Jihadhari na simu za mitandao ya Kikorea, China na Marekani

Mkuu vap hii naona inasoma 4g tu jamaaa aliniagizia toka china nisaidie haiwez soma kama 2g,3g chief mkwawa nisaidie kwa ilo
VPr4lZM.jpg

Sent from mTalk
jaribu kueka mtandao usio na 4g mfano halotel ukiona bado inaandika 4g ujue hio 4g ni 3g.

mitandao mingi ya marekani huwadanganya wateja Hspa+ ni 4G
 
bac mepigwa mana nikiekaga halotel inaandika 4g
 
Wiki kadhaa zilizopita nilikuwa na ndugu yangu mmoja mitaa ya Aggrey tukitafuta simu aina ya galaxy Note 4 mpya, huwezi kuamini tulizunguka maduka yanaweza kufika hata 100 lakini hatukupata hata note 4 moja ambayo ni ya kimataifa (Africa pia) zote zilikuwa ni simu ambazo wamezitoa kwenye mitandao ya simu ya Kimarekani, Korea na China pamoja na nchi nyengine kubwa kubwa. Simu hizi nyingi zilikuwa zimelokiwa na jamaa wamezi unlock na pia ni mbaya kwa matumizi yetu ya kitanzania, leo hii nimeona niandike thread hii kuelezea madhara ya hizi simu na pia tuelezane njia za kupunguza hayo madhara kwa wenye nazo.

Hupati updates, warranty wala support yoyote
Unaponunua simu hizi usitegemee kupata updates badala yake ukitaka update inabidi udownload manual, vile vile hata kama simu ni mpya ikiharibika inabidi urudishe ilipotoka. mfano una galaxy s7 ya kikorea ukiwapelekea samsung Tanzania hawatakutengenezea sababu haiwahusu. Hata mwenye duka akikwambia anakupa warranty ni muongo tu labda airudishe alipoitoa kama atakua tayari.

Zinasumbua ussd
Umeshanunua simu ukaona ukiuliza salio *102# inakubali lakini mpesa, tigopesa na vyengine vinakataa? ukiona hivyo ujue tayari upo mkumbo huu umeuziwa simu za kikorea na wenzie
connection-problem-invalid-mmi-code.png

Muda wote zinaandika 4g au kutoshika kabisa 3g
Watu wengi hufikiri simu zao zina 4g kumbe hazina, mitandao mingi ya kimarekani na baadhi ya nchi wanaitwa hspa+ kama 4g kitu ambacho sio sahihi, hivyo simu hizo zikija hapa kwetu huandika 4g hata kama mtandao ni wa 3g, ukiona simu yako ipo hivi ujue umeshauziwa hizi simu, pia kuna mitandao kama T-mobile band yao ni 1700mhz hivyo simu zao zinaweza zisishike kabisa 3g huku kwetu

Simu za CDMA na band tofauti
Pia simu hizi zipo za CDMA zinaweza kuja Tanzania zisishike kabisa network ukapata pengine 4g tu, na hio 4g inaweza iwe ni band ambazo hazikubali kwetu, mtandao pekee wa Tanzania wenye band za kichina china ni smart band 2300mhz hivyo ukiwa na simu ya namna hii angalia mtandao wa smart.

Zinakuja bila google play store
Nchi kama China playstore kwao sio maarufu, hivyo simu zao zikija huku kwetu zinasumbua unakuta haina playstore wala app yoyote ya google hivyo kuanza kukuhangaisha kuweka hizo app sometime inabidi hadi uflash simu

SMA charachter sio 160
Kikawaida sms moja huwa na herufi 160 (pamoja na space na namba) lakini simu hizi huwa na herufi chini ya 160 hivyo utakatwa hela nyingi zaidi pamoja na kuharibu mfumo mzima wa kutumiwa mfano mtu akituma msg ya 160 kwako itakuwa kama msg 2. kwa wale wanaotuma msg ni muhimu hii.
jw-ucEQB3dwV42Bl8OMBJR51HbdW-0rLyJoJvOsrr2IP_b2-LlhJd0Cx-qaW0JqM_54=h900

mfano hii ina charachter 70 tu hivyo msg ya 160 itahesabika kama sms 3

Dialer ya kikorea au kichina
Pia inaweza tokea dialer (ya kupigia simu) ikawa mfumo wa kikorea
main-qimg-6a4e834ec4324839357802e8b65ec023

Support ndogo ya developers
Pia simu hizi huwa na custom rom chache au usipate kabisa, njia za kuroot wakati mwengine zinakuwa ngumu, nyengine zinalokiwa bootloader etc kama wewe ni power user simu hizi zinakuwa pasua kichwa.

