Mambo ya kusalitiana kwa wanandoa

Mambo ya kusalitiana kwa wanandoa

Ertugrul Bey

JF-Expert Member
Joined
Aug 6, 2020
Posts
14,882
Reaction score
30,375
Ananisilimulia best yangu mmoja siku nyingi zilizopita " nilitoka na madam kwenda nae kwao mume wake alikuwa hayupo, akatoa godoro chumbani kwao na kuja nalo sebuleni na tukamalizana" mwisho wa Kunukuu

Haya ndio maisha ya baadhi ya wanandoa, yaani umeona kumsaliti mwenzio hakutoshi mpaka umpeleke ndani ya chumba chenu au nyumba yenu na kuyafanya hayo mnayofanya.

Kwanini mnafikia mpaka kunajisi makazi yenu takatifu kama wanandoa ambao tendo hili la ndoa lina heshima kubwa mbele za mola wenu.

Hivi uko comfortable kabisa kukojoa unakojoa katika kitanda chenu chenye heshima kama wana ndoa, yaani bila aibu au kujishtukia unalala na mtu katika kitanda unacholalia na mwenza wako?

Umeshindwa kufanyia ushenzi wako huko nje lkn ukaona na kuridhika kabisa kunajisi chumba chenu na kitanda chenu, mnafikiria kwa kutumia nini?

Ndoa iheshimiwe pamoja na changamoto zake

Ni hayo tu!
 
Ndoa bila tendo la ndoa hio ni mahabusu ya aina yake.

Kama hutoi mbunye kama ulivyofanya kwenye uchumba wenu jiandae kisaikolojia maana haikuwa na ratiba maalum ila leo hii "Ntakupa kesho" haziishi mara "Nimechoka" niwasihi endeleeni hivyo hivyo mtakipata mnachokitafuta.
 
Back
Top Bottom