high vampire
JF-Expert Member
- Nov 17, 2012
- 2,946
- 2,183
Kuna watu machoni ni malaika lakini mioyoni mwao wamebeba siri kubwa ni zaidi ya vampires
Kama yupo vampire nipe
Kuna watu machoni ni malaika lakini mioyoni mwao wamebeba siri kubwa ni zaidi ya vampires
....ukizidi ni kidonda lakini jua
Jambo la kawaida kabisa hili, wala sheria za JF hazikatazi kuwa na ID zaidi ya moja wala hakuna sehemu mmeambiwa muwe na ID moja tu! otherwise mthibitishe! lol..
People possess ID's depending on the missions that they are after here...
Kuna watu wanafanyia kazi CIA na FBI, forgerying ni kitu cha kawaida kabisa kwenye maisha yao! sembuse kuwa na ID zaidi ya 1?
Jambo la msingi hapa ni kufuata kilichokuleta hapa...
Rodger that?
Mwaka Jana alikuja binti anatafuta mchumba humuhumu nikampm akagomesha eti anatafuta mfanyakazi serikarini wakati Mimi nafanya biashara nikafungua account mpya nikamrukia na akakubari nikachapa Kitu na kumpotezea hadi Leo ukiwa na account zaid ya moja raha yake ni Kubwa
kumbe kuna machangu humu wa bei rahisi!
Mmmmh....i will do ze nidful.siwez kujua hadi unionyeshe kwa vitendo
Wamo na wanaliwa kila siku