Jifunze ushirikina hapa

1455795894137.jpg
ila tuacheni maskhara uchawi ni sayansi yenye mvuto wa ajabu na inafurahisha sana hasa pale mtu anapotaka ithibati juu ya hiki kitu ushirikina
 
Napenda lakini mwoga........nipe audio......
Mrembo usiogope ni mambo ya kufikirika tu,Preta mrembo unaaishi Arusha mjini?, kama ndiyo ninaomba msaada kuna binti hapo Arusha mjini ni ndugu yangu nahitaji namba yake.
 
Mrembo usiogope ni mambo ya kufikirika tu,Preta mrembo unaaishi Arusha mjini?, kama ndiyo ninaomba msaada kuna binti hapo Arusha mjini ni ndugu yangu nahitaji namba yake.

Ooooh.......huyo lazima namjua.......
Ni ndugu yako lakini huna namba.......basi sawa.......
Anaitwa nani........?......
 
Ngekewa ni nini na inauhusiano gani na imani za kichawi
Namba nimepoteza ni ndugu wa kufikia na nilikua Arusha a month ago,anaitwa Josephin ana ndugu zake wengine half Irish wako U.K na America mama yao alizaa na mzungu Ex Padre,na akaja kuzaa na aliekuwa RPC Arusha Mr Manyama,mimi niko Germany.
 
Ooooh.......huyo lazima namjua.......
Ni ndugu yako lakini huna namba.......basi sawa.......
Anaitwa nani........?......
Mrembo namba nimepoteza ni ndugu wa kufikia,nilikuwa Arusha a month ago or so,anaitwa Josephin ana ndugu zake Half Irish sasa wanaishi U.K na USA,mama yao alizaa na mzungu(Irish) ex Padre alifariki,baadae akazaa na aliekuwa RPC Arusha marehemu Manyama.
 
mshana jr
NAANZA KUTEACH AT DEEP NOW:-
WAT I BRING HERE IS SO TRUEL AND WORK WELL,
GET KNOW.....

Benefits of Birds
When swallow feathers are
placed under the pillow of a
person, he will not be able to fall
asleep for as long as the
feathers are there.
Crow's egg, when given to an
alcoholic, will stop his habit.
When a person eats the tongue
of a mynah, parrot or cockatoo,
he will have a long tongue and
be very talkative.
Whoever eats the meat of a
pigeon will change from being
stupid to being intelligent/
 
Mrembo namba nimepoteza ni ndugu wa kufikia,nilikuwa Arusha a month ago or so,anaitwa Josephin ana ndugu zake Half Irish sasa wanaishi U.K na USA,mama yao alizaa na mzungu(Irish) ex Padre alifariki,baadae akazaa na aliekuwa RPC Arusha marehemu Manyama.

Wanakaa opposite shule ya Bondeni.......?.....
 
.... mmezaa mtoto wenu kha miezi inapita 6,7,8,9 kha katoto kanakaa hakatambai kha shida hii....
mnapomaliza shuguli za kikubwa kila kitamba mlicho futia futia....
mkandie mwana kiunoni mikononi miguuni inshaallah rejea Mara 3,4...katoto kaleee mbiooo....
 
Back
Top Bottom