Jifunze TENSES hapa

Iko poa sana.
 
Nataku Kumwelezea Mtu Kwa AKiingereza Kuwa Nilikwenda Kuwapokea Wototo Kwenye Basi La Dar Expres Lakini Hao Wototo Hawakuwepo Kwenye Hilo Basi
I Went to Receive Children On The Dar Expres But But Children Were Not There
 
Mimi ni mtoto wa wangapi kuzaliwa baba?
Kwa kimalkia tunasemaje hii?
 
Cha ajabu cfaham umeandika nn lakin naongea English vzr sana! English ya kusomo mara zote nafeli
 
Elimu nje ya ADA shkran sanaa🙏🙏🏿
 
Nataku Kumwelezea Mtu Kwa AKiingereza Kuwa Nilikwenda Kuwapokea Wototo Kwenye Basi La Dar Expres Lakini Hao Wototo Hawakuwepo Kwenye Hilo Basi
So I went to pickup the kids from dar express bus but the kids weren't in the bus.
 
Mkuu mr teacher hebu tufundishe na jinsi ya kuunda sentensi kwa wepesi wakati wa kuzungumza

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi sio mwalimu lakini nakwambia ninachokijua.

Njia pekee ya kuweza kuunda sentence kwa wepesi ni kuizoea hiyo lugha kwa kuitamka sana, mostly kuongea kwa hiyo lugha kichwani mwako muda wote.
Pia ujifunze misamiati mingi kadri unavyoweza.
Baada ya miezi kadhaa utakuwa unashuka tu bila wasiwasi bila kufikiria kama kiswahili tu.
 

Exactly umesema Mkuu hizo formula sijui format zipo labda kwa darasani ukiwa unajibu mitihan ila sio njia sahihi kwa anaejifunza..muhimu ni mazoez na kuongea... inafika wakati unaunda sentensi na hauwazi sheria yoyote ya tensi na mambo yanaenda sawa inakuwa grammatically correct.

Kikubwa ni kufanya mazoez, kusikiliza podcast& audiobooks kuangalia taarifa za habari CNN, BBC etc pia movies sana sana drama za maisha ya kawaida sio hizi sci-fi(zina lugha ngumu kidg) kukiwa na mazoezi meng lugha ni rahis
 

1. b (T)
2. c (T)
3. hii sijaelewa sentesi yenyewe sijui

4. b (T)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…