Hayo ni baadhi ya madhara ya simu za kikorea, kama kuna mengine nimeyasahau mutaniambia.

Namna ya kujua kama simu ni ya kikorea au international
Kusema simu inaitwa lg g2 au galaxy s5 haitoshi kila simu inakuwa na model zake, simu moja kama galaxy s5 inaweza kuwa na model tofauti tofauti hata 10, hivyo kujua simu yako fanya hivi

-Nenda setting halafu about utaona model number ya simu
Tap-on-device-name-under-settings.jpg

Ukiipata hio model number angalia online ni ya wapi, site kama gsmarena kwenye specs za simu hueka model na maeneo zinapotoka unatakiwa uwe na model international, au just google simu yako na neno international version kwa mbele, mfano galaxy s5 international version utapata model ya international kama huna hio ujue kuna uwezekano kupata madhara ya hapo juu

-Njia nyengine ni kuregister na warranty ya samsung sema njia hii ni kwa simu mpya zilizotoka chini ya miaka miwili iliopita.. utaandika neno REG*imei# halafu tuma kwenda 15685 utajibiwa, badili neno imei na imei halisi ya simu

jinsi ya kupunguza madhara ya simu za kichina

1.Badili app husika
Mfano dialer ina maneno ya kikorea nenda playstore install dialer nyengine tumia

2. Badili rom
Unaweza ukaeka custom rom kama cyanogen hii itasolve matatizo mengi tu

3. Mods mbali mbali
Kuna simu zinakubali kubadili bands zake na kueka bands za nchi yako, kuna mods za bootloader kwa wale ambao rom za international zinakataa etc

Una tatizo la simu za Kikorea? Usisite kulitaja hapo chini.
iphone ni moja tu mkuu dunia nzima, kama utaweza kui unlock band ni zile zile, na matumizi ni yale yale sijawahi kutana na case hizi kwa iphone. kujua kama simu yako ina lock au haina eka tu line ya simu jaribu kupiga simu na kuingia internet vikikubali basi ipo fresh, zaidi tumia hii link kuangalia vitu kama warranty na mengineyo

Check Your Service and Support Coverage - Apple Support

utaeka serial
Wakati mwingine simu kutoka Marekani haswa za mitandao ya Verizon, T-Mobile, Sprint na AT&T huwa zinalimit baadhi ya features kama Wifi Hotspot na kwa bahati mbaya zaidi baadhi ya simu kutoka kwenye mitandao hii hazina support ya community ya custom ROM's na wakati mwingine ukipata ROM inakua na shida ya Bluetooth na Wifi mfano HTC One M7 ya Sprint(m7sprt).
Kwa wale watakaopenda simu kutoka kwenye kampuni za kichina au Korea wawe wanajaribu kupitia forums mbalimbali kama XDA kuangalia upatikanaji wa ROM, radio, custom kernel, RUU, na hizo mods nyinginezo.
 
jaribu kueka mtandao usio na 4g mfano halotel ukiona bado inaandika 4g ujue hio 4g ni 3g.

mitandao mingi ya marekani huwadanganya wateja Hspa+ ni 4G
Hili kweli mkuu nilijaribu kudownload app moja nimesahau lakini ilikuwa na maelezo kuwa simu yangu ni 3g ijapokuwa mda wote inasoma 4g
 
jaribu kueka mtandao usio na 4g mfano halotel ukiona bado inaandika 4g ujue hio 4g ni 3g.

mitandao mingi ya marekani huwadanganya wateja Hspa+ ni 4G
Mkuu Chief-Mkwawa LG P679 20h ina version nyingine na maana naweza update kwenda toleo jingine linaloendana na wakati huu?

Kama naweza ntatumia APP gani.

Asante
 
Wiki kadhaa zilizopita nilikuwa na ndugu yangu mmoja mitaa ya Aggrey tukitafuta simu aina ya galaxy Note 4 mpya, huwezi kuamini tulizunguka maduka yanaweza kufika hata 100 lakini hatukupata hata note 4 moja ambayo ni ya kimataifa (Africa pia) zote zilikuwa ni simu ambazo wamezitoa kwenye mitandao ya simu ya Kimarekani, Korea na China pamoja na nchi nyengine kubwa kubwa. Simu hizi nyingi zilikuwa zimelokiwa na jamaa wamezi unlock na pia ni mbaya kwa matumizi yetu ya kitanzania, leo hii nimeona niandike thread hii kuelezea madhara ya hizi simu na pia tuelezane njia za kupunguza hayo madhara kwa wenye nazo.

