WomanOfSubstance
JF-Expert Member
- May 30, 2008
- 5,457
- 956
Sheria - Augustoons
Did my part :lie:
Masuala ya kimataifa - Ab-Titchaz, Geza Ulole, ByaseL...
Lugha ya kiingereza - Bluray & Kiranga
Fundraising - Shalom
Ndugu hujafanya utafiti -- hii ndio post yako ya kwanza kuboronga
Hujaeleweka ndugu yangu...kuwa muwazi zaidi..ni nani unamzungumzia na kaboronga kivipi wakati hapa tunashirikishana? Hili nalo linahitaji utafiti gani?
Hujamwelewa?! Ana maana kwenye mambo ya 'Tekinolojia' yeye ndiye 'bingwa'! Anahoji kutomtaja kwako!!! Teh teh teh!
JF ni kisima cha maarifa. Kuna wataalamu wa kila nyanja hapa... nimepata wazo ...kwanini tusiwe na database ya wataalamu ili mtu upatwapo na ishu au prob..basi badala ya kuanika bayana.. uwepo uwezekano wa ku PM kwa muhusika na kupata jibu la papo kwa hapo badala ya kuliweka kwenye thread halafu likaanza kuingiliwa na side discussions ilhali mtu unataka msaada wa haraka....au mnaonaje waheshimiwa?
Nimeshaona tuna wataalamu katika nyanja zifuatazo:
Ujasiriamali na biashara - .......................................
Mahusiano ( hapa usiseme!) - Mbu, Nyamayao,Nguli,
Siasa na Uongozi -Mzee Mwanakijiji, Mkandara, Kitila Mkumbo......
Technolojia ya mawasiliano - Invisible,
Masuala ya kimataifa-............................
Lugha ya kiswahili -Mzee Mwanakijiji
Lugha ya kiingereza - Bluray
Vichekesho na nyepesinyepesi - .................................
Uandishi wa riwaya - Mzee mwanakijiji
Fundraising -
Tiba mbadala - Mzizi Mkavu
endeleza list na ikiwezekana jaza majina kabisa au kama unadhani wewe ni mahiri kwenye jambo fulani basi jipendekeze wewe mwenyewe
Ni tumaini langu kuwa wazo hili halitakutana na mzaha...

Huyu Tindikali yupo?Hapo kwenye sheria mimi ningesema our own Philadelphia lawyer - Tindikali wa Kuhani bin Dilunga.....
Hili lijamaa ukiwa nalo kama defense attorney chansi ya kushinda ni kubwa sana maana kwenye cross examination lazima liwapelekeshe watu wa mashitaka.....