Jifunze English tenses kwa Kiswahili

M

mpendwa789

Senior Member
Joined
Dec 31, 2013
Messages
194
Points
195
M

mpendwa789

Senior Member
Joined Dec 31, 2013
194 195
Sentensi ya kiingereza ikisha kuwa katika wakati uliopita na ika na kikanushi cha "not" verb inayofuata hatuiweka tena katika wakati uliopita kama hapo kwenye "found" itabidi iwe "find" kiongozi
Ndiyo!

"I came but I did not found you." x This sentence is grammatically incorrect.

I came but I did not find you. I came and I did not find you. This is correct.

The help verbs do / does / don't / doesn't are always combined with the bare infinitive of the main verb.

The help verbs did / didn't are always combined with the bare infinitive of the main verb.

In other words, the negative and interrogative forms of the Present Simple and Past Simple always use the bare infinitive of the main verb.

You can download a list of the forms of all present and past tenses here:

English Grammar | somabiblia
 
M

mpendwa789

Senior Member
Joined
Dec 31, 2013
Messages
194
Points
195
M

mpendwa789

Senior Member
Joined Dec 31, 2013
194 195
Heshima yenu wakuu, mara nyingi mtu unaweza kuwa mzuri sana kwa grammar lakini tense zikakuumbua. Mathalani;
>She love her dady very much badala ya >she loves her dady very much.

PRESENT SIMPLE TENSE
Pia hujulikana kama everyday tense ikiwa na maana kuwa kitendo hufanyika kila siku.
SHERIA 1
>< Uongezaji wa -s, -es au -ies mwishoni mwa kitenzi (verb) ikiwa imetanguliwa au imetumika noun au pronoun iliyo ktk nafsi ya tatu umoja (he, she, it) au jina kama Daud nk na mara nyingi utakuta maneno kama usually, daily, every....
mfano:
<> She cries everymorning
<> He plays football daily
<> Japhet goes to the market every month
SHERIA 2
Kutoongeza chochote kwenye verb (kitenzi) pale unapokuwa umetumia pronoun au noun za wingi na I kama they, we, you au Amina and Tedy
Mfano;
>< We normally chat
>< our sisters cook food daily
>< I go to the shop usually
>< Juma and Glad play volleyball every sunday

PENYE MAREKEBISHO, MASWALI... KARIBUNI, LENGO TUELEKEZANE PENYE UTATA
She cries every morning. (two words)

I usually go to the shop. (word order) Adverbs of frequency go:
1. before the main verb: He always comes late.
2. after the verb 'to be': He is always late.
3. after the (first) help verb: He has always come late.

....every Sunday. (days and months have a capital letter)
 
J

JITA MOBILE SCHOOL

Senior Member
Joined
Feb 8, 2013
Messages
115
Points
195
J

JITA MOBILE SCHOOL

Senior Member
Joined Feb 8, 2013
115 195

sawa mkuu
 
J

JITA MOBILE SCHOOL

Senior Member
Joined
Feb 8, 2013
Messages
115
Points
195
J

JITA MOBILE SCHOOL

Senior Member
Joined Feb 8, 2013
115 195
Tuendelee na darasa letu,
 
Idd Ninga

Idd Ninga

JF-Expert Member
Joined
Nov 18, 2012
Messages
2,655
Points
2,000
Idd Ninga

Idd Ninga

JF-Expert Member
Joined Nov 18, 2012
2,655 2,000
Ok JITA MOBILE SCHOOL ni kweli simple present tense ni matendo yanayofanyika kila siku au mara kwa mara au matendo yanayojirudia rudia.
Tunapozungumzia kuongez S,ES,IES huwa tunaigusa kabisa nafsi ya tatu umoja,yani HE,SHE na IT.
Verb ambazo ninaongeza ES ni verb zote ziloishishiwa O,CH,SH,X,S hizote utaongeza ES.
Nahisi kuchoka usingizi njoja nkatishe. . . . . . . . . .
 
