Samwel Ngulinzira
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 1,829
- 1,958
Twambombo...ndo nilichoambulia baada ya kutembelea Mbeya
No sio kweli... Inategemeana na muktadha husika!!Na kwa nini lugha ya kinyakyusa naona ina "h" nyingi sana yaani karibu kile neno utakuta lina "h" katikati ?.
Hii mwanawani haipo kwenye kinyakUlembwike mwanawani
Bhule bhule. Kinyaki hakina rBure bure
Watu wa MUNGUAbhandu bha kyala
Heri ya kuzaliwa kinyakyusa inasemwaje?Watu wa MUNGU
daaahTu na nku!! Ikawa mpambandano! Akankoma nnine pandumbula na tuh! pasi...po atie fiki gwe ukunkoma nnino pandumbula popapo anakufa!!
Atie ana mahelu fijho ujhu nasikitika pia ulu amekunya mafi pa kibhusu cha mimi pembeni...
Jo une Ifilombe fimekanikifwe palikimokyene kutoka seghela
Pisi moja Kali toka mwakaleli kwa mwafilombeNa hatusemi "Mumbili" tunasema "Mwimbili" bana