Jihadhari na simu za mitandao ya Kikorea, China na Marekani

mkuu hakuna kitu kama cdma ya 4g, ni htc gani? nitajie full name yake
Mkuu nilikuwa namaana cm yangu ni HTC one m7, ni LTE kwa ufahamu wangu mdogo nadhani ina maana ina uwezo wa kuwa na 4g sasa ndo swali langu nikawa naomba unifahamishe kama kuna uwezekano wa kupata hiyo speed ya 4g kama nilivyoambiwa na je, ikifanyika hivyo cm haitakuwa na madhara,
 
Nimejifunza kuhusu characters kwenye simu na mchango wake, shukrani.
 
Mkuu nilikuwa namaana cm yangu ni HTC one m7, ni LTE kwa ufahamu wangu mdogo nadhani ina maana ina uwezo wa kuwa na 4g sasa ndo swali langu nikawa naomba unifahamishe kama kuna uwezekano wa kupata hiyo speed ya 4g kama nilivyoambiwa na je, ikifanyika hivyo cm haitakuwa na madhara,
nenda setting halafu about angalia model yake ni ipi? kuna htc m7 nyingi

sidhani kama itakosa band zote simu nyingi zinakuwa hazishiki 4g ya mtandao fulani na inashika mtandao wa simu nyengine
 
Model HTC6500LVW
ina band moja tu ya 4g tena ya verizon, ila haiwezekani hardware iwe hivyo itakuwa tu verizon wamezifunga band na software, zipo njia online za kufanya ila ni risk siku ukijiskia simu umeichoka choka unaweza kujaribu
 
Yes mkuu India namba yake inaanzia na 99 na ni kweli ni Verizon
 
Nina Lg yangu hapa Korea version Ime yake imeanzia na 99...
Nikicheki GSM arena nambiwa inasupport 4G na ina band 800..ila 4G ya tigo haipandi..
 
nenda setting halafu about angalia model yake ni ipi? kuna htc m7 nyingi

sidhani kama itakosa band zote simu nyingi zinakuwa hazishiki 4g ya mtandao fulani na inashika mtandao wa simu nyengine
Mkuu kwa simu zinazokubali kuziweka kwenye Download Mode kama Samsung Galaxy kwa kubonyeza Power + Vol Up tumia mbinu hii ya kuangalia Model number, maana kuna jamaa yangu alinunua Note 4 unlocked akiweka line ya Halotel insoma 4G, ukienda Settings kisha about inakuonyesha Model number ni N910F, lakini ukiiweka kwenye Download mode inakuonyesha Model number halisi ni N910V(verizon), nikamwambia hii ni unlocked toleo la mitandao ya Ulaya
 
Somo zuri na wakati muafaka, tumeshauziwa sana
 
Mkuu kwa simu zinazokubali kuziweka kwenye Download Mode kama Samsung Galaxy kwa kubonyeza Power + Vol Up tumia mbinu hii ya kuangalia Model number, maana kuna jamaa yangu alinunua Note 4 unlocked akiweka line ya Halotel insoma 4G, ukienda Settings kisha about inakuonyesha Model number ni N910F, lakini ukiiweka kwenye Download mode inakuonyesha Model number halisi ni N910V(verizon), nikamwambia hii ni unlocked toleo la mitandao ya Ulaya
good idea mkuu, nakumbuka pia niliwahi kutana na xxxF ya note 4 ambayo ilipaswa iwe version ya kimataifa/ulaya lakini kuichunguza ikawa 3g inaandika 4g nikajua tu kuna kitu hakipo sawa.

verizon ni ya marekani, simu nyingi za ulaya hazina matatizo, za marekani/korea ndio zina shida sana
 
Mkuu Chief-Mkwawa hivi unaweza kureplace battery ya simu yenye uwezo wa kutunza charge mdogo na kuweka yenye uwezo mkubwa
Mfano
Battery iliyokuja na simu ina 1850mAh
Battery ninayotaka kununua ni 2500mAh ambayo ni extended
Je kuna madhara yoyote..
Uwezo wa simu kukaa muda mrefu na charge utaongezeka?
 
-ndio uwezo wa kukaa na chaji utaongezeka
-hakuna madhara kama hio battery ina quality, ila kama ni quality ndogo kunaweza kuwa na madhara
-ila simu itakuwa nene, maana extended battery huja na macover yake
 
Wiki kadhaa zilizopita nilikuwa na ndugu yangu mmoja mitaa ya Aggrey tukitafuta simu aina ya galaxy Note 4 mpya, huwezi kuamini tulizunguka maduka yanaweza kufika hata 100 lakini hatukupata hata note 4 moja ambayo ni ya kimataifa (Africa pia) zote zilikuwa ni simu ambazo wamezitoa kwenye mitandao ya simu ya Kimarekani, Korea na China pamoja na nchi nyengine kubwa kubwa. Simu hizi nyingi zilikuwa zimelokiwa na jamaa wamezi unlock na pia ni mbaya kwa matumizi yetu ya kitanzania, leo hii nimeona niandike thread hii kuelezea madhara ya hizi simu na pia tuelezane njia za kupunguza hayo madhara kwa wenye nazo.

Hupati updates, warranty wala support yoyote
Unaponunua simu hizi usitegemee kupata updates badala yake ukitaka update inabidi udownload manual, vile vile hata kama simu ni mpya ikiharibika inabidi urudishe ilipotoka. mfano una galaxy s7 ya kikorea ukiwapelekea samsung Tanzania hawatakutengenezea sababu haiwahusu. Hata mwenye duka akikwambia anakupa warranty ni muongo tu labda airudishe alipoitoa kama atakua tayari.

