Jibu kwa The Boss (Nyumba ndogo)

Jibu kwa The Boss (Nyumba ndogo)

Hahahahaa..............shem bana! Pole mwaego, we unafikiri kwa nini sweetie wako hajachangia hii sredi?


Mpaka hapa nimeelewa kwa nini kagoma! lol.... Nimetumiea mstari kua Mungu atatulinda lakin wapi!!! lol (jamaa mjanja mno)
 
Mimi naona ile mada ya The Boss ni suala la msisitizo tu. Kama vile wanavyosema kwenye matangazo ya HIV/Ukimwi (ABC)...abstain, kuwa mwaminifu, ukishindwa (kwa sababu ni wazi wapo watakaoshindwa/wanaoshindwa) tumia condom! So hata katika hili la ukwimwi wapo wanaosisitiza zaidi condom kuliko A na B.
 
If Bossman were to come here he'd probably be like...'see Ngabu, I told you so'......lol.

Indeed, Boss' thread was an eye-opener to me. I labored so long under a misapprehension but now I'm slowly starting to get it.

Get it pal, get it....the earlier the better....
 
Dear ADii...
Wewe umekua msemaji wa wanawake wenye waume (i mean nyumba kubwa)?
Well, hebu fanya maarifa na wale wasio na waume (nyumba ndogo) wapate msemaje wao hapa....


RR Kipimo kwamba mumeo ni limbukeni ama lah! moja wapo ni kua nyumba ndogo ijisogeze kwa nyumba kubwa.... Na sababu wanaume wa humu ndani mmeprove kua ni wajanja saana mnapo cheat mpaka na katiba imetolewa ikipigwa muhuri na kua sealed na uzi wa BOSS ina maana kua hao nyumba ndogo hawana guts za kuleta upupu wao mbele yetu hapa for wanajua tunajaua... na wanajua what we are capable of.... na wanajua pia kua we can go lengths... Hivo basi moja ya sababu ya waume wetu kujiweka na kujionesha watakatifu hali wana cheat... Nilipenda nitolee mfano mmoja wa kiongozi mwenzenu but maadili bahati mbaya hayaniruhusu....
 
hehehe,this one i agree with u. ila umesahau: women ar more smarter at it, so they rarely get caught up!! cheating is cheating,no excuses! if u cant get away from it,leave me! that is the rule.otherwise i will probably give u the taste of ur own medicine and then walk out on u once u find out b4 i am done with u!
I have never said that people don't cheat, and I haven't engaged myself to report on statistics of people who do and don't.
Nilichosema ni kwamba sio sawa watu kufanya kama vile cheating ni kitu cha kawaida na waanza kutoa shauri ya namna gani mtu anatakiwa kwenda nje ya nyumba. that was my point.
Na kama watu watachukulia the fact that wanaume wengi wanacheat (wengi in his surroundings that is), basi atakua hana strong personality sababu anashindwa kua na msimamo wake binafsi kuhusu swali hili.
 
Mimi naona ile mada ya The Boss ni suala la msisitizo tu. Kama vile wanavyosema kwenye matangazo ya HIV/Ukimwi (ABC)...abstain, kuwa mwaminifu, ukishindwa (kwa sababu ni wazi wapo watakaoshindwa/wanaoshindwa) tumia condom! So hata katika hili la ukwimwi wapo wanaosisitiza zaidi condom kuliko A na B.
Huwezi kulinganisha sex with condom na cheating bwana! impact kwa jamaa ni tofauti kabisaaaaaaaa. linganisha vitu vyenye outcome moja ndio utaona kama ni sahihi au la
 
I have never said that people don't cheat, and I haven't engaged myself to report on statistics of people who do and don't.
Nilichosema ni kwamba sio sawa watu kufanya kama vile cheating ni kitu cha kawaida na waanza kutoa shauri ya namna gani mtu anatakiwa kwenda nje ya nyumba. that was my point.
Na kama watu watachukulia the fact that wanaume wengi wanacheat (wengi in his surroundings that is), basi atakua hana strong personality sababu anashindwa kua na msimamo wake binafsi kuhusu swali hili.

