Jihadhari na Wakata Kucha

Iko inayofanana na hii kwenye udadisi wangu japo yangu ni kwamba mke alikutwa na kanga moko na hakuvaa puchi
ha ha haa umenikumbusha kitu...kuna mshikaji wangu mmoja(nailer art) siku moja aliitwa kwenye zile nyumba za tpdc maeneo ya mikocheni kwa kwenda kutoa huduma ya pedicure na manicure, karibu na kumaliza ghafla akatokea mume wa yule mama ambaye anatengenezwa kucha na mshikaji wangu...mzee akashuka kwenye gari na akaona mke wake amelala usingizi wa pono pale sitting room huku miguu yake imepakatwa na inafanyiwa soft massage na jamaa wa kucha.

Yaani mzee hakutaka salam wala kuuliza kitu...alichofanya ni kumwinua huyu mshikaji wangu kwenye ile sturi aliyokuwa ameikalia na kuanza kumpiganayo kichwani hadi akamtoa damu...jamaa yangu akaanza kutimua vumbi huku madamu yanamtoka na yule mzee aliendelea kumfukuza hadi getini ndipo akamwacha. Kibaya zaidi hakulipwa pesa zake na vitendea kazi vyake vyote aliviacha pale pale. Ni true story
 
this-guy-is-in-a-serious-need-of-a-pedicure-stone-town.jpg

IMAGINE ETI HUYU UMKUTE JUU YA KIUNO CHA MKEO.............
 
Back
Top Bottom