Jibu kwa The Boss (Nyumba ndogo)

Jibu kwa The Boss (Nyumba ndogo)

Unajua yeyote anaye endekeza nyumba ndogo ni mtumwa. Ila kwa kuwa anafanya kumkomoa mkewe anajifanya eti huko ndoo anafaidi. Anapangiwa muda utafikiri ni depo la jeshi, akiambiwa kesho aje aemchomekea lazima atimize la sivyo anarukki pakavu, pesa ya kupelekea inapangwa na nyumba ndogo.

Lakini sometime ni uchizi tuu na kuto kufikiri, duniani ya sasa unakula raha na nyumba ndogo wakati watoto watakao kutunza yuzeeni wanakula maharage na chumvi.

Japo nyumbani kuna vcikwazo lakini si vyema kumwadhibu mwenzio kihivyo. Unajua hicho unacho loweka kwa nyumba ndogo ni mali ya mkeo.

kama sivyo mwommbe mkeo kuwa leo unaenda kutumia hiyo mashine.

Bravooo ur a real man mkuu.
Dah yani kitufe cha thanx kingekuwepo ningekugongea mkuu, hata hvyo pokea hapahapa ..THANK YOU.
 
Yaani ni rahisi kama kusukuma mlevi!

haah haah umeona eeh hata mm najua mke kumuacha mume ndio ngumu bt mume kumuacha mke very simple tu
imagine amekigawa nje kwa kidumu umejua dah then usamehe lol,
men wengine wanaweza mana nao wana small house bt kwa mm mkuu SITASAMEHE.
 
danganyaneni!
 
Naona tupunzike kidogo (Halftime). bado tunafikilia muda wa nyongeza.
p141b_g70_goroka_aussie_rules_football_half_time.jpg
 
naomba niongeze hivi:

watu wengi huwa hawajui hiki kitu.. ''mwili mmoja''...wanandoa mnaposimama kanisani na kisha padre/shehe au mchungaji akasema ninyi ni mwili mmoja...napenda mjue kuwa mwili mmoja huwa hauji pale watumishi wa mungu wanapotamka neno hili..mwili mmoja ni pocess ndefu sana kabla ya ndoa na baada ya ndoa...wakati wa uchumba lazima pawe na element za kuonyeha kuwa ninyi ni mwili mmoja lakini siku hizi kuna haya mapenzi wanaita CYBER MARRIAGE....edson niko sweden huku na mchumba wangu yuko mwenge DSM na tunakuwa tunawasiliana na simu mara skype..kwa mika miwili au mitatu hatuonani au tunaonana kwa mda mfupi sana then nikirudi home straight tunafikia kufunga ndoa ...lakini hakuna mmoja kati yetu anamjua kwa undani mwenzanke maana hatujaa wote mmda mwingi ..kila mtu namjua mwenzake kwa kupitia sauti (kwenye simu) hapo tukiishi pamoja kwa miezi 3 au 4 lazima kuna kuna kitu kila mmoja ataona kuwa ni dosari kwa mwenzake na hapo kama hakuttakuwa na umakini wa kutosha basi inaweza kupelekea ndoa kuvunjia.....

lakini pia kuna maisha baada ya kufunga ndoa ..mwili mmoja unaweza kufikia baada ya miaka mingi sana na hpo ndipo unaona wanandoa wanafikia hatua ya kufanana kana kwamba walioana mtu na dada yake.....maana yake wamepitia vizingiti kibao, furaha, huzuni, wamelia pamoja na kubembelezana ,kusamehena na kutiana moyo.....sasa kitu hii siku hizi haipo .....

lakini pia kuna kuna sababu kwa nini naona/kuolewa? watu wengi wanaingia katika hatua hii pasi kujua kwa undani dhana nzima ya ndoa unaoa/kuolewa kwasabu mda wa kufanya hivyo umefika? au uantaka kulta heshima kwa jamaa inayokuzunguka? je unamfahamu wa undani mwenzi wako? unajua vionjo vyake(akainuna,akikasirika) tabia yake ukiwa nae na akiwana watu wengine ikoje? akilala anapendelea kulala vipi..hili la kulala watu wengi hawalijui..unajua tabia ya mtu unaweza kuijua kwa ku tumia njia nyingi..anavyolala, mpamgilio wa vitu ndani ya chumba chake..mwandiko wake....anavyoongea(niishie hapa maana hili nali ni somo refu)

so ni lazima watu tujue na tuwajue wenzi wetu kwa undani..sio siri ndoa nyingi siku hizi unakuta mtu kaoa lakini yule mke ni wakwenda nae kwenye matamasha na kutambulisha kwa marafiki(shemeji yenu huyu😉]

tubadili mitazamo jamani na tuwafahamu kwa undani wenzi wetu tukizingatia hili nao hizi nyumba ndogo zitapungua

