Jifunze TENSES hapa

Mie tatizo langu ni nakielewa vizuri sana,yaani kwa kuisoma tu na kuisikia hii lugha nipo vizuri mbaya kabisa japo siyo kwa % zote but linapokuja suala la kutaka mimi niandike au nijibu sahihi huwa nashindwa sasa sijui ni uwoga au wenge tu!

Naomba kusaidiwa ktk hili nifanyeje nikae sawa?kichwani nina form five ya Mkapa unajua kipindi hiko kidogo elimu yetu ilikuwa active siyo kama sasa.

Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
 

Ingia kwenye hiyo thread, watu wametoa sana ushauri.

https/www.jamiiforums.com/threads/english-learning-thread.310708/?iorg_service_id_internal=925946837445621%3BAfocCXcfSZknBRzw
 
$ mm wazungu siwasikiagi kabisa
 
Ratiba siyo rafiki kwangu leo, nahisi nikiwa free ntakuja, kuna michanganyo kwenye prepositions bado nina maswali mengi.
 
Jua linachoma sana Dar yaani afadhali ya Moshi kule halichomi sana kama Dar, kule ni balaa

Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo
 
Are you a linguist?

Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…