ladyfurahia
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 14,758
- 9,592
Natumaini hamjambo wanajamvi wenzangu
Awali ya yote nimejisikia vizuri kuwa mmojawapo wa wale wanaoweza kuthubutu kufanya kitu na kikawezekana.
Leo tena nimekuja na jambo au mada hapo juu isemayo: "Jifunze kutoka kwa wenzako yale mambo makubwa waliyoyafanya" Je umeona nini kwao na kitu gani kimekupa mwanga wa upenyo kutoka hapo katika mlima mrefu unaopitia sasa au uliokwisha pitia nyuma? Je unafunza nini toka kwao uonapo wanafanikiwa katika mambo yao walliyoyafanya/wanayoyafanya?
Rafiki yangu wa pekee nadhani maswali hayo mara nyingi umeshajiuliza na kuona kuwa hakuna njia mbadala ya kuweza kupenya kutoka katika kizingiti ambacho umekwama au katika hali unayopitia sasa. Naomba usiwe mtu wa kukata tamaana kuona unashindwa kutoka hapo ulipo lipo TUMAINI la pekee kwako ukiumuomba Mungu naye atafanya njia pasipo nanjia, atatengeneza pale palipo haribika na kuwa bora kwako, utaona njia ambayo kwayo uliona giza hebu rafiki soma Mark 11:23-25, na soma Jeremiah 33:1-3 "Call unto me, and I will answer thee, and shew thee great and mighty things, which thou knowest not.", na soma pia Jeremiah 32:27 "Behold, I am the LORD, the GOD of all flesh; is there any thing too hard for me?"
Je kuna Neno gumu linalomshinda Mungu Baba hakuna soma Warumi 8:29-34 Wewe ni mshindi zaidi ya washindi hivyo usiwe mwepesi wa kukata tamaa kwa jambo linalokuzunguka iwe elimu, kupata kazi, au biashara imeanguka au imedorora, haoni tumaini la mbeleni katika mstakabali wa maisha yako. Wewe ona kuwa unaweza katika yeye akutiaye nguvu hakuna litakalokushinda ukimtanguliza Mungu katika mambo yako yote ufanyayo utaona nuru
ikimurika kwako. Acha nikutie moyo na kukupa ushuhuda huu mfupi: 'mwenzio nilikuwa kama wewe nilipotangulliza Mungu katika mambo yangu niliona kiza katika kila nilifanyalo, pale nilipotambua kuwa sikuzaliwa niwe masikini pali mwenye nguvu za utajiri wa hapa duniani na mbinguni pia, nilimwita Mungu Baba naye alisikia kilio changu na kufanya
njia pasipo na njia na sasa nimeweza kutunga kitabu changu kinachoitwa "Jicho la Woga" niko katika process za usambazaji na uchapishaji. Hivyo nakutia moyo nawe rafiki yangu usikate tamaa ipo siku Mungu atafungua madirisha ya mbinguni na kukumwagia baraka pale tu utakapothubutu na kutambua na kuwa mwombaji. Don't giveup
ciao
copy: Mamndenyi, Bakulutu, Nicas Mtei, Erickb52, Mentor, Smile, gfsonwin, Madame B, Chimbuvu, snowhite, Zion Daughter, Agush, Ruttashobolwa, ruttashubanyuma, nitonye, Excellent, Mpenda Yesu, Mr. Rocky, Invisible, na wanajf wengineo wote

Last edited by a moderator: