Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 32,265
- 44,396
- Thread starter
- #241
Nimefanikiwa kununua hii simu ni nzuri ila changamoto zake
1. inakupa options zote za tigo pesa kasoro za sim banking(kutuma pesa kwenda bank haiwezi)
2. inaandika 4g mda woote japo iko speed sana kwa kweli
alternative kwa sim banking download app ya tigopesa au mpesa playstore
hio 4g mda wote ichunguze sometime ni 3g tu, simu za marekani zipo hivyo wanadanganya wananchi wao. ni simu gani hio?