Last edited by a moderator:
J

JITA MOBILE SCHOOL

Senior Member
Joined
Feb 8, 2013
Messages
115
Points
195
J

JITA MOBILE SCHOOL

Senior Member
Joined Feb 8, 2013
115 195
Ok JITA MOBILE SCHOOL ni kweli simple present tense ni matendo yanayofanyika kila siku au mara kwa mara au matendo yanayojirudia rudia.
Tunapozungumzia kuongez S,ES,IES huwa tunaigusa kabisa nafsi ya tatu umoja,yani HE,SHE na IT.
Verb ambazo ninaongeza ES ni verb zote ziloishishiwa O,CH,SH,X,S hizote utaongeza ES.
Nahisi kuchoka usingizi njoja nkatishe. . . . . . . . . .
pole kwa uchovu na usingizi mkuu. nashukuru kwa mchango wako
 
W

waku boost

Member
Joined
Sep 10, 2015
Messages
27
Points
0
W

waku boost

Member
Joined Sep 10, 2015
27 0
Nina eng to swah kwenye cm yangu lakn tens znanisumbu sana naweza english reading and english feeling but english talk mtiani mkubwa kwang
 
CONSTRUCTIVE THOUGHT

CONSTRUCTIVE THOUGHT

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2015
Messages
1,167
Points
1,500
CONSTRUCTIVE THOUGHT

CONSTRUCTIVE THOUGHT

JF-Expert Member
Joined Jul 10, 2015
1,167 1,500
Heshima yenu wakuu, mara nyingi mtu unaweza kuwa mzuri sana kwa grammar lakini tense zikakuumbua. Mathalani;
>She love her dady very much badala ya >she loves her dady very much.

PRESENT SIMPLE TENSE
Pia hujulikana kama everyday tense ikiwa na maana kuwa kitendo hufanyika kila siku.
SHERIA 1
>< Uongezaji wa -s, -es au -ies mwishoni mwa kitenzi (verb) ikiwa imetanguliwa au imetumika noun au pronoun iliyo ktk nafsi ya tatu umoja (he, she, it) au jina kama Daud nk na mara nyingi utakuta maneno kama usually, daily, every....
mfano:
<> She cries everymorning
<> He plays football daily
<> Japhet goes to the market every month
SHERIA 2
Kutoongeza chochote kwenye verb (kitenzi) pale unapokuwa umetumia pronoun au noun za wingi na I kama they, we, you au Amina and Tedy
Mfano;
>< We normally chat
>< our sisters cook food daily
>< I go to the shop usually
>< Juma and Glad play volleyball every sunday

PENYE MAREKEBISHO, MASWALI... KARIBUNI, LENGO TUELEKEZANE PENYE UTATA
Labda sijakuelewa vizuri, naomba kufahamu unamaanisha nini naposema mtu unaweza kuwa mzuri kwenye Grammar lakini Tense ikakusumbua? Au nipe tofauti ya grammar na tense!
 
Ishengomab

Ishengomab

Member
Joined
Jan 26, 2013
Messages
20
Points
45
Ishengomab

Ishengomab

Member
Joined Jan 26, 2013
20 45

Haiwezekani usijue matumizi sahihi ya tense then ukajiita mtaalamu wa grammar mkuu.

Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
 
Jemedal_bin_chichi

Jemedal_bin_chichi

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2016
Messages
439
Points
500
Age
49
Jemedal_bin_chichi

Jemedal_bin_chichi

JF-Expert Member
Joined Feb 17, 2016
439 500
Wataalum, siyo mahili saana lakn hebu nijaribu kidogo. Katika kiswahili kuna kitu kinaitwa tafsiri "SISISI" Yaani katka hii dhana (mtu) tafsiri haifuati mantiki ktk lugha bali hufuata maneno na mfanano wa sentence. Mfano:1. What is your name?, katka tafsiri SISISI = Nani ni lako jiko?(tafsiri ya kiswahili haina mantiki, japo inaeleweka inataka nini. UNAPOFASIRI: zingatia kitu kinaitwa (Lang. Discoz) yaani lugha kulingana na ubobeaji wake. Katka sentensi "baba mimi ni mtoto wako wa ngapi?" siyo lazma mfasiri alazmishwe kuifasir, japo inaweza kutokea. Father, what birth number/rank/position am i in your family/chidren? Hilo ni kwa direct answer. Lakin pia katka mazungumzo mafupi mafupi inaweza kuwa hivi. FATHER: John, Where are your brothers? JOHN: I don't have brothers father. FATHER: Then, who is Peter and Moses to You? JOHN: (Silent!) but, i know i am the first born, Am I? FATHER: (LAUGHING) Oh! No You are the second. Hii discoz imepambanua sentence hiyo hapo juu. Kiukweli hili janvi ni poa xaana kwa sababu linatupa changamoto.
I know am the first born, am i?..××
grammatical this is incorrect one

I know am the first born, aren't i?, or am not i?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
el_magnefico

el_magnefico

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2015
Messages
265
Points
250
el_magnefico

el_magnefico

JF-Expert Member
Joined Nov 6, 2015
265 250
Ipi ni sahihi hapa?
Yanga plays well.
Yanga play well.
 
el_magnefico

el_magnefico

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2015
Messages
265
Points
250
el_magnefico

el_magnefico

JF-Expert Member
Joined Nov 6, 2015
265 250
Labda sijakuelewa vizuri, naomba kufahamu unamaanisha nini naposema mtu unaweza kuwa mzuri kwenye Grammar lakini Tense ikakusumbua? Au nipe tofauti ya grammar na tense!
Kwa msaada.Hapo kuwa mzuri kwenye grammar mfano mtu anajua kanuni za mpangilio wa vipashio katika tungo mfano:
She eats beans (SVO) katika sentensi za kawaida
pia hata katika senstensi ulizi mfano: Does she eat beans?(VSO?)
#NB
S-Subject(mtenda)
V-Verb(kitendo)
Object(mtendwa)
Lakini mtu huyohuyo(mara nyingi mzungumzaji wa lugha ya pili) anaweza akachanganya tense mfano katika past tense cut-cutted *cut au go-goed *went
Tense ni njeo;wakati wa tendo kufanyika(wakati uliopita,uliopo na ujao)
WAKATI
Grammar ni sarufi yaani jumla ya kanuni zinazomuongoza mtumiaji(mzungumzaji/mwandishi) kutunga sentensi zinatakazoeleweka kwa mtumiaji mwingine(msikilizaji/msomaji)
Tense ipo ndani ya grammar(grammar ni pana zaidi ya tense)
 
K

king suleman

JF-Expert Member
Joined
Jun 28, 2014
Messages
1,663
Points
2,000
Age
27
K

king suleman

JF-Expert Member
Joined Jun 28, 2014
1,663 2,000
Heshima yenu wakuu, mara nyingi mtu unaweza kuwa mzuri sana kwa grammar lakini tense zikakuumbua. Mathalani;
>She love her dady very much badala ya >she loves her dady very much.

PRESENT SIMPLE TENSE
Pia hujulikana kama everyday tense ikiwa na maana kuwa kitendo hufanyika kila siku.
SHERIA 1
>< Uongezaji wa -s, -es au -ies mwishoni mwa kitenzi (verb) ikiwa imetanguliwa au imetumika noun au pronoun iliyo ktk nafsi ya tatu umoja (he, she, it) au jina kama Daud nk na mara nyingi utakuta maneno kama usually, daily, every....
mfano:
<> She cries everymorning
<> He plays football daily
<> Japhet goes to the market every month
SHERIA 2
Kutoongeza chochote kwenye verb (kitenzi) pale unapokuwa umetumia pronoun au noun za wingi na I kama they, we, you au Amina and Tedy
Mfano;
>< We normally chat
>< our sisters cook food daily
>< I go to the shop usually
Hv Hata Hzi Eng Corse Ndo Wanafundisha Hivi Maana Huwa Sina Iman Nazo Ebu Niambie Mkuu
 
P

Pregabalin

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2017
Messages
377
Points
250
P

Pregabalin

JF-Expert Member
Joined Dec 15, 2017
377 250
Ipi ni sahihi hapa?
Yanga plays well.
Yanga play well.
Kwa upande wangu ningesema yanga plays well. Kwasababu kanuni inasema I, we, na they, hauongez s ila kwenye he, she, na it unaongeza s iyo yanga tuiingiz kwenye it cause iyo yanga sio binadamu itaingia kwenye vitu ambapo tutatumia it. Na pia tunaongeza s kama tendo la kila siku ambapo yanga hucheza mpira kila siku.
 
el_magnefico

el_magnefico

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2015
Messages
265
Points
250
el_magnefico

el_magnefico

JF-Expert Member
Joined Nov 6, 2015
265 250
Kwa upande wangu ningesema yanga plays well. Kwasababu kanuni inasema I, we, na they, hauongez s ila kwenye he, she, na it unaongeza s iyo yanga tuiingiz kwenye it cause iyo yanga sio binadamu itaingia kwenye vitu ambapo tutatumia it. Na pia tunaongeza s kama tendo la kila siku ambapo yanga hucheza mpira kila siku.
Je,"Yanga huwa wanacheza vizuri" itakuaje katika kiingereza.
 
Forum statistics

Threads 1,296,486
Members 498,655
Posts 31,249,945
Top