Asprin
Platinum Member
- Mar 8, 2008
- 68,487
- 96,974
Kuna mtu amekuchukulia ID yako...........hii inamaanisha kuna tukio linaloendana na hii thread linatakiwa kufanyika kwa hizi ID.Sijawahi kupinga infidelity ujue....:eyebrows:
Kuna mtu amekuchukulia ID yako...........hii inamaanisha kuna tukio linaloendana na hii thread linatakiwa kufanyika kwa hizi ID.Sijawahi kupinga infidelity ujue....:eyebrows:
Ukweli ni huu, japo unauma lakini ndio ukweli wenyewe.
Tangu kuumbwa kwa dunia hii.......... hakuna kiumbe chochote cha kiume kilichoumbwa kwa ajili ya kiumbe kimoja tu cha kike......!
Mitume na manabii karibu wote katika vitabu vyote walimiliki si chini ya mke mmoja........ Si ajabu tunaona wanawake wako radhi kuolewa mitala....Laiti wanawake mngekubaliana na hili la kuturuhusu tuoe zaidi ya mke mmoja, labda ndo lingekuwa suluhisho la kuisha hili tatizo. lakini kwakuwa hamtaki, na siye hatujaumbwa kwa ajili ya mke mmoja...........hamna jinsi lazima nyumba ndogo ziendelee ku-ezist.
Nyie kinamama hamuyaoni hata majogoo mitaani kwenu? Khaa!...........wanaume hawariziki na kikojoleo kimoja, mbona hampendi kutuelewa!
Vin Diesel, ni jukumu kupinga jambo lisilo sahihi, full stop. Tena kupinga kwenyewe ni kwa maneno na kwa vitendo pia. Sisemi kua nikisema sana na nitende kufatana na ninayo sema watu wote batabadilika ila at least kuna watu kadhaa wanaweza kubadilika na hiyo ni ushindi tosha.Napata wakati mgumu kuelewa hapa...je ni sahihi kupinga kwa nguvu zote hata jambo ujualo huwezi libadili? Au watakiwa kukubali uhalisia hata kama yauma....
tafakari...
Kama utaamua kuishi kama jogoo ni sawa ila kwa mtazamo wangu Mungu alimuumba Mwanadamu na hisia tofauti. Kweli tamaa inaweza kua ila ndani mwako Mungu kakupa nguvu ya kushinda vishawishi. Na sio sahihi kuwataja manabii sababu dini zote zinapinga maswala ya nyumba ndogo. Hata uislam wenyewe una masharti magumu sana kwa kuruhusu nyumba ndogo kiasi kwamba ni kama imekataza tu.Ukweli ni huu, japo unauma lakini ndio ukweli wenyewe.
Tangu kuumbwa kwa dunia hii.......... hakuna kiumbe chochote cha kiume kilichoumbwa kwa ajili ya kiumbe kimoja tu cha kike......!
Mitume na manabii karibu wote katika vitabu vyote walimiliki si chini ya mke mmoja........ Si ajabu tunaona wanawake wako radhi kuolewa mitala....Laiti wanawake mngekubaliana na hili la kuturuhusu tuoe zaidi ya mke mmoja, labda ndo lingekuwa suluhisho la kuisha hili tatizo. lakini kwakuwa hamtaki, na siye hatujaumbwa kwa ajili ya mke mmoja...........hamna jinsi lazima nyumba ndogo ziendelee ku-ezist.
Nyie kinamama hamuyaoni hata majogoo mitaani kwenu? Khaa!...........wanaume hawariziki na kikojoleo kimoja, mbona hampendi kutuelewa!
Samahani Aspirin, kuna RR na Russian Roulette. Usichanganye hapo. wewe ulinijibu kwa kuandika RR, na yeye akajibbu kufatana na mtazamo wake. pole sana.Kuna mtu amekuchukulia ID yako...........hii inamaanisha kuna tukio linaloendana na hii thread linatakiwa kufanyika kwa hizi ID.
Vin Diesel, ni jukumu kupinga jambo lisilo sahihi, full stop. Tena kupinga kwenyewe ni kwa maneno na kwa vitendo pia. Sisemi kua nikisema sana na nitende kufatana na ninayo sema watu wote batabadilika ila at least kuna watu kadhaa wanaweza kubadilika na hiyo ni ushindi tosha.
kuna born fighters na born followers. I am of the first nature. Naamini the change starts somewhere na kwa vile kuna watu wengi hawaipendi hiyo tabia nimeona na sisi tutoe mtazamo wetu baada ya the boss kutoa mtazamo wao.Tatizo linakuja pale unapojaribu kapambana na uhalisia na ukaishia kupoteza nguvu na rasilimali zako na ushindi uuzungumziao usipatikane...
Binafsi nipo against nyumba ndogo kwani naona haki inakuwa haijatendeka kwa mtendwa...ila naona wengi wana i practice...kwanini tusiache maji yafuate mkondo wake bila kujengea jengea kingo nk..
Siku kadhaa zilizo pita kuna member alitoa post kuhusu utaratibu wa ku-manage nyumba ndogo ili asi lete utata. Member huyo anaitwa The Boss.
Pamoja na kumshukuru kwa kutoa maoni na shauri zake kuhusu Nyumba ndogo, mimi kama mwanamke nimeona siwezi kujibu kwenye post lile ila nifungue tu thread mpya sababu mtazamo wangu na wake ni tofauti kabisa.Katika dunia ya JF, ni sawa kuanzisha thread kama hiyo ila dunia ya kweli ambayo ninaishi mimi, na wengine wengi, hivyo vitu vipo. Mtu anaheshima yake na akienda kwa nyumba ndogo conscience yake inamsumbua. kuna mapenzi kati ya yeye na nyumba kubwa, au kati ya yeye na nyumba ndogo, au yuko in transition, akitoa mapenzi kwa bimkubwa kwenda kwa nyumba ndogo(or whatever the case). Pia wanawake hao ni binadamu na wana akili, tumaini, na hisia zote za kawaida. wanapiga hesabu za maisha na kusema kesho nataka mimi na mpenzi wangu tuwe hivi, na hivi, na hivi. na wanatumia njia mbali mbali za kumshawishi mwanaume afate hizo njia.
- Kwanza namlaumu kwa kutoa thread kama hiyo sababu ina halalisha kitu kilicho haram. nikijieleza kwa mfano, ni kama kusema inakatazwa kuua mtu ila kama utaamua kumchinja kumbuka kutoa carpet usilijaze damu. Mtasema hana influence ya kuhalalisha au kuharamisha kitu, na ni kweli, ila yeye ndie alitoa mwelekeo wa thread na kila alie changia kwa kumsupport (na kila alie like thread yake) ameongeza sauti lake kwenye mada na hivo msomaji wa kawaida (mimi na wewe) tunahisi kuna watu wengi sana wanamtazamo huo. Kwa mtu alie kua na nia ya kwenda nje, au Yule tayari anatembea nje ya ndoa, ni ruhsa tosha ya kuendelea katika njia hiyo.
- Pili, kama ikitokea mtu aanguke na atoke nje ya ndoa, shauri la kumpa sio namna gani aifanya hali hiyo iwe shwari na idumu, bali nikumshauri namna gani anaweza kujitoa katika mtego huo. maada ya thread hii sio kutoa huo ushauri, labda nitarudi baadae.
- La tatu na lililo nikwaza zaidi ni heshima ndogo ya utaratibu mzima kwa wanawake, iwe nyumba kubwa au nyumba ndogo. Kwa namna nilisoma thread (kama nilikosea naomba anikosoe) kila kitu kina husisha kugawa hela kati ya nyumba kubwa na nyumba ndogo (material distribution) na heshima/mtazamo wa ndugu na rafiki. sikuona katika thread hiyo mapenzi yanawekwa wapi, heshima ya muhusika kwa nyumba kubwa, au nyumba ndogo, watoto, tegemeo za watu wengine na kadhalika vikija katika hesabu.
