Jifunze kutoka kwa wenzako

Jifunze kutoka kwa wenzako

kaka Filipo njoo uwapatanishe hawa wanagombana jamani huku eti kisa sijampa nakala yake naye
 
Last edited by a moderator:
ondoa shaka utakipata wewe kuwa mvumilivu kwani mvumilivu hula mbivu nitakuPM, hiyo picha ni wewe na Madame B au?
nitafurahi kukipata hicho kitabu kikiwa tayari,uni pm ntakutumia pesa unitumie
 
Last edited by a moderator:
haukuwa na hasira yeyote alikuwa anakutania tu huyo mchukulie hivyohivyo
Mukubwa mwenzangu, kwa ufafanuzi huo ndy umenimiksi habari kabsaa! Sikuelewi hiyo hasira yangu iko pande gani!
 
ahsante kwa mada nzuri asubuhi hii ubarikiwe
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom