Tuliochelewa kuiona hii thread tunapata tabu sana na wengi tumeshapigwa nahisi....huyu mkorea ni noma!!!
Nina Samsung galaxy s8 Active naamini ni ya kikorea maana betri lake limeandikwa made in Korea. Tatizo ni nzito kufungua app na inaganda Mara kwa Mara. Internal memory inasoma 128gb lakini nimeshatumia GB 3 tu na inagoma kuinstall app nyingine yeyote ile hata kama ina mb ndogo wala kuhamisha file kutoka SD card kwenda phone memory inasema insufficient space....hata hivi ninpoandi inastuck yaani majanga matupu!!! Msaada tutani niifanyeje? App zinastop tu hakuna raha ya kutumia! Wakuu nisaidieni
Chief-Mkwawa
Ram yake nimecheck ni 3.87gb, yaani shida tupu. 2g, 3g na 4g mitandao yote inasoma