Poor thang....you're trying to be all philosophical about it when you don't even have to.
 
Dear ADii...
Wewe umekua msemaji wa wanawake wenye waume (i mean nyumba kubwa)?
Well, hebu fanya maarifa na wale wasio na waume (nyumba ndogo) wapate msemaje wao hapa....

Aisee, RR nadhani badala ya kupromoti mashoga haki zao zitambuliwe kwenye katiba, wangeanza na wao kwa vile wapo wa kutosha kisha tena wako underrepresented kabisa. Kina TGNP and co hawagusii kabisa hawa huku wakijidai 'kupaza sauti za makundi yaliyoko pembezoni'......food for thought
 
Umeona eehhheeee!!! Haibebeki kama gunia la misumari.
Afu shem ADI eti akasema niige mfano wako eti wee ni "mwanaume mwenzangu" shem bana, kusoma kashindwa na picha nayo ikamshinda
 
Dear ADii...
Wewe umekua msemaji wa wanawake wenye waume (i mean nyumba kubwa)?
Well, hebu fanya maarifa na wale wasio na waume (nyumba ndogo) wapate msemaje wao hapa....

RR Kipimo kwamba mumeo ni limbukeni ama lah! moja wapo ni kua nyumba ndogo ijisogeze kwa nyumba kubwa.... Na sababu wanaume wa humu ndani mmeprove kua ni wajanja saana mnapo cheat mpaka na katiba imetolewa ikipigwa muhuri na kua sealed na uzi wa BOSS ina maana kua hao nyumba ndogo hawana guts za kuleta upupu wao mbele yetu hapa for wanajua tunajaua... na wanajua what we are capable of.... na wanajua pia kua we can go lengths... Hivo basi moja ya sababu ya waume wetu kujiweka na kujionesha watakatifu hali wana cheat... Nilipenda nitolee mfano mmoja wa kiongozi mwenzenu but maadili bahati mbaya hayaniruhusu....

Inawezekana pia hizo nyumba ndogo ni wake za watu.... Ndio maana hawajaja kujieleza
 
Poor thang....you're trying to be all philosophical about it when you don't even have to.
One has to. It is precisely because you just take it as a norm without questioning it that you are comfortable with a practice that should have outraged any decent married person, man or woman.
 
kumbe kijiwe kimepamba moto nimetoka kupiga paper....ngoja nipitie nilipoachia asubuhi..ila msimamo wangu ni kuwa hii kitu haiwezekaniki
 
Ukweli ni huu, japo unauma lakini ndio ukweli wenyewe.

Tangu kuumbwa kwa dunia hii.......... hakuna kiumbe chochote cha kiume kilichoumbwa kwa ajili ya kiumbe kimoja tu cha kike......!

Mitume na manabii karibu wote katika vitabu vyote walimiliki si chini ya mke mmoja........ Si ajabu tunaona wanawake wako radhi kuolewa mitala....Laiti wanawake mngekubaliana na hili la kuturuhusu tuoe zaidi ya mke mmoja, labda ndo lingekuwa suluhisho la kuisha hili tatizo. lakini kwakuwa hamtaki, na siye hatujaumbwa kwa ajili ya mke mmoja...........hamna jinsi lazima nyumba ndogo ziendelee ku-ezist.

Nyie kinamama hamuyaoni hata majogoo mitaani kwenu? Khaa!...........wanaume hawariziki na kikojoleo kimoja, mbona hampendi kutuelewa!
yaani wewe naona umedhamiria haswa kutetea hoja zenu za nyumba ndogo hivi ni kweli kuwa mke mmoja hawatoshi mbona wengine wanaweza huko kujilemaza tu.
 
Back
Top Bottom