Kwa kumalizia nataka kukumbusha kama kila mtu ana mtazamo wake wa haya mambo na nina heshimu mtazamo wa kila mtu. Huu hapa ni mtazamo wangu na naomba uheshimiwe pia. Sijakataza kutoa maoni yenye kupinga mtazamo, nimeomba tu tuchangie kwa heshima.
Asanteni.
Nimeanza kuona kuwa tunamjadala mpana zaidi kwenye hili....Roulette... Umeniwahi for nipo kuandika a Counter thread kuhusiana na Nyumba ndogo... On a Serious note.... Hilo hata Boss mwenyewe nimem-forwadia pamoja na Mwenyekiti wao (Darling Kaizer) Hamna lilillohaibika thou... Tutajion tu hizo forces.... ila kwa vigezo kua inabidi tukuabali kua Ndio reality na sasa tufanye vipi hawa wa kaka/baba wajue kua hatupendi na kamba tukiamua tunaweza tumia grader zetu ikabaki vumbi tu... Kigezo kikubwa kwanza ni kukubali... then we ATTACK!!!
I feel where it is coming from for I am a woman tu... twaweza ongea kwa mzaha, twaweza kubali kua ndio ukweli BUT Ukweli unabaki kua inauma.... Hata hivo kuna threads nyingi saana zimeanzishwa za Nymba Ndogo na hii jamii ya MMU ina wanawake na wanaume... BUT Sidhani kama kuna thread isha wahi funguliwa kupinga ama kutoa msimamo wa sie wanawake tunafaikiria vipi (My thread imelenga hivo pia) Hivo basi Roullette nakupongeza kwa hii thread na nimefurahi....
Punguza ukali kidogo basi........... Ila ukweli ni kuwa Nyumba ndogo haziepukiki! Take it from me!Samahani Aspirin, kuna RR na Russian Roulette. Usichanganye hapo. wewe ulinijibu kwa kuandika RR, na yeye akajibbu kufatana na mtazamo wake. pole sana.
Hatuwezi kupingana na kitu NECHA! Haiwezekani kabisaaaaaa! Niape?Nyumba ndogo,nyumba ndogo, kila day yaani watu wanalia. Enyi kina babu kwa nini msiache hii maneno jameni?
abiria chunga mzigo wakosiku kadhaa zilizo pita kuna member alitoa post kuhusu utaratibu wa ku-manage nyumba ndogo ili asi lete utata. Member huyo anaitwa the boss.
Pamoja na kumshukuru kwa kutoa maoni na shauri zake kuhusu nyumba ndogo, mimi kama mwanamke nimeona siwezi kujibu kwenye post lile ila nifungue tu thread mpya sababu mtazamo wangu na wake ni tofauti kabisa.katika dunia ya jf, ni sawa kuanzisha thread kama hiyo ila dunia ya kweli ambayo ninaishi mimi, na wengine wengi, hivyo vitu vipo. Mtu anaheshima yake na akienda kwa nyumba ndogo conscience yake inamsumbua. Kuna mapenzi kati ya yeye na nyumba kubwa, au kati ya yeye na nyumba ndogo, au yuko in transition, akitoa mapenzi kwa bimkubwa kwenda kwa nyumba ndogo(or whatever the case). Pia wanawake hao ni binadamu na wana akili, tumaini, na hisia zote za kawaida. Wanapiga hesabu za maisha na kusema kesho nataka mimi na mpenzi wangu tuwe hivi, na hivi, na hivi. Na wanatumia njia mbali mbali za kumshawishi mwanaume afate hizo njia.
- kwanza namlaumu kwa kutoa thread kama hiyo sababu ina halalisha kitu kilicho haram. Nikijieleza kwa mfano, ni kama kusema inakatazwa kuua mtu ila kama utaamua kumchinja kumbuka kutoa carpet usilijaze damu. Mtasema hana influence ya kuhalalisha au kuharamisha kitu, na ni kweli, ila yeye ndie alitoa mwelekeo wa thread na kila alie changia kwa kumsupport (na kila alie like thread yake) ameongeza sauti lake kwenye mada na hivo msomaji wa kawaida (mimi na wewe) tunahisi kuna watu wengi sana wanamtazamo huo. Kwa mtu alie kua na nia ya kwenda nje, au yule tayari anatembea nje ya ndoa, ni ruhsa tosha ya kuendelea katika njia hiyo.
