Teknolojia ni Yetu sote
JF-Expert Member
- Apr 28, 2020
- 1,355
- 2,768
Kabla ujaamua kununua simu Used tafadhari Kuna mambo Muhimu ya kuzingatia ili kuwa Salama kwa mwaka huu 2026.
Simu inaweza kuwa imependeza, haina scratch na bei yake ni tamu… lakini ukikosea vitu hivi 3, unaweza kujikuta umenunua tatizo badala ya simu! 💀
👀 1. IMEI & LOCK
Hakikisha IMEI zinalingana na simu na simu haina iCloud/FRP Lock.
🔋 2. BATTERY & HISTORY
Usiangalie chaji iliyopo tu—chunguza afya ya betri na kama simu imewahi kufunguliwa au kutengenezwa.
🛠️ 3. TEST KILA KITU
Screen, touch, kamera, spika, microphone, charging, SIM, Wi-Fi, Bluetooth na fingerprint/Face Unlock.
🔥 Dakika 5 za ukaguzi zinaweza kukuokoa na hasara kubwa! 📌 SAVE HII VIDEO kabla hujanunua simu used.
👇 Wewe ukienda kununua simu used, huwa unaangalia kitu gani kwanza? Tuambie kwenye comments! 👇