Hupati updates, warranty wala support yoyote
Unaponunua simu hizi usitegemee kupata updates badala yake ukitaka update inabidi udownload manual, vile vile hata kama simu ni mpya ikiharibika inabidi urudishe ilipotoka. mfano una galaxy s7 ya kikorea ukiwapelekea samsung Tanzania hawatakutengenezea sababu haiwahusu. Hata mwenye duka akikwambia anakupa warranty ni muongo tu labda airudishe alipoitoa kama atakua tayari.

Zinasumbua ussd
Umeshanunua simu ukaona ukiuliza salio *102# inakubali lakini mpesa, tigopesa na vyengine vinakataa? ukiona hivyo ujue tayari upo mkumbo huu umeuziwa simu za kikorea na wenzie
connection-problem-invalid-mmi-code.png

Muda wote zinaandika 4g au kutoshika kabisa 3g
Watu wengi hufikiri simu zao zina 4g kumbe hazina, mitandao mingi ya kimarekani na baadhi ya nchi wanaitwa hspa+ kama 4g kitu ambacho sio sahihi, hivyo simu hizo zikija hapa kwetu huandika 4g hata kama mtandao ni wa 3g, ukiona simu yako ipo hivi ujue umeshauziwa hizi simu, pia kuna mitandao kama T-mobile band yao ni 1700mhz hivyo simu zao zinaweza zisishike kabisa 3g huku kwetu

Simu za CDMA na band tofauti
Pia simu hizi zipo za CDMA zinaweza kuja Tanzania zisishike kabisa network ukapata pengine 4g tu, na hio 4g inaweza iwe ni band ambazo hazikubali kwetu, mtandao pekee wa Tanzania wenye band za kichina china ni smart band 2300mhz hivyo ukiwa na simu ya namna hii angalia mtandao wa smart.

Zinakuja bila google play store
Nchi kama China playstore kwao sio maarufu, hivyo simu zao zikija huku kwetu zinasumbua unakuta haina playstore wala app yoyote ya google hivyo kuanza kukuhangaisha kuweka hizo app sometime inabidi hadi uflash simu

SMA charachter sio 160
Kikawaida sms moja huwa na herufi 160 (pamoja na space na namba) lakini simu hizi huwa na herufi chini ya 160 hivyo utakatwa hela nyingi zaidi pamoja na kuharibu mfumo mzima wa kutumiwa mfano mtu akituma msg ya 160 kwako itakuwa kama msg 2. kwa wale wanaotuma msg ni muhimu hii.
jw-ucEQB3dwV42Bl8OMBJR51HbdW-0rLyJoJvOsrr2IP_b2-LlhJd0Cx-qaW0JqM_54=h900

mfano hii ina charachter 70 tu hivyo msg ya 160 itahesabika kama sms 3

Dialer ya kikorea au kichina
Pia inaweza tokea dialer (ya kupigia simu) ikawa mfumo wa kikorea
main-qimg-6a4e834ec4324839357802e8b65ec023

Support ndogo ya developers
Pia simu hizi huwa na custom rom chache au usipate kabisa, njia za kuroot wakati mwengine zinakuwa ngumu, nyengine zinalokiwa bootloader etc kama wewe ni power user simu hizi zinakuwa pasua kichwa.

Hayo ni baadhi ya madhara ya simu za kikorea, kama kuna mengine nimeyasahau mutaniambia.

Namna ya kujua kama simu ni ya kikorea au international
Kusema simu inaitwa lg g2 au galaxy s5 haitoshi kila simu inakuwa na model zake, simu moja kama galaxy s5 inaweza kuwa na model tofauti tofauti hata 10, hivyo kujua simu yako fanya hivi

-Nenda setting halafu about utaona model number ya simu
Tap-on-device-name-under-settings.jpg

Ukiipata hio model number angalia online ni ya wapi, site kama gsmarena kwenye specs za simu hueka model na maeneo zinapotoka unatakiwa uwe na model international, au just google simu yako na neno international version kwa mbele, mfano galaxy s5 international version utapata model ya international kama huna hio ujue kuna uwezekano kupata madhara ya hapo juu

-Njia nyengine ni kuregister na warranty ya samsung sema njia hii ni kwa simu mpya zilizotoka chini ya miaka miwili iliopita.. utaandika neno REG*imei# halafu tuma kwenda 15685 utajibiwa, badili neno imei na imei halisi ya simu

jinsi ya kupunguza madhara ya simu za kichina

1.Badili app husika
Mfano dialer ina maneno ya kikorea nenda playstore install dialer nyengine tumia

2. Badili rom
Unaweza ukaeka custom rom kama cyanogen hii itasolve matatizo mengi tu

3. Mods mbali mbali
Kuna simu zinakubali kubadili bands zake na kueka bands za nchi yako, kuna mods za bootloader kwa wale ambao rom za international zinakataa etc

Una tatizo la simu za Kikorea? Usisite kulitaja hapo chini.

