Jihadhari na Wakata Kucha

Jihadhari na Wakata Kucha

walio wengi wanasema wametiwa majaribuni, aidha mtu anakuita umkate kucha baada ya muda anakwenda chumbani anarudi na khanga moko, au wengine wakati wa miguu anapandiiiiiiiiisha hadi karibia na ikulu uhamanike, au mwingine anakuita ndani etc .concl walio wengi vichocheo ni wanawake

Ngoja nianze hii kazi.. kumbe ina "fursa" nyingi hivyo.
 
Short chasis research.
Haijaelezea mapungufu ya research hii.
Ila nakushauri uipanue zaidi tafiti yako hii.
 
fanya wewe bas kama unaona sisi wakata kucha tunafaidi,,kila mbuzi atakula urefu wa kamba yake meeeen:frusty:

endeleeeni mwaya. tukiwaambia wapenzi wetu wajifunze kupaka rangi wawe wanatuhudumia wenyewe hawataki.
 
mwambieni ukweli naona kama id yake ni kuata kujiunga nanyi ila anakosa jinsi ya kuanza
 
Ya kwangu nilioifanya imenionyesha kuwa Maduka ya Akina Mangi na Wapemba wanajua date za wanawake WA mtaa mzima, maana huenda kununua zile "pampasi" akivhelewa kwenda tu labda kapitisha siku mbili utaskia jamaa anauliza NIKULETEE UDONGO AU EMBE BICHI? Kweli hizi research hizi
 
basi tu ubishoo na kujiona wanaweza kucheza na makaratasi na sio msasa. lol
Jamani hata jumapili anashindwa kukufanyia japo foot massage? Au ndiyo anataka akina Amavubi waendelee kukushikashika kila weekend?
 
Back
Top Bottom