Jihadhari na simu za mitandao ya Kikorea, China na Marekani

sasa kakaa..unamuongeleaje housgirl, mama ntilie, kondakta, watu wote wa levo za chini ambao hawawezi kuafford simu nyingine hizo za bei ghali kidogo? Tecno amekua mkombozi wa Tanzania, afrika kwa ujumla ..sababu ya affordable prices. anatengeneza simu kwa kila budget. Actually ndo inaongozwa kwa kutumiwa na watu wengi tz
mkuu tushaongea sana hapa Tecno hana simu ambayo inakupa specs kubwa kwa bei ndogo, kila simu ya Tecno unakuta samsung ya bei karibia sawa tena kuna wakati samsung inakuwa na specs nzuri zaidi kwa bei ndogo.

ukija kidunia samsung wenyewe ni watengeneza simu mbaya sana za low end, hivyo kama Tecno anapitwa na samsung unaniamisha vipi kwamba Tecno anatengeneza simu za bei rahisi nzuri?

hebu tuangalie hao wanaotengeneza simu za bei rahisi
-xiaomi redmi 4A yenye HD display, ram 2gb na 1.4ghz snapdragon 425. mpaka kwenye range ya 250,000 unakuta tecno bado zina 1gb ram simu kama W5, hadi samsung sasa hivi ana grand prime + yenye 1.5gb kwa hio budget.

huyo xiaomi anauzwa dola 74 tu rejareja, inamaana leo mfanyabiashara akinunua kwa jumla na akilipa kodi zote hio simu haifiki hata laki 2.

lakini sababu wafanyabiashara wetu hawana time ukipita madukani kote ni vimeo tu sababu wanajua hamna ujanja mtanunua tu.

ukipanda kidogo kwenye around dola 100 ambazo ni kama 250,000 za kibongo kuna choice kibao kama vile samsung galaxy on5,

na kama hujali style simu za sd410 zimeshuka sana unazipata bei ya tecno y3, simu kama galaxy grand prime, core prime, huawei y550, moto e 2nd gen etc

mimi nawaonelea huruma hao ma house girl, akinunua galaxy grand prime yake atakaa nayo hata miaka 3 hadi 5 bila matatizo na hatakuwa na haja ya kununua simu kila mwaka au kukesha kwa fundi siku nzima
 
Mkuu chief-Mkwawa vipi na meizu m3 note
 
Mkuu chief-Mkwawa vipi na meizu m3 note

kwa bei yake ni simu nzuri mkuu, soc yake mediatek p10 sio nzuri kama snapdragon 625 lakini inajitahidi, ina perfomance nzuri na pia inakaa na chaji kiasi chake.

ila meizu m3x ni nzuri zaidi sababu wameiupdate soc kwenda helio p20.
 
Chief mi natumia samsung S4 ya kikorea, nimejaribu kuifananisha na international lakini nimeona kama iko bomba zaidi

*Ina 32 GB
*Kwa upande wa graphics ni zaidi ya ile international
*Processor speed pia ni zaidi ya ile international
*Ni durable sana mana nilinunua used kutoka korea na nishaitumia miaka 3 lakini bado iko poa

Tatizo linakuja kwenye LTE japo imeandikwa LTE 100% lakini inachagua operators mana inakubali laini ya voda pekee kwa 4G(ila kwangu hili sio tatizo sana mana natumia halotel na naona kama halotel 3G kwangu mi ni zaidi ya voda 4G)

Kinachonikera kwenye hii simu ni upande wa message mana characters zinaishia 60 kwahiyo unakuta maneno machache tu ya text yakizidi 60 inahamisha kwenda kwenye MMS au hata nikitaka kutuma emoj tu inakua MMS na kugoma kwenda

Ntalimalizaje hili tatizo? au ndo mpaka nipate custom ROM ya hii simu??
Download Textra ina uwezo wa kuzuia sms kuwa mms pale character zinavyozidi
 
mkuu tushaongea sana hapa Tecno hana simu ambayo inakupa specs kubwa kwa bei ndogo, kila simu ya Tecno unakuta samsung ya bei karibia sawa tena kuna wakati samsung inakuwa na specs nzuri zaidi kwa bei ndogo.

