Madame B
JF-Expert Member
- Apr 9, 2012
- 29,976
- 32,281
Haya mpenzo.Na mie
Nakutag sekunde 2 tu dear
Haya mpenzo.Na mie
Poa poa dear.nitawawekea mi najipaka zangu Nazi tuSafi sana.
Napenda sana mtu akitoa mrejesho kama hivi.
Na pia ungekuwa na vitamin B zile capsule unaweka kama 3 au 4...basi mambo yanakuwa ng'aring'ari mdogo wangu.
View attachment 985560View attachment 985561
Du Mama yangu!!!!Mimi niliambiwa siku hizi napiga hela balaa. Madam b mtu sana.Mimi nawawekea Na bonjour basi wanawaka kama karatasi I don't care
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahha
ππππππππNdugu mbona humpendi mwenzio?umesahau maji ya betri au unamwonea wivu
Ndugu mbona humpendi mwenzio?umesahau maji ya betri au unamwonea wivu
Bonjour Hii naipata wapiMimi niliambiwa siku hizi napiga hela balaa. Madam b mtu sana.Mimi nawawekea Na bonjour basi wanawaka kama karatasi I don't care
Sent using Jamii Forums mobile app
Nashukuru mamy mambo ni fire π₯π₯π₯π₯π₯nikiweka na bonjour si sawa tu.Safi sana.
Napenda sana mtu akitoa mrejesho kama hivi.
Na pia ungekuwa na vitamin B zile capsule unaweka kama 3 au 4...basi mambo yanakuwa ng'aring'ari mdogo wangu.
Kuna B za vidonge na maji.
Chaguo lako.
Hahahah eti I don't care...nimecheka sana.
View attachment 985560View attachment 985561
Dah...Kama kichwa cha habari kinavojieleza naomba msaada wa lotion na cream zipi nzuri zinafaa kuchanganya kwenye mkorogo mzuri.
Pita kushoto πππππππππDah...
Chukua asidi ya betri gari robo Lita...chumvi gram100...simenti vijiko 6 vya chakula.....hamira vijiko 3....pilipili manga gramu 50...changanya Kisha chemsha kwa masaa3...bandika usoni ikiwa Moto....nope mrejesho inbox...nimekupa bure kabisa hi formula....
Sent using Jamii Forums mobile app
Sh ngapi?
Kama kichwa cha habari kinavojieleza naomba msaada wa lotion na cream zipi nzuri zinafaa kuchanganya kwenye mkorogo mzuri.
ππππππππ Kama huamini amini .π³π³π³Are you serious?
ππππππππ Kama huamini amini .
Naanzaje kutumia!! Baby care inanitoshaMrejesho muhimu naamini hii kitu si kwa matumizi yako.