Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 92,250
- 113,653
Bottom line is both men and women cheat. Men are more open about it but women are not as much.
Gosh!! I know you never Mince words and that is why in issues which requires serious answers i am interested in what you utter... Kwamba I am Pitiful... Well you could say so... (as you are allowed to have your point of view).... BUT Good thing is that i think the same thing.... Well back to Topic I said "DON'T" in the sense that as much as what you have uttered has truth in it you don't have to generalize and make a Monkey out of all species in that group just because some (who not more than ten members-na tupo more than that) walitoa opinions zao which in fact was true!!
Arifu kule kwa Boss kuna mdada niliona kasema kwamba yeye hapendi nyumba ndogo ila amependa points za kwenye ule uzi, maana zina harufu ya heshima kwa nyumba kubwa.Bottom line is both men and women cheat. Men are more open about it but women are not as much.
My man...si umeona hata wewe jinsi wasivyojielewa hawa watu? These people are weaker in every aspect of life and they deserve every shit that goes/ comes their way.
Mimi niliwatetea hadi Boss akanambia eti maboksi yameniharibu...teh teh teh.
Don't what? Mincing words is not my shtick. I just call it as I see it. If you disagree with me then go back and revisit Boss' thread and if you are a fair minded person you'll understand what I'm talking about.
Y'all are just pitiful.
Arifu kule kwa Boss kuna mdada niliona kasema kwamba yeye hapendi nyumba ndogo ila amependa points za kwenye ule uzi, maana zina harufu ya heshima kwa nyumba kubwa.
Bottom line is both men and women cheat. Men are more open about it but women are not as much.
Bottom line is both men and women cheat. Men are more open about it but women are not as much.
What is 'dignified cheating'?
And what is your take on the whole cheating thing? Would you forgive if cheated on or is it a deal breaker?
See what I'm talking about.... Now to me that is a tacit acceptance of infidelity no matter what anyone says.
Chauro Mpenzi......... Sijasema wote ila karibu wote. Ngoja niweke kimahesabu. Ailimia 99 ya wanaume wanacheat! Nimesema ngapi? Yes 99%!!!! Nlitaka niseme 98 lakini hapana ili niwe precise ni 99%. Kama wa kwako kaangukia kwenye hiyo moja basi mshukuru sana Mungu.
Na kuna kautafiti ambako bado hakajakamilika kameonyesha kuwa ndoa ambayo mwanaume hacheat basi ujue mkewe anacheat.........
Msinishambulie jamani, ila ni kautafiti tu!
Siku hizi napendelea kusoam zaidi malumbano kuliko kuchangia....!!
You can say that again, Comrade! Loud and Clear!!Bottom line is both men and women cheat. Men are more open about it but women are not as much.
'Dignified cheating'....Hahahaha that is why I love JF.
Hivi sisi wanaume tunapo-cheat si huwa tuna-cheat na wanawake? Kwa hiyo kama ni vita ya infidelity basi ingeanzia kwa wanaweake wenyewe. Nadhani ni wakati muafaka wa mimi kuanzisha NGO yenye kaulimbiu ya SAY NO TO INFIDELITY....Lazima nitatengeneza pesa!
Umeona eh? Watabisha lakini habari ndio hiyo!Haka kautafiti katapingwa sana ila ndio ukweli wenyewe huu...
And that is why i told you to read btn the lines...
- Do i believe kua infedelity is inevitable and there to stay?? YES....
- Do i support it?? NO...
- Have i ever cheated?? NO....
- Do I plan on Cheating ever?? NO....
- Can I my self by any means cheat on my hubby?? I don't know... (For the simple reason that not all who cheat knew they were gonna do that; and i can not tell my future)
Told them but ..... wapi!'Dignified cheating'....Hahahaha that is why I love JF.
Hivi sisi wanaume tunapo-cheat si huwa tuna-cheat na wanawake? Kwa hiyo kama ni vita ya infidelity basi ingeanzia kwa wanaweake wenyewe. Nadhani ni wakati muafaka wa mimi kuanzisha NGO yenye kaulimbiu ya SAY NO TO INFIDELITY....Lazima nitatengeneza pesa!
Umeona eh? Watabisha lakini habari ndio hiyo!
Nobody plans to cheat, unless he/she is up for a revenge!
'Dignified cheating'....Hahahaha that is why I love JF.
Hivi sisi wanaume tunapo-cheat si huwa tuna-cheat na wanawake? Kwa hiyo kama ni vita ya infidelity basi ingeanzia kwa wanaweake wenyewe. Nadhani ni wakati muafaka wa mimi kuanzisha NGO yenye kaulimbiu ya SAY NO TO INFIDELITY....Lazima nitatengeneza pesa!
Kula gwala mtu wangu! For every cheating man there is a woman.
Nobody plans to cheat, unless he/she is up for a revenge!
Hahaha!!! You guys are just crackin me upTold them but ..... wapi!
Wakishamaliza vita ya nyumba ndogo, ambayo ukiangalia kwa makini ni vita baina yao.......... wataingia kwenye vita ya cheating ambayo pia ni baina yao na ambayo naweza kuapa hawataweza kuishinda!