ukija kidunia samsung wenyewe ni watengeneza simu mbaya sana za low end, hivyo kama Tecno anapitwa na samsung unaniamisha vipi kwamba Tecno anatengeneza simu za bei rahisi nzuri?

hebu tuangalie hao wanaotengeneza simu za bei rahisi
-xiaomi redmi 4A yenye HD display, ram 2gb na 1.4ghz snapdragon 425. mpaka kwenye range ya 250,000 unakuta tecno bado zina 1gb ram simu kama W5, hadi samsung sasa hivi ana grand prime + yenye 1.5gb kwa hio budget.

huyo xiaomi anauzwa dola 74 tu rejareja, inamaana leo mfanyabiashara akinunua kwa jumla na akilipa kodi zote hio simu haifiki hata laki 2.

lakini sababu wafanyabiashara wetu hawana time ukipita madukani kote ni vimeo tu sababu wanajua hamna ujanja mtanunua tu.

ukipanda kidogo kwenye around dola 100 ambazo ni kama 250,000 za kibongo kuna choice kibao kama vile samsung galaxy on5,

na kama hujali style simu za sd410 zimeshuka sana unazipata bei ya tecno y3, simu kama galaxy grand prime, core prime, huawei y550, moto e 2nd gen etc

mimi nawaonelea huruma hao ma house girl, akinunua galaxy grand prime yake atakaa nayo hata miaka 3 hadi 5 bila matatizo na hatakuwa na haja ya kununua simu kila mwaka au kukesha kwa fundi siku nzima
Tecno W3 ni 150000/= . Tecno Y3 ni 100000/= . me naona hizi zinawafaa watanzania wa hali duni. sasa naomba samsung yenye same specs na hizo smartphones za tecno kwa budget ya 100000/= - 150000/=. I'm trying to see how the guys are helping people when it comes to budget. (housegirl, mama ntilie....nk)
 
Na je hii Samsung Note 5, yenye nembo ya [emoji736] na jina version!??? But LTE IKO vip hii, ila tumeaminishwa sana ya kuwa product za ulaya au USA ni better kuliko zinazokuja Africa, je ukweli ni kiasi gani
 
hope unamaanisha verizon sio version.

enzi za zamani za kina Nokia na siemens ndio simu zilikuwa zinatengenezwa ulaya ila siku hizi simu ni china, korea, vietnam, india etc

hizo simu zinazoenda mitandao ya marekani kama sprint, verizon, at&t na T-mobile sio mbaya ila kimakusudi wanalimit mambo mengi kama niliyoyataja juu

product mbaya ni zile ambazo zimetengenezwa kwa ajili ya Africa, zile ndo ukiziona zikimbie
 
Tecno W3 ni 150000/= . Tecno Y3 ni 100000/= . me naona hizi zinawafaa watanzania wa hali duni. sasa naomba samsung yenye same specs na hizo smartphones za tecno kwa budget ya 100000/= - 150000/=. I'm trying to see how the guys are helping people when it comes to budget. (housegirl, mama ntilie....nk)

kuna samsung z2 ina os ya tizen lakini unaweka pia apps za android hivyo vi opera mini, whatsapp, fb vyote vipo.

sijajua bongo wanaiuza sh ngap maana wakati naenda dukani walisema hazijafika bado ila mabango yao wameshaanza kuyaeka.

kenya wanaiuza 6,000 (130,000 ya Tanzania),

ina 4g, quadcore, 1gb ram etc ni simu nzuri kuliko y3.

pia kuna j1 mini ukiitafuta vizuri unaipata bei hio
 
Mkuuu naomba kufahamu kuhusu network failure kwa simu za samsung hasa flagships zao
 
