Jhpiego kiini macho cha ajira

Muarubaini

JF-Expert Member
Apr 7, 2012
222
48
hawa jamaa wanatangaza nafac za ajira wakati tayari wana watu wao. Niliwahi omba nafac pale mara kadhaa na nlikuwa vigezo vyote walivyotaka lakin hata short list hamna, ndipo nlipomuuliza jamaa yangu anafanya pale akasema pale kuingia uwe unajua wakubwa kwan hata yeye Baba yake wanajuana na MD.
 
dah kumbe sio mwenyew kuna na wenzangu mliofanyiwa hvyo ..dah yaani nishaaply kama mara tatu hivi lakini wapi..
ndo maisha lakini kwanin watufanyie hiv kma wana watu kuna haja gani za kutangaza mnataka watu?? aise inauma watu wanavyosota street hata hela ya copy hawana afu mtu anaamua kuwafanyia hv wabongo...
 
hawa jamaa wanatangaza nafac za ajira wakati tayari wana watu wao. Niliwahi omba nafac pale mara kadhaa na nlikuwa vigezo vyote walivyotaka lakin hata short list hamna, ndipo nlipomuuliza jamaa yangu anafanya pale akasema pale kuingia uwe unajua wakubwa kwan hata yeye Baba yake wanajuana na MD.

Yaani bongo ndo kawaida sehemu nyingi. Ukipata kazi bila kuwa na tall relative ujue the man upstairs amekusimamia. Lkn kinachokera ni kwa nini basi wanatangaza? Hata kama ni equal opportunity employer, washajiharibia.
 
Vijana acheni kulalama katika hii dunia ya utandawazi mwenye network kubwa ndiyo anafanikiwa.Jifunzeni kutengeneza network hata kwa kuomba kazi kwa kujitolea kwenye hizo organization.
ebu nambie ni org gani inayochukua volunteers manake ndugu yangu kila ofisi amezunguka akitafuta nafasi ya ku-volunteer!
 
mimi nilisha tuma application kwao mara 4 na nina vigezo na hata mara moja sikuwahi kuitwa kwenye usaili, Ni wasumbufu sana, ivi kwa nini watoe tangazo wakati tayari wanao watu wa kuwafanyia kazi? hii inaudhi sana.
 
hawa jamaa wanatangaza nafac za ajira wakati tayari wana watu wao. Niliwahi omba nafac pale mara kadhaa na nlikuwa vigezo vyote walivyotaka lakin hata short list hamna, ndipo nlipomuuliza jamaa yangu anafanya pale akasema pale kuingia uwe unajua wakubwa kwan hata yeye Baba yake wanajuana na MD.

Hii inaruhusiwa mkuu,,hakuna dhambi..kikubwa ni kutengeneza na wewe network ya kufahamika na watu strategic..hata mimi ningekuwa mwajiri ningeajiri wale walio recommended kwanza..its less risky, na unatengeneza watu wanaoku-'owe'..which is good for other business deals..tembelea ofisi za wahindi mjini..wote wameajiri ma-cousin,niece,nephew..etc..hakuna dhambi!!
 
Pole sana, ila check vigezo na masharti ya ku-apply, sifanyi kazi Jhpiego ila najua waombaji wengi kuna kitu kinaitwa salary history wanasahau kuandika. Halafu pia kuna ishu ya ku select project ya kuomba na location, wengi mnaomba zile zenye competition kubwa na mnataka mkae mjini. Suala la upendeleo sina hakika, kuna watu nawafahamu kabisa hawana mpambe lakini wameitwa kwa interview. Katika NGO zenye HR walio stable na wacha Mungu ninazo zifahamu Jhpiego ni mojawapo!!

Halafu naona wengi wamecomment kwa mazoea, but the truth is on the other side of the river!!
 
Hii inaruhusiwa mkuu,,hakuna dhambi..kikubwa ni kutengeneza na wewe network ya kufahamika na watu strategic..hata mimi ningekuwa mwajiri ningeajiri wale walio recommended kwanza..its less risky, na unatengeneza watu wanaoku-'owe'..which is good for other business deals..tembelea ofisi za wahindi mjini..wote wameajiri ma-cousin,niece,nephew..etc..hakuna dhambi!!

sasa wewe kweli na akili zako tuki base kwenye network za undugu na kulipana fadhila , je hao wenye vigezo kakn hawana ndugu. Pia kama ni hiuyo kwa nini watangaze
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom