yuclighty
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 676
- 326
Mara ya kwanza wakati na join jf niliona ni mahali ambapo naweza kukua kifikra, lakini imefika kipindi naona kila nnachokutana nacho hakiniongezei chochote zaidi ya kunifanya nione ni upuuzi mtupu. Kwa sababu naishia kusoma halafu mwishoni nakosa vyote sijagain chochote na poa nashindwa kuchangia chochote. Ninavofaham hamna mtu ambaye yupo blw 18yrs wote ni watu tunaojitabua,. Tubadiliken basi nawaomba ila cwalazimishi.