Jihadhari na simu za mitandao ya Kikorea, China na Marekani

Mkuu am sorry,hivi huwa kuna simu za xiaomi za size 4.0 au 4.7?...napenda sana brand za xiaomi ila mimi siyo mpenzi wa masimu makubwa ya 5 au 6!!
hizo hawana mkuu, labda za zamani sana kama redmi 2.

kama unataka simu ndogo za kisasa angalia kwa Sony xperia zile compact zao kama z3 compact, xz compact etc au samsung galaxy A3.
 
Mkuu tatizo la uncirtified linatatulika!?? Nna mchina wangu hapa unagoma baadhi ya app.
 
hizo hawana mkuu, labda za zamani sana kama redmi 2.

kama unataka simu ndogo za kisasa angalia kwa Sony xperia zile compact zao kama z3 compact, xz compact etc au samsung galaxy A3.
Tatizo mkuu hizo sony xperia na samsung galaxy A3 zinatumia version za zamani sana za android kama vile kitkat!....Mimi natamani simu nzuri ndogo ya budget ndogo inayotumia version za sasa hivi/za kisasa za android angalao kuanzia marshmallow!
 
hapana aisee zinatoka kila mwaka hata ukitaka ya Oreo ipo.

A3 ya 2017 ilitoka na android 6 na inapokea hadi oreo.

hizo xperia kila.mwaka zinatoka.
 
Mkuu nipe maujanja wa jinsi ya kuapdate hizi T Mobile...Nina S8+ N nataka kuipeleka Oreo.
 
unaflash na odin mkuu. kwa ushauri wangu mkuu enjoy simu yako kwa sasa then subiria ikitoka android p uta update. maana haya mambo ya odin sio 100% safe.

[GUIDE]: Flash Oreo (G950FXXU1CRB7) using new Odin (3.13.1)

unaweza kuangalia hio link jinsi unavyofanya ku update manual. usije uka update, just angalia tu maana hio ni s8 ya kimataifa kwenye hio link.
 
@Chief-Mkwawa nawezaje kununua app playstore nimekuwa nikijaribu kwa card tofautitofaut za bank ( Visa card)...zimegoma zote...napata ujumbe try different card
NB: nimetumia Equity, Bank ABC visa card
Cheki hapa utaelewa tu!
[emoji116] utadownload bureee

unaflash na odin mkuu. kwa ushauri wangu mkuu enjoy simu yako kwa sasa then subiria ikitoka android p uta update. maana haya mambo ya odin sio 100% safe.

[GUIDE]: Flash Oreo (G950FXXU1CRB7) using new Odin (3.13.1)

unaweza kuangalia hio link jinsi unavyofanya ku update manual. usije uka update, just angalia tu maana hio ni s8 ya kimataifa kwenye hio link.

Shukrani Mkuu kwa hiyo, Hiyo android P itakuwa kwa Otta ama manual...ama nayo itahitaji kuflashi ndio uapdate
 
itahitaji kuflash pia. sema utakuwa umepata sababu kubwa ya ku update. sasa hivi hujapitwa sana kwenye features za simu.
 
wanafungia imei, ukiona simu original imefungiwa ujue
-kuna simu fake ina ina imei kama yako hivyo TCRA wanafungia zote mbili
-imei yako wamei blacklist pengine ni simu ya wizi

vyema ukaenda TCRA kama una box, risiti na vithibitisho vyengine wakufungulie
Haya matatizo ya IMEI nayaona saaana katika simu za Samsung aiseeee, binafsi linanisumbuaga sana na sina document yoyote ya simu tangu iliponunuliwa.
 
za mediatek pia yapo. sema kwa mediatek ni dakika 1 tu kusolve sometime hudownload hata app kuna vi namba tu vya ussd unapiga unasolve tatizo.

ila kwa simu za Qualcomm security ni tight mpaka utafute certificates na makorokoro mengine ndio uweze kusolve.
 
Habari!na samsung g906k ya kikorea haikubali ussd na wala iwez change network type imean 3g ,4g but automatic ina jicontrol kama eneo la 4g na nimepata hilo tatizo nilipopata update ya android 6 unaweza nisaidia kusolve@chief-mkwawa
 
Chief Shukrani Sana nami nimeona Samsung za kikorea inakamata 4G lakini katika kudownload kitu haiendi kabisa iko slow kama watumia 3G
 
@Chief-Mkwawa nawezaje kununua app playstore nimekuwa nikijaribu kwa card tofautitofaut za bank ( Visa card)...zimegoma zote...napata ujumbe try different card
NB: nimetumia Equity, Bank ABC visa card
Tumia tigo pesa kwa sasa inafanya kazi vema kabisa
 
Back
Top Bottom