Mkuu naomba kusikia pia kuhusu Infinix hot S, maana nahisi inafanana sana na tecno.
Au nazo ndo zimetengezwa specifically kwa Africa.....??
Chief - Mkwawa
 
kuna samsung z2 ina os ya tizen lakini unaweka pia apps za android hivyo vi opera mini, whatsapp, fb vyote vipo.

sijajua bongo wanaiuza sh ngap maana wakati naenda dukani walisema hazijafika bado ila mabango yao wameshaanza kuyaeka.

kenya wanaiuza 6,000 (130,000 ya Tanzania),

ina 4g, quadcore, 1gb ram etc ni simu nzuri kuliko y3.

pia kuna j1 mini ukiitafuta vizuri unaipata bei hio
umeniwahi...hiyo Samsung Galaxy Z2 inauzwa 110k na bado ukiongea inashuka, pia Galaxy J1mini unapata kwa 160k na bado na yenyewe ukiongea inashuka,pia kuna Galaxy S2 hii kwa sasa unapata kwa180k, halafu mkuu Chief-Mkwawa kati ya LG GFlex2 na Galaxy Note 3 ipi Bora? maana nmekuta Note 3 inauzwa 500k na G Flex2 inauzwa 400k
 
Natumia Note 4 N910C.
Ni version ya Asia,Europe na South America niliinunua hapa bongo mpya dukani,tatizo haijawahi kushika 3g au 4g,ni H na H+ tu.

Nikiweka line ya Airtel mtandao unakuwa slow sana,ila Halotel ni mwendo mdundo,CHIEF MKWAWA hilo ni tatizo la simu au la mtandao wa Airtel?
 
Mkuu naomba kusikia pia kuhusu Infinix hot S, maana nahisi inafanana sana na tecno.
Au nazo ndo zimetengezwa specifically kwa Africa.....??
Chief - Mkwawa
Jibu la swali hili litanisaidia pia maana nimeiona hiyo simu nataka nimnunulie dogo wangu mmoja. Muonekano wake uko poa sana.
 
umeniwahi...hiyo Samsung Galaxy Z2 inauzwa 110k na bado ukiongea inashuka, pia Galaxy J1mini unapata kwa 160k na bado na yenyewe ukiongea inashuka,pia kuna Galaxy S2 hii kwa sasa unapata kwa180k, halafu mkuu Chief-Mkwawa kati ya LG GFlex2 na Galaxy Note 3 ipi Bora? maana nmekuta Note 3 inauzwa 500k na G Flex2 inauzwa 400k

flex 2 ni nzuri zaidi tena tofauti ni miaka 2,

sema inatumia snapdragon 810 ambayo ilikuwa inaheat sana,

hio z2 umeiona wapi 110k? maana hio bei inakaribiana na modem za 4g za tigo,
 
Natumia Note 4 N910C.
Ni version ya Asia,Europe na South America niliinunua hapa bongo mpya dukani,tatizo haijawahi kushika 3g au 4g,ni H na H+ tu.

Nikiweka line ya Airtel mtandao unakuwa slow sana,ila Halotel ni mwendo mdundo,CHIEF MKWAWA hilo ni tatizo la simu au la mtandao wa Airtel?
itakuwa ni mtandao na ikiandika H au H+ ni sawa na kuandika 3G au 3.5g au 3.75G ni kitu kimoja.

hio simu ina 4G za tigo, voda, TTCL na smile. airtel na halotel hawana 4g jaribu mitandao hio niliotaja.
 
Mkuu naomba kusikia pia kuhusu Infinix hot S, maana nahisi inafanana sana na tecno.
Au nazo ndo zimetengezwa specifically kwa Africa.....??
Chief - Mkwawa
infinix, tecno na itel ni watoto wa baba mmoja, wote mmiliki ni mmoja.
 
Samahani mkuu...
Hivi njia ya ku-root simu zenye android version ya 6. 0 bila kutumia PC ishapatikana?
Maana nataka nikaroot haka ka simu...
 
Back
Top Bottom