Zinasumbua ussd
Umeshanunua simu ukaona ukiuliza salio *102# inakubali lakini mpesa, tigopesa na vyengine vinakataa? ukiona hivyo ujue tayari upo mkumbo huu umeuziwa simu za kikorea na wenzie
connection-problem-invalid-mmi-code.png

Muda wote zinaandika 4g au kutoshika kabisa 3g
Watu wengi hufikiri simu zao zina 4g kumbe hazina, mitandao mingi ya kimarekani na baadhi ya nchi wanaitwa hspa+ kama 4g kitu ambacho sio sahihi, hivyo simu hizo zikija hapa kwetu huandika 4g hata kama mtandao ni wa 3g, ukiona simu yako ipo hivi ujue umeshauziwa hizi simu, pia kuna mitandao kama T-mobile band yao ni 1700mhz hivyo simu zao zinaweza zisishike kabisa 3g huku kwetu

Simu za CDMA na band tofauti
Pia simu hizi zipo za CDMA zinaweza kuja Tanzania zisishike kabisa network ukapata pengine 4g tu, na hio 4g inaweza iwe ni band ambazo hazikubali kwetu, mtandao pekee wa Tanzania wenye band za kichina china ni smart band 2300mhz hivyo ukiwa na simu ya namna hii angalia mtandao wa smart.

Zinakuja bila google play store
Nchi kama China playstore kwao sio maarufu, hivyo simu zao zikija huku kwetu zinasumbua unakuta haina playstore wala app yoyote ya google hivyo kuanza kukuhangaisha kuweka hizo app sometime inabidi hadi uflash simu

SMA charachter sio 160
Kikawaida sms moja huwa na herufi 160 (pamoja na space na namba) lakini simu hizi huwa na herufi chini ya 160 hivyo utakatwa hela nyingi zaidi pamoja na kuharibu mfumo mzima wa kutumiwa mfano mtu akituma msg ya 160 kwako itakuwa kama msg 2. kwa wale wanaotuma msg ni muhimu hii.
jw-ucEQB3dwV42Bl8OMBJR51HbdW-0rLyJoJvOsrr2IP_b2-LlhJd0Cx-qaW0JqM_54=h900

mfano hii ina charachter 70 tu hivyo msg ya 160 itahesabika kama sms 3

Dialer ya kikorea au kichina
Pia inaweza tokea dialer (ya kupigia simu) ikawa mfumo wa kikorea
main-qimg-6a4e834ec4324839357802e8b65ec023

Support ndogo ya developers
Pia simu hizi huwa na custom rom chache au usipate kabisa, njia za kuroot wakati mwengine zinakuwa ngumu, nyengine zinalokiwa bootloader etc kama wewe ni power user simu hizi zinakuwa pasua kichwa.

Hayo ni baadhi ya madhara ya simu za kikorea, kama kuna mengine nimeyasahau mutaniambia.

Namna ya kujua kama simu ni ya kikorea au international
Kusema simu inaitwa lg g2 au galaxy s5 haitoshi kila simu inakuwa na model zake, simu moja kama galaxy s5 inaweza kuwa na model tofauti tofauti hata 10, hivyo kujua simu yako fanya hivi

-Nenda setting halafu about utaona model number ya simu
Tap-on-device-name-under-settings.jpg

Ukiipata hio model number angalia online ni ya wapi, site kama gsmarena kwenye specs za simu hueka model na maeneo zinapotoka unatakiwa uwe na model international, au just google simu yako na neno international version kwa mbele, mfano galaxy s5 international version utapata model ya international kama huna hio ujue kuna uwezekano kupata madhara ya hapo juu

-Njia nyengine ni kuregister na warranty ya samsung sema njia hii ni kwa simu mpya zilizotoka chini ya miaka miwili iliopita.. utaandika neno REG*imei# halafu tuma kwenda 15685 utajibiwa, badili neno imei na imei halisi ya simu

jinsi ya kupunguza madhara ya simu za kichina

1.Badili app husika
Mfano dialer ina maneno ya kikorea nenda playstore install dialer nyengine tumia

2. Badili rom
Unaweza ukaeka custom rom kama cyanogen hii itasolve matatizo mengi tu

3. Mods mbali mbali
Kuna simu zinakubali kubadili bands zake na kueka bands za nchi yako, kuna mods za bootloader kwa wale ambao rom za international zinakataa etc

Una tatizo la simu za Kikorea? Usisite kulitaja hapo chini.
hahah

hahahaha....chief mkwawa!! long time sana sijaingia humu. last time nakumbuka tulikua tunaeleweshana kuhusu simu za Tecno. wewe ulikua huzipendi kabisa mpaka ukawa unazipondea. vipi sasahiv?!..bado unaendelea kuziponda na kuziona hazifai?
 
yap msimamo upo vile vile, na sio Tecno tu hadi brand kubwa wanaodanganya watu na vimeo vya mediatek nitawaambia watu wasinunue.

japo mediatek ame improve sasa hivi, nitarecomend zile simu zinazotumia hizo improved processor tu.
 
sasa kakaa..unamuongeleaje housgirl, mama ntilie, kondakta, watu wote wa levo za chini ambao hawawezi kuafford simu nyingine hizo za bei ghali kidogo? Tecno amekua mkombozi wa Tanzania, afrika kwa ujumla ..sababu ya affordable prices. anatengeneza simu kwa kila budget. Actually ndo inaongozwa kwa kutumiwa na watu wengi tz
 
Back
Top Bottom