- pili, kama ikitokea mtu aanguke na atoke nje ya ndoa, shauri la kumpa sio namna gani aifanya hali hiyo iwe shwari na idumu, bali nikumshauri namna gani anaweza kujitoa katika mtego huo. Maada ya thread hii sio kutoa huo ushauri, labda nitarudi baadae.
- la tatu na lililo nikwaza zaidi ni heshima ndogo ya utaratibu mzima kwa wanawake, iwe nyumba kubwa au nyumba ndogo. Kwa namna nilisoma thread (kama nilikosea naomba anikosoe) kila kitu kina husisha kugawa hela kati ya nyumba kubwa na nyumba ndogo (material distribution) na heshima/mtazamo wa ndugu na rafiki. Sikuona katika thread hiyo mapenzi yanawekwa wapi, heshima ya muhusika kwa nyumba kubwa, au nyumba ndogo, watoto, tegemeo za watu wengine na kadhalika vikija katika hesabu.
Kwa kumalizia nataka kukumbusha kama kila mtu ana mtazamo wake wa haya mambo na nina heshimu mtazamo wa kila mtu. Huu hapa ni mtazamo wangu na naomba uheshimiwe pia. Sijakataza kutoa maoni yenye kupinga mtazamo, nimeomba tu tuchangie kwa heshima.
Asanteni.
Nimeanza kuona kuwa tunamjadala mpana zaidi kwenye hili....
RR na Adii nimevutwa sana na mabandiko yenu...
Kwa kweli pamoja na uanaume wangu na pia kukubali kwangu ukweli kwamba tunaangukia kwenye makosa ya baba zetu!
Hiyo haiondoi hali halisi kuwa "nyumba ndogo" ni haramu na zinatingisha misingi ya familia!!
Tumekuwa watu wa kurahisisha sana mambo siku hizi, matokeo yake hata vitu ambavyo ni vizito sana kwenye misingi ya jamii zetu tunavipuuza...
Just for a simple justification... "oh hawa wanawake.... brah brah"
Binafsi kabla sijaenda mbele zaidi nadhani kila mmoja wetu akae na tujiulize NINI MAANA YA FAMILIA???
Punguza ukali kidogo basi........... Ila ukweli ni kuwa Nyumba ndogo haziepukiki! Take it from me!
Hatuwezi kupingana na kitu NECHA! Haiwezekani kabisaaaaaa! Niape?
Shem waweza mruhusu hommie aoe mke wa pili?Khaaa!! Shem taratibu... sasa ndio uongee kwa majigambo!
Napata wakati mgumu kuelewa hapa...je ni sahihi kupinga kwa nguvu zote hata jambo ujualo huwezi libadili? Au watakiwa kukubali uhalisia hata kama yauma....
tafakari...
Ukweli ni huu, japo unauma lakini ndio ukweli wenyewe.
Tangu kuumbwa kwa dunia hii.......... hakuna kiumbe chochote cha kiume kilichoumbwa kwa ajili ya kiumbe kimoja tu cha kike......!
Mitume na manabii karibu wote katika vitabu vyote walimiliki si chini ya mke mmoja........ Si ajabu tunaona wanawake wako radhi kuolewa mitala....Laiti wanawake mngekubaliana na hili la kuturuhusu tuoe zaidi ya mke mmoja, labda ndo lingekuwa suluhisho la kuisha hili tatizo. lakini kwakuwa hamtaki, na siye hatujaumbwa kwa ajili ya mke mmoja...........hamna jinsi lazima nyumba ndogo ziendelee ku-ezist.
Nyie kinamama hamuyaoni hata majogoo mitaani kwenu? Khaa!...........wanaume hawariziki na kikojoleo kimoja, mbona hampendi kutuelewa!
Shem waweza mruhusu hommie aoe mke wa pili?