Somo zuri sana kwa sisi tusiojua hizi mambo!
 
Mkuu Chief-Mkwawa LG P679 20h ina version nyingine na maana naweza update kwenda toleo jingine linaloendana na wakati huu?

Kama naweza ntatumia APP gani.

Asante
naona kuna cyanogen 12 ambayo ni lolipop, kama unajua unachofanya unaweza kuiflash
 
Yaani ndio maana sijutii kujiunga jf maana ukiwa mfutiliaji hukosi kitu.

Japo sijui mambo ya technoly wala sijawahi kwenda darasani kuhusu elimu hiyo lakini mimi ndio kama chief kwenye eneo ninaloishi watu wengi wakinunua/seting smartphone lazima anione hii yote tokana na niliyojifunza toka jf.

Ubarikiwe sana mkuu kwa elimu unayotoa!
 
Wakati mwingine simu kutoka Marekani haswa za mitandao ya Verizon, T-Mobile, Sprint na AT&T huwa zinalimit baadhi ya features kama Wifi Hotspot na kwa bahati mbaya zaidi baadhi ya simu kutoka kwenye mitandao hii hazina support ya community ya custom ROM's na wakati mwingine ukipata ROM inakua na shida ya Bluetooth na Wifi mfano HTC One M7 ya Sprint(m7sprt).
Kwa wale watakaopenda simu kutoka kwenye kampuni za kichina au Korea wawe wanajaribu kupitia forums mbalimbali kama XDA kuangalia upatikanaji wa ROM, radio, custom kernel, RUU, na hizo mods nyinginezo.
ni kweli mkuu nyingi huzingua hotspot, na soln yake ni kureplace hio wifi na hotspot controll ya chainfire
 
Mkuu,nina maswali machache naomba unijibu, nina LG G3 (lgls990) hii simu nimeigoogle nimekuta ni toleo la Sprint mitandao ya huko Ulaya, na Band zake za 4G LTE ni 850, 1900 na 2500
Swali la kwanza; ni mtandao gani wa simu hapa bongo unaotumia band hizo?
Swali la pili; inatatizo la kustuck, mf.unataka kuswipe down ili uone notification au uwashe data inagoma, au mda mwingine touch inagoma kufanya kazi kabisa mpaka itakapoamua yenyewe au utoe battery kisha uiwashe, tatizo laweza kuwa nini ni software au hardware?
Swali la tatu; nataka kuiflash kwa kuweka stock firmware ya international version, je, itaweza support 4G ya mitandao ya hapa Bongo na kutatua tatizo la kustuck? Chief-Mkwawa naomba unijibu hayo maswali matatu hapo juu maana hali tete
[emoji106]
 
Chief cm yangu ni HTC inasuport 3g tu, lkn ina CDMA 4g ila haisupport, kuna mtu kaniambia inawezekana akaifanya iweze kupandisha 4g, tatizo linalokuja je, kwanza ni kweli inawezekana,? Na pili kama itafanyika hivyo haitakuwa na tatizo kwa maana ya kupungua ubora au kuharibika kabisa,? Naomba msaada wako Chief Mkwawa
 
Mkuu hebu tusaidiane kwenye hiz bend huwa zinatofautiana nguvu ya kimtandao?
band ni kama vile kwenye redio, radio one ina band yake, tbc fm ina band yake etc.

zinatofautiana nguvu na speed ila kwa theory mfano band 800 ya tigo ina coverage kubwa ila speed sio kubwa sana na 1800 coverage ni ndogo na speed kubwa, ila kwenye real life unaweza usione hata tofauti.
 
Chief cm yangu ni HTC inasuport 3g tu, lkn ina CDMA 4g ila haisupport, kuna mtu kaniambia inawezekana akaifanya iweze kupandisha 4g, tatizo linalokuja je, kwanza ni kweli inawezekana,? Na pili kama itafanyika hivyo haitakuwa na tatizo kwa maana ya kupungua ubora au kuharibika kabisa,? Naomba msaada wako Chief Mkwawa
mkuu hakuna kitu kama cdma ya 4g, ni htc gani? nitajie full name yake
 
We ni chief mkwawa yule yule mwanangu....I mean Sinza Queen of sheba enzi hizo au nipe clue tu
 
Back
Top Bottom