Muarubaini
JF-Expert Member
- Apr 7, 2012
- 222
- 48
hawa jamaa wanatangaza nafac za ajira wakati tayari wana watu wao. Niliwahi omba nafac pale mara kadhaa na nlikuwa vigezo vyote walivyotaka lakin hata short list hamna, ndipo nlipomuuliza jamaa yangu anafanya pale akasema pale kuingia uwe unajua wakubwa kwan hata yeye Baba yake wanajuana na MD.
Aisee inauma sana jamani.
ebu nambie ni org gani inayochukua volunteers manake ndugu yangu kila ofisi amezunguka akitafuta nafasi ya ku-volunteer!Vijana acheni kulalama katika hii dunia ya utandawazi mwenye network kubwa ndiyo anafanikiwa.Jifunzeni kutengeneza network hata kwa kuomba kazi kwa kujitolea kwenye hizo organization.
ebu nambie ni org gani inayochukua volunteers manake ndugu yangu kila ofisi amezunguka akitafuta nafasi ya ku-volunteer!
duuuuuuuuuuuuuh nchi ya JKHata kuvolunteer ishu, lazima awepo mtu ndani wa kukukingia kifua mwanzo mwisho
hawa jamaa wanatangaza nafac za ajira wakati tayari wana watu wao. Niliwahi omba nafac pale mara kadhaa na nlikuwa vigezo vyote walivyotaka lakin hata short list hamna, ndipo nlipomuuliza jamaa yangu anafanya pale akasema pale kuingia uwe unajua wakubwa kwan hata yeye Baba yake wanajuana na MD.
hawa jamaa wanatangaza nafac za ajira wakati tayari wana watu wao. Niliwahi omba nafac pale mara kadhaa na nlikuwa vigezo vyote walivyotaka lakin hata short list hamna, ndipo nlipomuuliza jamaa yangu anafanya pale akasema pale kuingia uwe unajua wakubwa kwan hata yeye Baba yake wanajuana na MD.
Hii inaruhusiwa mkuu,,hakuna dhambi..kikubwa ni kutengeneza na wewe network ya kufahamika na watu strategic..hata mimi ningekuwa mwajiri ningeajiri wale walio recommended kwanza..its less risky, na unatengeneza watu wanaoku-'owe'..which is good for other business deals..tembelea ofisi za wahindi mjini..wote wameajiri ma-cousin,niece,nephew..etc..hakuna dhambi!!