Give us some more,its interestingmshana jr
NAANZA KUTEACH AT DEEP NOW:-
WAT I BRING HERE IS SO TRUEL AND WORK WELL,
GET KNOW.....
Benefits of Birds
When swallow feathers are
placed under the pillow of a
person, he will not be able to fall
asleep for as long as the
feathers are there.
Crow's egg, when given to an
alcoholic, will stop his habit.
When a person eats the tongue
of a mynah, parrot or cockatoo,
he will have a long tongue and
be very talkative.
Whoever eats the meat of a
pigeon will change from being
stupid to being intelligent/
Hii nikama NYOTA ya kukubalika kwa Lugha ya BIBLIA inaitwa KIBALI manake kila unachofanya kinafanikiwa.....Pia kuna mnyama flan mdogo sana anaitwa hilo jina inasemekana anapokaa huyo mnyama basi kila aina ya wadudu wanamsogelea sasa washirikina wanamchukua wanamfanyia majambo kwenye biasharaNgekewa ni nini na inauhusiano gani na imani za kichawi
" huyo ni mshirikina"Kuna kitu natamani kujua kwa yyt mwenye ufahamu wa haya mambo nikwanini waganga wanapenda kutumia vitu vilivyokufa kwa mfano...mafuvu...ya watu...migupa labda ya mnyama nk Wakati nilikuwa naendekeza mambo hayo ya kishirikina kabla sijamjua MUNGU wa KWELI niliwahi kumuuliza swali hili Mganga 1 huko NEWALA lkn hakunijibu hadi bado natamani kujua
mkuu naskia watu wanaongelea spell ndo nini hzo, napendaga sana kujua haya mambo ya ajabu" huyo ni mshirikina"
mtu akisha gusa tu human parts mwogope! ndio hao washenzi wanao maliza ndg zetu albinisms/
mkuu ulitufundisha mbinu za kuwazuia hawa majamaa usiku, ulisema noah na nini tenaKuna mahusiano kama ukitaka kupata pesa za haraka
Sorry mrembo nilikuwa offline kidogo,nafikiri itakuwa hivyo coz nyumba yao iko eneo hilo la bondeni,nyumba yao ni rangi ya njano advertisement ya MOBISOL na imeandikwa MOBIOSOL kwa juu, yeye mwenyewe mweupe chotara.Wanakaa opposite shule ya Bondeni.......?.....
Wacha ujinga wa kopi and pesti.
Mshana naomba unilogee FaizaFoxy