndo maana siku hizi kuna threads nyingi za kijinga.
 
Yeah kaazi kwelikweli!
Cha ajabu unaweza kukuta haohao wanaozikandia multiple Ids ndo hao hao wanaozimiliki! Jf full drama!

N.B: No offence intended
 
Yaani muda ulioutumia kuandika haya ni bora ungeutumia kufanya usafi wa mazingira hapo kwako...

What a waste....!!!

Huyo aliyetoa hiyo story ni muongo, huwezi ukampenda mtu ambaye mnachati kupitia simu na jf bila kuonana,
 
Inaonekana we ni mgeni sana wa wanawake! Labda kama unazungumzia wanawake wa sayari nyingine lkn hii ya earth anaweza kukupenda hata kwa sauti tu na hiyo ndio ikawa sababu.vingine vikafuata...women are complex creatures
Mimi siongei jumla mkuu, namuongelea huyu aliyeandika thread, maana nahisi kama nafahamu, ni kwamba ni ngumu sana kuclaim unampenda mtu ambae hamjaonana na hakuna posibility kuonana, ni ngumu mno, lakini pia inatakiwa aeleze kila kitu vzr na pia kuna watu wengine wakihisi kitu wanakiingiza kwenye mind zao na kukiamini hiyo ni mbaya sana..
 
Jambo la kawaida kabisa hili, wala sheria za JF hazikatazi kuwa na ID zaidi ya moja wala hakuna sehemu mmeambiwa muwe na ID moja tu! otherwise mthibitishe! lol..

People possess ID's depending on the missions that they are after here...

Kuna watu wanafanyia kazi CIA na FBI, forgerying ni kitu cha kawaida kabisa kwenye maisha yao! sembuse kuwa na ID zaidi ya 1?

Jambo la msingi hapa ni kufuata kilichokuleta hapa...

Rodger that?
Excel ni kosa kumiliki zaidi ya ID moja hapa jukwaani kuna uzi wa mods kule CC naomba ukaupitie tena unaotahadharisha kuhusu hilo
 
Last edited by a moderator:
ID zote izo za nini,mtu anakua na ID kibao utafikiri anafanya biashara mxuuuu wapigwe life ban tu hao!
 
Back
Top Bottom