Jifunze English tenses kwa Kiswahili


sparcus

sparcus

Senior Member
Joined
Feb 18, 2014
Messages
178
Points
225
sparcus

sparcus

Senior Member
Joined Feb 18, 2014
178 225
Na nikisema:
(a) "I came but I did not found you"
Nikiwa namaanisha kuelezea mda ambao umepita yaan:
found = si-ku-ku-kuta.

(b) "I came and I did not found you"
Nikiwa na maana ya kuonyesha uwezekano wa kuwepo kiunganishi/bridge/conjunction katika sentenc hyo:
"...came-and-I did not... = nilikuja-na-sikukukuta".

Ni Mchango wangu Wakuu. Tuendeleeni.

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums

Sentensi ya kiingereza ikisha kuwa katika wakati uliopita na ika na kikanushi cha "not" verb inayofuata hatuiweka tena katika wakati uliopita kama hapo kwenye "found" itabidi iwe "find" kiongozi
 
shaks001

shaks001

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2014
Messages
1,251
Points
2,000
shaks001

shaks001

JF-Expert Member
Joined Feb 6, 2014
1,251 2,000
lets me try.Father, what position i am among your childrens or father what numerical position i am between your childrens.
Naomba nirekebishe hapo kwenye childrens.

Kwenye lugha ya kiingereza hatuna childrens kuelezea wingi bali ni:
Child(umoja)
children(wingi)

Nawasilisha!
 
P. Majaribu

P. Majaribu

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2014
Messages
1,198
Points
1,250
P. Majaribu

P. Majaribu

JF-Expert Member
Joined Jun 2, 2014
1,198 1,250
Tutatangaza ushirikiano katika kutoa elimu kwa njia ya vitabu ambavyo vitampa mwanafunzi hamasa ya kujifunza Kiingereza na Lugha zingine katika level ya sekondari na kuendelea....
piga simu mapema!
Usisahau kuwapitishia pia pale bungeni mkuu.
 
utafiti

utafiti

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2013
Messages
12,816
Points
0
utafiti

utafiti

JF-Expert Member
Joined Jul 18, 2013
12,816 0
Iam of how many child to yours father?
Vipi hiyo mr UTAFITI
Nimethubutu kujaribu
Asante kwa kujaribu sparcus ila bado haijakaa vizuri
 
Last edited by a moderator:
F

FALSAFA

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2014
Messages
296
Points
0
Age
26
F

FALSAFA

JF-Expert Member
Joined Sep 10, 2014
296 0
WANAJF NATAKA UFAFANUZI WA TENSE ZOTE NIANDIKIWE NATAKA NISOMEGE WADAU NAMI NATAKA KUJUA KIINGEREZA WEKENI present tense,past tense na future tense,msaada wenu jaman.
 
J

JITA MOBILE SCHOOL

Senior Member
Joined
Feb 8, 2013
Messages
115
Points
195
J

JITA MOBILE SCHOOL

Senior Member
Joined Feb 8, 2013
115 195
WANAJF NATAKA UFAFANUZI WA TENSE ZOTE NIANDIKIWE NATAKA NISOMEGE WADAU NAMI NATAKA KUJUA KIINGEREZA WEKENI present tense,past tense na future tense,msaada wenu jaman.
Pata kitabu mkuu
 
D

Donking7

Senior Member
Joined
Mar 27, 2014
Messages
153
Points
195
D

Donking7

Senior Member
Joined Mar 27, 2014
153 195
Wataalum, siyo mahili saana lakn hebu nijaribu kidogo. Katika kiswahili kuna kitu kinaitwa tafsiri "SISISI" Yaani katka hii dhana (mtu) tafsiri haifuati mantiki ktk lugha bali hufuata maneno na mfanano wa sentence. Mfano:1. What is your name?, katka tafsiri SISISI = Nani ni lako jiko?(tafsiri ya kiswahili haina mantiki, japo inaeleweka inataka nini. UNAPOFASIRI: zingatia kitu kinaitwa (Lang. Discoz) yaani lugha kulingana na ubobeaji wake. Katka sentensi "baba mimi ni mtoto wako wa ngapi?" siyo lazma mfasiri alazmishwe kuifasir, japo inaweza kutokea. Father, what birth number/rank/position am i in your family/chidren? Hilo ni kwa direct answer. Lakin pia katka mazungumzo mafupi mafupi inaweza kuwa hivi. FATHER: John, Where are your brothers? JOHN: I don't have brothers father. FATHER: Then, who is Peter and Moses to You? JOHN: (Silent!) but, i know i am the first born, Am I? FATHER: (LAUGHING) Oh! No You are the second. Hii discoz imepambanua sentence hiyo hapo juu. Kiukweli hili janvi ni poa xaana kwa sababu linatupa changamoto.
 
D

Donking7

Senior Member
Joined
Mar 27, 2014
Messages
153
Points
195
D

Donking7

Senior Member
Joined Mar 27, 2014
153 195
Katka kiingereza kuna mitazamo miwili au mitatu hv inayozungumzia idadi ya tense. 1. Kuna aina kuu mbili za tense. Yaani PRESENT & PAST. Na 2. Kuna aina tatu yaani 1.PRESENT 2. PAST & 3. FUTURE. kama level yako ya elimu ni ya A-level au O-level nadhani huna haja ya kuingia katka mgogoro huu wa juu wa tense, badala yake unaweza kudeal na aina tatu za tense. Sasa basi PRESENT TENSE=WAKATI ULIOPO ndani yake kuna(simpl present tense= wakat uliopo desturi. Present cont.= uliopo endelevu. Present perfect tense= uliopo mkamilifu. na Present perfect cont.= uliopo kamilifu ktk hali ya kuendelea. Pia kuna SIMPLE PAST=ULIOPITA DESTURI, PAST CONT=ULIOPITA ENDELEVU, PAST PERFECT=ULIOPITA KAMILIFU & PAST PERFECT CONT =ULIOPITA KAMILIFU KTK HALI ENDELEVU. The same to future. but to me thng7 ar quit different. I am a member who believe in two types of tenses and strongly opposes 3types. Later we shall dscus in details.
 
D

Donking7

Senior Member
Joined
Mar 27, 2014
Messages
153
Points
195
D

Donking7

Senior Member
Joined Mar 27, 2014
153 195
Hi! Guyz, i am to the great extent very impressed by this site and all members who concretely build and keep this forum alive. My observarance is that, in this site people do not use archaic language radher they are critics by nature. If we want to have a sence of our cognitive pulse, we must build a kind of behaviour that can help or pave us a way forward. All discussions about the most difficulty areas of life, are valued to be HEARTHIER. Thank u all guyz.
 
D

Donking7

Senior Member
Joined
Mar 27, 2014
Messages
153
Points
195
D

Donking7

Senior Member
Joined Mar 27, 2014
153 195
Thank u. But lean this, in SYNTAX the rule of writing a such phrase is free. What i mean here is u can just write "SIMPLE PRESENT TENSE or PRESENT SIMPLE TENSE" These expressions convey full and the same meaningful idea regardless their differences in arrangement. Hv gud time.
 

Forum statistics

Threads 1,296,486
Members 498,655
Posts 31,249,902
Top