GITWA
JF-Expert Member
- Apr 1, 2012
- 1,489
- 1,687
Dah somo liko poa sana hilo liendelea
Naunga mkono somo liendelee.
Dah somo liko poa sana hilo liendelea
Josêph M Mike;10713841 said:Na nikisema:
(a) "I came but I did not found you"
Nikiwa namaanisha kuelezea mda ambao umepita yaan:
found = si-ku-ku-kuta.
(b) "I came and I did not found you"
Nikiwa na maana ya kuonyesha uwezekano wa kuwepo kiunganishi/bridge/conjunction katika sentenc hyo:
"...came-and-I did not... = nilikuja-na-sikukukuta".
Ni Mchango wangu Wakuu. Tuendeleeni.
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
Josêph M Mike;10713841 said:Na nikisema:
(a) "I came but I did not found you"
Nikiwa namaanisha kuelezea mda ambao umepita yaan:
found = si-ku-ku-kuta.
(b) "I came and I did not found you"
Nikiwa na maana ya kuonyesha uwezekano wa kuwepo kiunganishi/bridge/conjunction katika sentenc hyo:
"...came-and-I did not... = nilikuja-na-sikukukuta".
Ni Mchango wangu Wakuu. Tuendeleeni.
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
Tatizo kubwa lipo katika kuongeza -s, -es na -ies. Kwamba mwanafunzi ataongozwa na nini ili kujua kwamba sasa aweke ipi kati ya hizo? mfano Play mwanafunzi anaweza kuweka Playes, au playies wakati au ni kwanini atoe Y kwenye neno CRY ili apate CRIES. Kwa ujumla ni kazi sana. Ni lazima kuwe na maelezo ya kuonesha kuwa ni Verbs za sifa gani ambazo mwanafunzi ataongeza S tu na zenye sifa zipi ataongeza ES hali kadhalika zipi za kuweka IES. Bila kufafanua makundi hayo matatu ya VERBS (vitenzi) itakuwa kazi sana. Ni shida! Vilele kuna baadhi maneno ambayo lazima u-drop herufi ya mwisho ili kuongeza ies hasa yale yanayoishia na Y mfano FLY na CRY. Mfano mwanafunzi anaweza kutaka kujua kwanini kwenye CRY au FLY unatakiwa u-drop Y na kuongeza IES lakini kwenye PLAY hau-drop Y baadala yake unaongeza tu S. Nafikiri pia kuna haja ya kushughulika na VERB CATEGORIES
Tense hii ni rahisi zaidi kwa mwanafunzi kuelewa na mwalimu kufundisha hasa inapotumika nafsi ya kwanza Umoja "I" na zile za uwingi yaani YOU(hii ni both 2nd person singular and plural), we, they au unapotaja majina ya watu wawili kwa pamoja
Nimekusoma mkuuKtk kundi la maneno yanayoishia na y ndio kuna mawili
1.kutoa y na kuweka ies na hii ni kama herufi inayomtangulia y ni konsonati na sio irabu...mfano r kwenye cry ni konsonati.
2.kuongeza s ktk y ni kama herufi inayomtangulia y ktk hiyo verb ni irabu au wao wanaita vowel nadhani. Mfano ni neno play,a ni irabu ndomana tunaweka inakua plays na sio plaies.
hata mimi kuna kitu nimepata ktk darasa hili.
mh. Mobile hongera japo nimemis masomo yako, tafadhali rejea haraka jukwaani kwani nina yangu mengi kukueleza!
#Naomba muyapeleke hayo maneno hapo juu kwa kiingereza#
Let me tyy.....mh. Mobile hongera japo nimemis masomo yako, tafadhali rejea haraka jukwaani kwani nina yangu mengi kukueleza!
Let me tyy.....
Hon. Mobile congratulations even though I do miss your lessons, please come back soon over here for I have a lot to tell you...
cc JITA MOBILE SCHOOL Alphanetcom
Vizuri, ni kweli tense ni tatizo la wengi na ukizingatia ndo msingi wa sentensi zinazoleta maana inayokubalika, ni tatizo kubwa. Endelea kutusaidia mkuu, I appreciate your work.
Hayo no makosa ya kawaida ktk kiingereza, common mistakes, kugundua hilo linahitaji kuwa mfuatiliaji wa tensesHakuna did no found you ila kuna did not find you.....na hayo ndio makosa ya tense aliyoyasema mtoa mada
Hayo no makosa ya kawaida ktk kiingereza, common mistakes, kugundua hilo linahitaji kuwa mfuatiliaji wa tenses
Haina makosa mkuu
Hivi hii sentence ina makosa,
She normally goes to schoo,