Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,462
- 65,770
Tulia hapa nikuelekeze jinsi ya kupika kitimoto kizuri cha geto na ugali
Kwanza tafuta chainizi au mchicha ukate kama hivi nilivyo kata mimi
Kisha anza kukaanga kitimoto chako usiwek mafuta na baada ya hpo weka zako vitunguu kaanga mpaka vilainike na uwke karoti na nyanya usiweke hoho kwasababu kuna mboga za majani hoho sio muhimu hapa
Nyanya yako ikiiva weka mboga za majani mm napenda mboga za majani zisiive sana ndio maana naweka mwishoni
Kama hivyo kisha changanya vizuri pole pole baada ya dakika chache nikazima jiko baada ya kuona mboga yangu imeiva nilivyo taka
Baada ya hapo nikasonga ugali vizuri nika kata na utamaduni wetu swafiiii
Baada ya hpo nilisahau juice yangu aseee ila nimeshiba ile mbaya karibuni iki chakula
Ni cha hamu