Edson dear sisi binadamu kila siku wageni machoni pa wengine, leo uko hvi kesho uko vile, pamoja na ukweli kwamba tunapaswa kujitahidi kuwajua vema waume/wake zetu lakini ukweli utbaki palepale kuwa hakuna anaeweza kuusemea moyo wa mwenzake, hiyo ndiosiri kubwa Mungu alituficha, kufika mahali uka- declare kuwa unamjua mke/mume si rahisi, kila mara ataendelea kuwa na mabadiliko ya hapa na pale kikubwa cha msingi ni kuchukulina kwa mapungufu yenu, kurekebishana pale palipo na mapungufu, kuwasiliana/kuelezana pindi unapoona tofauti ili murekebishe mapema, kupendana kwa dhati na kusameheana, utashangaa mtaishi miaka na miaka hamchokani
 
  1. Sijasema wanawake hawapo wanao cheat...
  2. Sijasema kua wanaume woote wanacheat... ila ni almost...(plz zingatia tofauti)
  3. Sijasema wote wanaocheat wanafanya makusudi for underlying factors ni nyingi that much i know...
  4. Most men are full of shit... Waweza mkeep safe ukamlamba hata Mt** nabado akatoka believe me you...
Usiseme tu almost wanaume wote wana-cheat,sema almost wanaume na wanawake wote wana-cheat,mbona wanawake mwajifanya wasafi sana wakati unyambilisi wenu tunaujua?
 
Usiseme tu almost wanaume wote wana-cheat,sema almost wanaume na wanawake wote wana-cheat,mbona wanawake mwajifanya wasafi sana wakati unyambilisi wenu tunaujua?

Jaguar,karibu kwenye timbwili,sisi wengine hoi,tushaparuriwa mpaka basi,ka mimi uso wote nyanganyanga. Ila nakuomba keep AshaDii out of this,hataki kuisikia kabisa hii thread,she is utterly and totaly bruised mentaly and emotionaly,mwache apumzike ndugu yangu,kisu kiligusa mfupa!
 
To my Fellow Married Women....

I don't know what to say.... Najua Mmeumia na mwaendelea kuumia.... BUT naamini kwamba it is beta we learn to stand up for ourselves... na kutokubali upuuzi wa akina baba ambao wanaamini tu eti sababu you are married na umezaa you can not live even if he is shit and full of bull shit!!! Nashukuru Nyumba Kubwa kwa nguvu yako hapa... Nakushukuru Roulette kwa Counter thread... Nashukuru wale wote walotupa support hata kwa post moja.....
Pamoja Saana

AshaDii...

I am more interested in this para. Why only is directed to the married women to the exclusion of the unmarried ones? Kwa hiyo tatizo liko kwa married women to the extent that they should learn to stand up? Hii divide and rule will make the matter even worse. If its about women learning to stand up for themselves, then it should be all women whether married or not.

Hata hivyo hili tatizo haliwahusu wanawake tuu. Linawahusu pia wanaume. Asha Dii, hili ni tatizo la kijamii. The problem is rooted in your society. Na kwa vile society ina compose of both women and men, then wanawake, tena waliolewa pekee, won't be able to solve the problem for themselves.

Asha Dii kwa mara ya kwanza nimekuona una argue using your heart instead of your brain and I am disappointed.
 
EMT i can feel for AshaDii,unfortunately thread hii imemgusa pabaya,naomba usimseme,mi mwenyewe mwanzoni i thought it was a joke,ila thread ilivyozidi kutembea nikaanza kuhisi she was feeling uncomfortable. naomba yaishie hapa hapa na hii thread ikibidi tuachane nayo.
 
That is why i HATE nyumba ndogo maana familia nyingi saana zinaharibika... Whereas "hit and runs" ni safer... Sometimes they even spice up the marriage... Hivo nawapongezeni.....
AshaDii...

