Jibu kwa The Boss (Nyumba ndogo)

Jibu kwa The Boss (Nyumba ndogo)

Wakati mwingine nyumba ndogo tuzisababisha sisi wenyewe wanawake, mdada akisholewa akakaa ndani miaka miwili mitata anaona amemaliza kila kitu, wamama wengi tunajisahau kutimiza wajibu wetu katika ndoa mwisho wa siku ukisiki kuna nyumba ndogo tunaanza kupiga kelele, japo pia kwa upande mwingine nyumba ndogo ni tamaa tu ya mwanaume husika

post hii iko well balamced,nimeipenda,umekuwa mkweli na pande zote umazitendea haki,ahsante mama.
 
Unazidi kunifurahisha...

U R very right....

Kid i know i am right... you want an advise on how to be a perfect nyumba ndogo... You are home... I help my fellow women for i understand their side... I hav no problem with the nyumba ndogo (toka lini ununue vifaa vya kujengea nyumba ikakataa kupanda sababu una nyingine tena kubwa zaidi??) My problem is with this Wajenziz...
 
kina mama mjibuni ,maana nyie ndo mmeleta hii mada

Na wewe Bishanga usiwe mrusha mpira kiasi hicho... Wee si uko kubrag kuhusu ujenzi hapa? Nafikiri ukiwa kama mjenzi na ndo mtafta viwanja hadi vifaa vya kujengea hata fundi hualiki unajenga mwenyewe you are in good position kijibu hilo... After all mbona mmejimwaya saana humu ndani saizi ndo ukwame???
 
Kid i know i am right... you want an advise on how to be a perfect nyumba ndogo... You are home... I help my fellow women for i understand their side... I hav no problem with the nyumba ndogo (toka lini ununue vifaa vya kujengea nyumba ikakataa kupanda sababu una nyingine tena kubwa zaidi??) My problem is with this Wajenziz...

Bi Asha sasa naona umeanza kuyumba msimamo bana,i thought it takes two to tangle? au umeanza kuhamia kwetu kimtazamo? karibu kwa sana.
 
hahahaha yaani to be sincere toka nijoin jf thread hii ya RussianRoulete ni moja kati ya zilizonichangamsha,i love the mental acrobatics involved, Vivian mjuzi sana wa mambo haya ,si kwamba hajui,anajua ila anatuchora tu.
 
Pole sana dada yangu. Vumilia, haya mambo hayakwepeki!

Sikui hizi ni ngoma droo tu, utakaa humo ndani unalia weee kisa nyumba ndogo, sasa mwanaume ukitafuta nyumba ndogo, mama natafuta kubwa yake ili watoke pasupasu, nawashangaa hao ambao bado wanalalamika kwasababu ya nyumba ndogo, mtakufa kwa perssure mziache nyumba ndogo zinatanua then mwape watoto wanu shida za maisha bure
 
Kid i know i am right... you want an advise on how to be a perfect nyumba ndogo... You are home... I help my fellow women for i understand their side... I hav no problem with the nyumba ndogo (toka lini ununue vifaa vya kujengea nyumba ikakataa kupanda sababu una nyingine tena kubwa zaidi??) My problem is with this Wajenziz...

1st am not a Kid, (if that is what u meant)...

I need no advice to be a "perfect" nyumba ndogo, because I already am...
Nilisema mwanzo kuwa nilikuwa nachukua notes... was just collecting ammunitions which were being supplied here ili nikaboreshe zaidi

Na hapo kwenye underline, nafikiri ungewasaidia your fellow "married" women "to keep their men on the leash", wengine wanajisahau sana

Ni mtazamo wangu tu... no hard feelings...
 
Sikui hizi ni ngoma droo tu, utakaa humo ndani unalia weee kisa nyumba ndogo, sasa mwanaume ukitafuta nyumba ndogo, mama natafuta kubwa yake ili watoke pasupasu, nawashangaa hao ambao bado wanalalamika kwasababu ya nyumba ndogo, mtakufa kwa perssure mziache nyumba ndogo zinatanua then mwape watoto wanu shida za maisha bure
Ewe ram mpendwa niliyependezwa nawe, ulikuwa wapi siku zote?
 
Hahahaaaa..... Great Thinking... Life is too short uh?
 
Bi Asha sasa naona umeanza kuyumba msimamo bana,i thought it takes two to tangle? au umeanza kuhamia kwetu kimtazamo? karibu kwa sana.

siyumbi.... Ndio wanadamu twapishana hapo... Ninapo sema sipendi nyumba ndogo - haimaanishi kwamba i hate ile nyumba... Ila namaanisha SIPENDI kua Mjenzi wangu kajenga hio nyumba... Siwezi mchukia mwanamke mwenzangu kwa kumkubali mwanaume ambae ninae na hasa kama ananichanganya akili... Sina hio energy..ila najua itaniumaaaaaa!!! (zaidi nitamuona nae ajua kuchagua a true man kama mimi); tatizo langu lipo kwa mwanaume... Na i am telling you B' mpaka mwanaume kaku cheat kiasi kwamba kahalalisha na nimejua... He is not worth it no matter nampenda vipi?
 
Ukishaingia kwenye ndoa unasamehe tu mamii na maisha yanaendelea
 
Ewe ram mpendwa niliyependezwa nawe, ulikuwa wapi siku zote?

Huwa nipo humu humu ndugu yangu, somtimes majukumu yakikuzidi unapotea kidogo ukipata nafasi unashiriki kama hivi. Ushauri wangu kwa wadada na wamama acheni kulalamikia nyumba ndogo chukue hatua, mtalalamika hadi lini? Yaani nyumba ndogo zipo tu wapendwa tupende tusipende na katika wanaume 10 naamini 8 kati yao wananyumba ndogo, sasa wewe mama mumeo kuwemo ktk hao wawili....mmmh! Lakini pia tujue kuwa wanawake tuko wengi ukilinganisha na wanaume, sasa hatuwezi kuolewa wote lazima wengine wataingia ndani ya ndoa wengine watabaki kuwa nyumba ndogo
 
1st am not a Kid, (if that is what u meant)...

I need no advice to be a "perfect" nyumba ndogo, because I already am...
Nilisema mwanzo kuwa nilikuwa nachukua notes... was just collecting ammunitions which were being supplied here ili nikaboreshe zaidi

Na hapo kwenye underline, nafikiri ungewasaidia your fellow "married" women "to keep their men on the leash", wengine wanajisahau sana

Ni mtazamo wangu tu... no hard feelings...
Hi darlingtone. I'm really happy about you coming out to express yourself as a nyumba ndogo. Labda nikuulize swali kidogo:
- Una jiskiskiaje kua nyumba ndogo? (unajivunia, au una umia, au hujali kabisa)
- Una tegmeo gani kuhusu hiyo relation? (atamwacha nyumba kubwa aje kukuoa, atakuoa kama bimdogo, mtaendelea kuwa wapenzi hadi penzi likipotea kila mtu anaendelea?)
- Ukija kuolewa utakua na mtazamo gani kuhusu nyumba ndogo (utakubali, utahakiksha mume wako haendi nje kwa mbinu zote, huta taka kujua so long as anakutimizia mahitaji yako yote, Utapinga kabisa na akithubutu unafunga vyako na kurudi kwenu)
Kama nilivosema hapo juu (au nyuma, sijui) mi sina shida saaaana na nymba ndogo. shida ni kwa mume ambae mliapiana kua mtapendana na mtahangaika pamoja hadi kufa kwenu alafu akavunja ahadi. wanawake hatuna mkataba na nyumba ndogo...
Naomba majibu yako hapo juu tafadhali
 
1st am not a Kid, (if that is what u meant)...

I need no advice to be a "perfect" nyumba ndogo, because I already am...
Nilisema mwanzo kuwa nilikuwa nachukua notes... was just collecting ammunitions which were being supplied here ili nikaboreshe zaidi

Na hapo kwenye underline, nafikiri ungewasaidia your fellow "married" women "to keep their men on the leash", wengine wanajisahau sana

Ni mtazamo wangu tu... no hard feelings...

mwingine huyo kajilipua! twendelee tu leo mtasema kila kitu.
 
Huwa nipo humu humu ndugu yangu, somtimes majukumu yakikuzidi unapotea kidogo ukipata nafasi unashiriki kama hivi. Ushauri wangu kwa wadada na wamama acheni kulalamikia nyumba ndogo chukue hatua, mtalalamika hadi lini? Yaani nyumba ndogo zipo tu wapendwa tupende tusipende na katika wanaume 10 naamini 8 kati yao wananyumba ndogo, sasa wewe mama mumeo kuwemo ktk hao wawili....mmmh! Lakini pia tujue kuwa wanawake tuko wengi ukilinganisha na wanaume, sasa hatuwezi kuolewa wote lazima wengine wataingia ndani ya ndoa wengine watabaki kuwa nyumba ndogo

RAM unaweza kukuta hao wawili hawamiliki hizo nyumba ndogo lakini machangudoa na ma-bar maids wote wanajua alivyo... bandika bandua
 
Back
Top Bottom