nyumba kubwa
JF-Expert Member
- Oct 8, 2010
- 10,309
- 8,398
I am thinking by head not by heart.
Nadhani baadhi yenu mnachukulia hiki kitu emotional sana.
Kama nyumba ndogo ina madhara kwa familia including kufanya baba asahau wajibu wake kwa watoto; mnashangaa nini mimi kuwafagilia hit and run?
Ni wanagpi mlishawahi kumshauri mdau humu asioe mpaka watoto wake wakue baada ya kufiwa na mkewe; mnadhani mlitaka aishije kama si kutafuta mapoozeo.
I am proud of my dad kwa sababu as his child nili experience constant love from him; hajawahi kuninyima matunzo mpaka naolewa kwa kuwa hakuwahi ku invest nje!
Na nina mifano ya rafiki zangu ambao mama zao ilibidi wauze maandazi ili wasome kwa kuwa baba alihamia kwa kimada.
Sasa hapo ni nani responsible father????
Sioni vibaya ku call a spade by its name.
Hata wanaume baadhi ni sex objects wale viserengeti wanaotumiwa na ma-sugar mummy.
Niliwahi ona mwanamke anasema anafikiria kutafuta wa kumtuliza kwa kuwa mumewe ana kisukari na hana nguvu za kiume
Na alisema anatafuta sex
Sasa hapo nani ni sex object????