Nimefanya kazi na wanaume wengi tu lakini ni mmoja so far ndiye najua ana nyumba ndogo; the rest ni wajanja wana hit and run. .... Sasa nyie wanaume pimeni; ni wale wa kupangishia wanawake nyumba?? Then nyie ni malimbukeni; wajanja hawafanyi hivyo na ni wengi ambao nawaweka kwenye kundi la wajanja.

Kwa hiyo wanaume wanao hit and run ni wajanja na wanakuwa na nyumba ndogo ni malimbukeni? Asha Dii na NK mkiangalia kwa makini mliyosema actually yana apply in reverse order. Mwanaume anaye hit and run may simply mean mke wake ni mjanja. His wife won't let him kuwa na nyumba ndogo hata kwa uchawi. Matokeo yake ana hit na ku run.

Mwanaume ambaye anakuwa na nyumba ndogo inawezekana mke wake ni limbukeni. Kwamba she has failed to do anything to please her husband to the extent kuwa mume ameamua kuwa na nyumba ndogo. So hit and run may mean the wife is strong and powerful over her man and nyumba ndogo may mean the wife is weak in nailing the her man down. But this is not my concern. The next paragraphs are my real concerns.

Yaani siami nyie the so called liberated or well informed women mnaunga mkono your husbands' hits and runs on the ground kuwa ni ujanja (NK) na ina spice up sex (Asha Dii??). Why can't you wives spice up the sex yourselves mpaka mtegemee a third party? Hii sasa sio indirectly threesome which can still be nyumba ndogo kupitia mlango wa wani? No wonder why these kind of men operate very smoothly without a hitch. Wrong plus wrong does not make it right. Why settle for the second best simply because of your situation?

No wonder why women keep falling for players and jerks. The reason players are so successful is because they are good at giving members of the opposite sex what they want! The male players (men who hit and run) know how to give women the unrealistic romance they are looking for then they are off to another. You know he's a player (hit and run) yet you allow yourself to be deceived on the ground that ni ujanja and it spice up your marriage? It's a crazy world we live in... I can't fathom it.. Kama kweli well informed women kama nyie mnatetea players (hits and runs) then kama alivyosema Arprin nyumba ndogo zitandelea kuwepo.

The worst thing is that hits and runs may simply mean the man is using the women for sex. To argue that hit and run husbands ni wajanja or it spice up sex ni sawa na kukubali kuwa women are sexual objects.

nakuunga mkono kwenye majonzi haya.,...

yaani hit and run ndio wanaonekana wajanja? hapana bana,
japo wote ni wakosa, lakini wa aina hiyo ni worse kuliko anayemthamini mwanamke na kumpangishia japo chumba!
reading these postings tokea kwa wanawake kwamba ati hit & runners ndio wa maana inauma sana bana...
 
EMT i can feel for AshaDii,unfortunately thread hii imemgusa pabaya,naomba usimseme,mi mwenyewe mwanzoni i thought it was a joke,ila thread ilivyozidi kutembea nikaanza kuhisi she was feeling uncomfortable. naomba yaishie hapa hapa na hii thread ikibidi tuachane nayo.

Mkuu nakubaliana na wewe lakini nafikiri Asha Dii na kundi lake probably wanashindwa kutofautisha argumemts za wachangiaji wengi. Bishanga, ukisoma kwa makini michango ya watu kwenye huu uzi kuna makundi matatu na sio mawili kama wengi wanavyodhani. Kundi la kwanza linapinga nyumba ndogo. Wengi wa kundi hili ni wanawake. Kundi la pili linaunga mkono nyumba ndogo. Hili kundi lina mchanhanyiko wa wanawake na wanaume japokuwa wanawake wanaonekana wapo mstari wa mbele zaidi kutetea hoja yao.

Kundi la tatu linaongelea zaidi uhalisia wa nyumba ndogo kwenye jamii yetu. Lakini kuongelea uhalisia wa kitu haina maana kuwa unaunga mkono. You're just speaking for the reality kwa kuangalia jamii na mazingira yanayoizunguka. Unfortunately, kundi la kwanza limeweka kundi la tatu na pili kwenye kapu moja. Probalby, hii ndio inafanya watu kama akina Asha Dii wajihisi the whole JF is against them which in fact is not.

Ukiangalia kwa mapana is not only Asha Dii is feeling uncomfortable juu ya nyumba ndogo. I am sure kuna wanaJF felt so uncomfortable to the extent wameamua kutochangia kabisa kwenye huu uzi. Tukumbuke victims wa nyumba ndogo sio wake tuu bali pia ni watoto na jamii kwa ujumla. It is good Asha Dii na wengine came out and expressed their feelings lakini unfortunately feelings won't change the reality. Reality kwa maana kuwa jamii yetu bado haijaona nyumba ndogo kama ni tatizo.

Lini tumesikia our politicians majukwaani wakitetea the institution of marriage and family as the foundation of our society? Zaidi ya Sh billion 4 zimetumiaka kwenye kampeni za uchaguzi Igunga lakini ni mgombea yupi ulisikia at least akiongelea directly umuhimu wa kujenga instututions za mariage na family Igunga? Hivi kuna mgombea ambaye alizungunzia tatizo na Ukimwi? Kwa nini suala la nyumba ndogo lisiingizwe kwenye uwanja wa siasa kama lilivyo suala la abortion Marekani? Au wanasiana nao wanaunga mkono nyumba ndogo?
 
Hapo kwenye bold ndipo pananifanya niwafagilie hao hit and run kwani wanakuwa na mapenzi ya hali ya juu kwa wake zao na watoto tofauti na hao wanaomiliki nyumba ndogo.

And in most cases a wife will never know kwani hawakubali kugandwa na mwanamke.

Na kuwa women are sexual object nakubali kabisa ila ungeongeza some women; kwani kukubali kuwa nyumba ndogo au kuwa one night stand wewe ni nani kama si sex object? Huu ni ukweli hata kama unauma.

Most of them wanauza sex for money ndo maana pesa ikiisha mnatimuliwa kama mbwa mwizi.

The worst thing is that hits and runs may simply mean the man is using the women for sex. To argue that hit and run husbands ni wajanja or it spice up sex ni sawa na kukubali kuwa women are sexual objects.

[/QUOTE]
 
Hapo kwenye bold ndipo pananifanya niwafagilie hao hit and run kwani wanakuwa na mapenzi ya hali ya juu kwa wake zao na watoto tofauti na hao wanaomiliki nyumba ndogo.

Kama mume wako ana mapenzi ya hali ya juu kwako kwa nini aka hit and run? Kwa hiyo mtoto wako wa kike utamashauri kuwa kuolewa na mwanaume anayeendekeza nyumba ndogo is big NO lakini ikishindikana kabisa then it is OK aolewe na mwanaume anaye hit and run kwa vile ni mjanja na mwenye mapenzi ya dhati?

Inaeleweka wazi kuwa mwanaume anaye hit and run is irresponsible. Hana tofauti na dereva anaye hit and and run. A hit and run man has no courage and creates an escape route that avoids having to take responsibility for cleaning up the mess caused by leaving. Kusema kuwa mume anaye hit and run anakuwa na mapenzi ya hali ya juu kwako na watoto is like letting him to kill you softy.

And in most cases a wife will never know kwani hawakubali kugandwa na mwanamke.

Kuna umuhimu gani wa kujua au kutojua kama tayari unamwona mume wako ni mjanga kwa vile ana hit and run? Does it really matter? OK utafanyaje kama ukijua au ukimkamata ana hit and run? Utamfagilia tuu kwa vile ku hit and run ni ujanja na kuwa bado ana mapenzi ya dhati kwako?

Na kuwa women are sexual object nakubali kabisa ila ungeongeza some women; kwani kukubali kuwa nyumba ndogo au kuwa one night stand wewe ni nani kama si sex object? Huu ni ukweli hata kama unauma. ost of them wanauza sex for money ndo maana pesa ikiisha mnatimuliwa kama mbwa mwizi.

Nime omit "some women" intentionally. Nakumbuka ulishasema huko nyuma kuwa baba yako alikuambia kitu kitachokuwezesha kuwa independent woman ni kuwa financially independent probably through education, etc. Lakini pamoja na hayo yote kufagilia wanaume wanao hit and run si ndio kuji-consider mwenyewe a sex object? Kama wewe umefikia hatua ya kusema hivyo, vipi wale wanawake ambao sio independent? Kwani wanaume wanafuata nini hasa kwenye nyumba ndogo ambacho ni tofauti na kile wanachotafuta wanapo hit and run?

Najaribu ku imagine a husband who likes a wife who eat and run. The wife is here today and there tomorrow. She is excited giving men emotional pains. A man give her his love and she gives him disappointment. She changes men like underwear. She is a good example of a flirt. She wants the best of a man at the shortest time. She is always at the receiving end, ever demanding. She will not tell her husband she has many sweethearts, that her time is carefully divided to accommodate the husband and many other sweethearts. She is an angel on the face, but a Jezebel at heart. Can't you see she has an angelic voice and a saintly, but deceptive voice? Why would a man marry such an eat and clean mouth woman?
 
Hii mada inajadilika kama alivyosema Klorokwini iwapo watu watavua uhusika.

Hadi tunafika kurasa hizi tulizopo, tumepata maoni na mtazamo mzuri wa nyumba ndogo (tunashukuru sana) ikiwa ni pamoja na kile kinachowapelekea kuwa nyumba ndogo

Nyumba kubwa wao wanaonekana kuwa emotional zaidi na hawataki hata kujua sababu zinazopelekea nyumba ndogo zijadiliwe hadharani na waume zao kwa kuziita ni dharau kwao. Tumepata maoni kuwa wapo radhi waume zao kutembea na makahaba lakini wasiwe na nyumba ndogo kiasi cha kwamba wako radhi waume zao walete makahaba na hit and run wao vitandani mwao wao wakiwa hawapo kuliko nyumba ndogo( mmoja amemsifu baba yake kuwa mjanja kwa kufanya hivyo)

Waume wao hawakusema dhahiri kinachowasukuma kuwa na nyumba ndogo zaidi ya biolojia na kupunguza stress za nyumba kubwa

Vipi tunaweza kutokomeza nyumba ndogo halijadaliwa kwa kina hadi sasa.

Labda ni ukosefu wa nia madhubuti au uoga wa kuishi ukiwa pekee, au utamaduni wa siku nyingi na mfumo dume, lkn tumeshindwa kuzuwia kama wanavyoweza nchi za nje

Tunashindwaje kumtimua mwanamme mwenye nyumba ndogo baada ya kumpora nusu ya mali zake na watoto?
 
Nimekupata Darlingtone na hapa nachukulia kuwa unaamini kitakachokufanya usitulie ni 'shughuli' na naichukulia kuwa mapenzi hayachuji wala hamna kuwaka tamaa ya kujaribu vya nje kama inavyokuwa kwa wife. Kuwa huyo mume wa mtu anayekupenda na kukuustarehehsha wewe hatokaa achuje!! maana unavyoongelea hapa ni kama viile huyu huyu mwanaume ambaye kaona mkewe kachuja au for any reason katoka kuja kwako hatokaa atamani kwenda kwinginne na kwako akija anageuka anakuwa malaika....sweety forever? au ndo mnakwenda kimkataba!

Nisamehe mpenzi najaribu kukuelewa vizuri!

....... Mmenigomea kunielewesha eh? Sawen mnataka nifeli mtihani wa mwalimu hapa!
haah haah word mj1
tusaidie ww mama wengine tunakaribia kufunika kombe sasa ktk hii sredi.

Mpatanishi ninakiri kuwa hii shule ilikuwa ngumu kwa kweli sasa najaribu kuelewa nisijeshika mkia! Prof. Darlingtone na Dr. Sarafina1 watanirudisha September Conference kwa Sup jamani hebu nioneeni huruma mwe! nipeni madesa kama hamna muda wa kunibrush
 
Mkuu nakubaliana na wewe lakini nafikiri Asha Dii na kundi lake probably wanashindwa kutofautisha argumemts za wachangiaji wengi. Bishanga, ukisoma kwa makini michango ya watu kwenye huu uzi kuna makundi matatu na sio mawili kama wengi wanavyodhani. Kundi la kwanza linapinga nyumba ndogo. Wengi wa kundi hili ni wanawake. Kundi la pili linaunga mkono nyumba ndogo. Hili kundi lina mchanhanyiko wa wanawake na wanaume japokuwa wanawake wanaonekana wapo mstari wa mbele zaidi kutetea hoja yao.

Kundi la tatu linaongelea zaidi uhalisia wa nyumba ndogo kwenye jamii yetu. Lakini kuongelea uhalisia wa kitu haina maana kuwa unaunga mkono. You're just speaking for the reality kwa kuangalia jamii na mazingira yanayoizunguka. Unfortunately, kundi la kwanza limeweka kundi la tatu na pili kwenye kapu moja. Probalby, hii ndio inafanya watu kama akina Asha Dii wajihisi the whole JF is against them which in fact is not.

Ukiangalia kwa mapana is not only Asha Dii is feeling uncomfortable juu ya nyumba ndogo. I am sure kuna wanaJF felt so uncomfortable to the extent wameamua kutochangia kabisa kwenye huu uzi. Tukumbuke victims wa nyumba ndogo sio wake tuu bali pia ni watoto na jamii kwa ujumla. It is good Asha Dii na wengine came out and expressed their feelings lakini unfortunately feelings won't change the reality. Reality kwa maana kuwa jamii yetu bado haijaona nyumba ndogo kama ni tatizo.

Lini tumesikia our politicians majukwaani wakitetea the institution of marriage and family as the foundation of our society? Zaidi ya Sh billion 4 zimetumiaka kwenye kampeni za uchaguzi Igunga lakini ni mgombea yupi ulisikia at least akiongelea directly umuhimu wa kujenga instututions za mariage na family Igunga? Hivi kuna mgombea ambaye alizungunzia tatizo na Ukimwi? Kwa nini suala la nyumba ndogo lisiingizwe kwenye uwanja wa siasa kama lilivyo suala la abortion Marekani? Au wanasiana nao wanaunga mkono nyumba ndogo?

...cultural conflict zinaingiliana hapa...

pamoja na kupokea na kukumbatia imani za kidini za kimagharibi na kimashariki...bado kwa kiasi kikubwa jamii yetu hii inaendekeza imani za mababu wetu...
mfumo dume!

Hii mada inajadilika kama alivyosema Klorokwini iwapo watu watavua uhusika.

Hadi tunafika kurasa hizi tulizopo, tumepata maoni na mtazamo mzuri wa nyumba ndogo (tunashukuru sana) ikiwa ni pamoja na kile kinachowapelekea kuwa nyumba ndogo

Nyumba kubwa wao wanaonekana kuwa emotional zaidi na hawataki hata kujua sababu zinazopelekea nyumba ndogo zijadiliwe hadharani na waume zao kwa kuziita ni dharau kwao. Tumepata maoni kuwa wapo radhi waume zao kutembea na makahaba lakini wasiwe na nyumba ndogo kiasi cha kwamba wako radhi waume zao walete makahaba na hit and run wao vitandani mwao wao wakiwa hawapo kuliko nyumba ndogo( mmoja amemsifu baba yake kuwa mjanja kwa kufanya hivyo)

Waume wao hawakusema dhahiri kinachowasukuma kuwa na nyumba ndogo zaidi ya biolojia na kupunguza stress za nyumba kubwa

Vipi tunaweza kutokomeza nyumba ndogo halijadaliwa kwa kina hadi sasa.

Labda ni ukosefu wa nia madhubuti au uoga wa kuishi ukiwa pekee, au utamaduni wa siku nyingi na mfumo dume, lkn tumeshindwa kuzuwia kama wanavyoweza nchi za nje

Tunashindwaje kumtimua mwanamme mwenye nyumba ndogo baada ya kumpora nusu ya mali zake na watoto?

....dahhhh,.....!?

adultery laws?.....kipengele cha hilo hata tanzania kipo, mwanaume ukimfumania mkeo
adhabu yake mkosaji anatozwa faini isiyozidi tshs 2000/=....

mwanamke akifumania?....adai talaka?
 
....dahhhh,.....!?

adultery laws?.....kipengele cha hilo hata tanzania kipo,
mwanaume ukimfumania mkeo
adhabu yake mkosaji anatozwa faini isiyozidi tshs 2000/=....

mwanamke akifumania?....adai talaka?

Mbu hiyo sheria specifically inazungumzia mwanamme akifumania au "yoyote katika ndoa akifumania"?
Kama ni mwanamme tu ni dhahiri kuwa tatizo la mfumo dume ni kubwa mno zaidi tunavyolichukulia.

Pili tunataka sheria ambayo haitaweka kiwango maalum (or else ihusike na inflation rate ..lol)

Tatu hakuna ubaya kwa mwanamke kudai talaka (hata mahakamani) iwapo mwanamme atakuwa na nyumba ndogo (na yeye mwanamke haridhishwi na hilo).
 
Back
Top Bottom