Hayati Baba wa Taifa alisema ukabila utumike kwenye matambiko huko kwenuHabari za wakati huu wadau !
Natambua uwepo wa watu wenye asili ya kabila maarufu pale mkoani mbeya yaani Wanyakyusa.
Kutokana na mihangaiko ya maisha wengi wetu tumejikuta tumekosa fursa ya kuishi mkoa wa mbeya au katika mazingira ambayo pengine yametufanya kushindwa kuweza kuizungumza lugha yetu hii ya asili na adimu sana.
Ukiwa kama mdau wa lugha hii, unaweza kutusaidia ambao hatujapata bahati wa kuifahamu kwa kutuandikia hapa baadhi ya maneno na maana zake.
Pia, kwa yule anayetamani kujua hii lugha ataweza kuuliza anachotamani kukijua na wadau wataweza kuwajibu hapa.
Nawakaribisha sana ndugu zangu.
Mundu bha mweluu...ulinkafu?Abhandu bha kyala
Hayati Baba wa Taifa alisema ukabila utumike kwenye matambiko huko kwenu
Hayati Baba wa Taifa alisema ukabila utumike kwenye matambiko huko kwenu
Mkuu unautani na wahehe ngoja waje hapa Dada zetu hawapo ivyoNyangusage ni zambi zako mwenyewe ehh viazi mbeya mnyakyusa haongwi chipsi
subtitle: we kwanini huji kumsalimia mama yako😁ghwe fiki utikwiisa kunponya u nyoko?
Hivi Wanyakyusa wana herufi "r" katika lugha yao? Nadhani ni "bule bule" na sio "bure bure"Bure bure
Ukufuma khugu ugwe? Kuseghela au Syukula?Tu na nku!! Ikawa mpambandano! Akankoma nnine pandumbula na tuh! pasi...po atie fiki gwe ukunkoma nnino pandumbula popapo anakufa!!
Atie ana mahelu fijho ujhu nasikitika pia ulu amekunya mafi pa kibhusu cha mimi pembeni...
Jo une Ifilombe fimekanikifwe palikimokyene kutoka seghela
Kukaja ni lughombo hapo jirani na kayukiUkufuma khugu ugwe? Kuseghela au Syukula?
Salim aleko?
Jibu
Aleko msalani.....
Maana yake..
Umeolewa zamani mbona huna mtoto?
Jibu
Nimeolewa na mswahili