PoleHata sielewi mambo haya.
Mrembo usiogope ni mambo ya kufikirika tu,Preta mrembo unaaishi Arusha mjini?, kama ndiyo ninaomba msaada kuna binti hapo Arusha mjini ni ndugu yangu nahitaji namba yake.Napenda lakini mwoga........nipe audio......
Mrembo usiogope ni mambo ya kufikirika tu,Preta mrembo unaaishi Arusha mjini?, kama ndiyo ninaomba msaada kuna binti hapo Arusha mjini ni ndugu yangu nahitaji namba yake.
Namba nimepoteza ni ndugu wa kufikia na nilikua Arusha a month ago,anaitwa Josephin ana ndugu zake wengine half Irish wako U.K na America mama yao alizaa na mzungu Ex Padre,na akaja kuzaa na aliekuwa RPC Arusha Mr Manyama,mimi niko Germany.Ngekewa ni nini na inauhusiano gani na imani za kichawi
Mrembo namba nimepoteza ni ndugu wa kufikia,nilikuwa Arusha a month ago or so,anaitwa Josephin ana ndugu zake Half Irish sasa wanaishi U.K na USA,mama yao alizaa na mzungu(Irish) ex Padre alifariki,baadae akazaa na aliekuwa RPC Arusha marehemu Manyama.Ooooh.......huyo lazima namjua.......
Ni ndugu yako lakini huna namba.......basi sawa.......
Anaitwa nani........?......
Oooh samahani sana nimekosea nilikuwa namuandikia mrembo Preta,unisamehe.Ndo nini karanja007 hiyo. Cjakusoma
Mrembo namba nimepoteza ni ndugu wa kufikia,nilikuwa Arusha a month ago or so,anaitwa Josephin ana ndugu zake Half Irish sasa wanaishi U.K na USA,mama yao alizaa na mzungu(Irish) ex Padre alifariki,baadae akazaa na aliekuwa RPC Arusha marehemu Manyama.