Jihadhari na simu za mitandao ya Kikorea, China na Marekani

Jihadhari na simu za mitandao ya Kikorea, China na Marekani

Afadhal umekubal kua kunyosha maelezo kwako ni changamoto...sasa vipi ushaijua hiyo simu yako ni copy ya wapi?

Maandishi ya kichina na kikorea yananichanganya.
Leo nimetranslate nikaona ni kampuni ya China japo wananiletea habari za Sony Erickson S312.

Pia nikacheck na Imei.info nikapata Shenzhen Electronics Co. Ltd iko China.
Alafu kwa Cpu- z nimekutana na kitu Mediatek.....kwa wewe mzoefu nadhani umeshaelewa mi nàjionea maluwe luwe tu. Pitia kwenye ile thread yangu nimeweka screenshots.
 
Naona ilikufa kabsa hiyo simu mana tangu ume-comment hapa mara ya mwsho, Jf ukakimbia kabsa
 
mkuu tushaongea sana hapa Tecno hana simu ambayo inakupa specs kubwa kwa bei ndogo, kila simu ya Tecno unakuta samsung ya bei karibia sawa tena kuna wakati samsung inakuwa na specs nzuri zaidi kwa bei ndogo.

ukija kidunia samsung wenyewe ni watengeneza simu mbaya sana za low end, hivyo kama Tecno anapitwa na samsung unaniamisha vipi kwamba Tecno anatengeneza simu za bei rahisi nzuri?

hebu tuangalie hao wanaotengeneza simu za bei rahisi
-xiaomi redmi 4A yenye HD display, ram 2gb na 1.4ghz snapdragon 425. mpaka kwenye range ya 250,000 unakuta tecno bado zina 1gb ram simu kama W5, hadi samsung sasa hivi ana grand prime + yenye 1.5gb kwa hio budget.

huyo xiaomi anauzwa dola 74 tu rejareja, inamaana leo mfanyabiashara akinunua kwa jumla na akilipa kodi zote hio simu haifiki hata laki 2.

lakini sababu wafanyabiashara wetu hawana time ukipita madukani kote ni vimeo tu sababu wanajua hamna ujanja mtanunua tu.

ukipanda kidogo kwenye around dola 100 ambazo ni kama 250,000 za kibongo kuna choice kibao kama vile samsung galaxy on5,

na kama hujali style simu za sd410 zimeshuka sana unazipata bei ya tecno y3, simu kama galaxy grand prime, core prime, huawei y550, moto e 2nd gen etc

mimi nawaonelea huruma hao ma house girl, akinunua galaxy grand prime yake atakaa nayo hata miaka 3 hadi 5 bila matatizo na hatakuwa na haja ya kununua simu kila mwaka au kukesha kwa fundi siku nzima
Haya ni maelezo bora haijapata kutokea

Sent from my X90 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom