JF yaweza kukusaidia fasta kwenye haya... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

JF yaweza kukusaidia fasta kwenye haya...

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by WomanOfSubstance, Jul 27, 2010.

 1. WomanOfSubstance

  WomanOfSubstance JF-Expert Member

  #1
  Jul 27, 2010
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 5,465
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 0
  JF ni kisima cha maarifa. Kuna wataalamu wa kila nyanja hapa... nimepata wazo ...kwanini tusiwe na database ya wataalamu ili mtu upatwapo na ishu au prob..basi badala ya kuanika bayana.. uwepo uwezekano wa ku PM kwa muhusika na kupata jibu la papo kwa hapo badala ya kuliweka kwenye thread halafu likaanza kuingiliwa na side discussions ilhali mtu unataka msaada wa haraka....au mnaonaje waheshimiwa?

  Nimeshaona tuna wataalamu katika nyanja zifuatazo:

  Ujasiriamali na biashara - .......................................
  Mahusiano ( hapa usiseme!) - Mbu, Nyamayao,Nguli,
  Siasa na Uongozi -Mzee Mwanakijiji, Mkandara, Kitila Mkumbo......
  Technolojia ya mawasiliano - Invisible,
  Masuala ya kimataifa-............................
  Lugha ya kiswahili -Mzee Mwanakijiji
  Lugha ya kiingereza - Bluray
  Vichekesho na nyepesinyepesi - .................................
  Uandishi wa riwaya - Mzee mwanakijiji
  Fundraising -
  Tiba mbadala - Mzizi Mkavu
  endeleza list na ikiwezekana jaza majina kabisa au kama unadhani wewe ni mahiri kwenye jambo fulani basi jipendekeze wewe mwenyewe
  Ni tumaini langu kuwa wazo hili halitakutana na mzaha...
   
 2. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #2
  Jul 27, 2010
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,362
  Likes Received: 6,393
  Trophy Points: 280
  duh.. mbona mimi nimebebeshwa majukumu mengi...?

  Haki za Kina Mama, Watoto na Maendeleo ya Jinsi - Woman of Substance
  Sheria - Augustoons
  Michezo - Wacha1
   
 3. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #3
  Jul 27, 2010
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,655
  Likes Received: 35,415
  Trophy Points: 280
  Hapo kwenye sheria mimi ningesema our own Philadelphia lawyer - Tindikali wa Kuhani bin Dilunga.....

  Hili lijamaa ukiwa nalo kama defense attorney chansi ya kushinda ni kubwa sana maana kwenye cross examination lazima liwapelekeshe watu wa mashitaka.....
   
 4. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #4
  Jul 27, 2010
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,655
  Likes Received: 35,415
  Trophy Points: 280
  Ikija kwenye mambo ya fashion, party na mengine yaendanayo na hayo basi muone Cuppy....

  Mambo ya ngono mtafute Ujengelele...
   
 5. Fixed Point

  Fixed Point JF Bronze Member

  #5
  Jul 27, 2010
  Joined: Sep 30, 2009
  Messages: 11,321
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Ni kweli kuna watu humu ndani wanatoa michango ya kujenga sana, na wengi tumenufaika na michango ya baadhi ya watu. Pia tunaburudishwa sana. kuna kipindi nikiwa-down huwa nakuja huku, nachekaaaaaaaaaaa mpaka mood inarudi normal.
   
 6. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #6
  Jul 27, 2010
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,655
  Likes Received: 35,415
  Trophy Points: 280
  Ila ni bora mtu ukiwa na tatizo uende ukamwone mtaalamu wa hilo tatizo ana kwa ana kuliko kutegemea watu wenye majina bandia ambao hujui kama ujuzi wao ni wa kugoogle au kweli wamebobea kwenye fani zao. Kuweni waangalifu na mitandao.
   
 7. Invisible

  Invisible Admin Staff Member

  #7
  Jul 27, 2010
  Joined: Feb 11, 2006
  Messages: 9,091
  Likes Received: 237
  Trophy Points: 160
  Did my part :lie:
   
 8. Yona F. Maro

  Yona F. Maro R I P

  #8
  Jul 27, 2010
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 4,237
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Ndugu hujafanya utafiti -- hii ndio post yako ya kwanza kuboronga
   
 9. WomanOfSubstance

  WomanOfSubstance JF-Expert Member

  #9
  Aug 1, 2010
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 5,465
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 0

  Hujaeleweka ndugu yangu...kuwa muwazi zaidi..ni nani unamzungumzia na kaboronga kivipi wakati hapa tunashirikishana? Hili nalo linahitaji utafiti gani?
   
 10. S

  SpinDoctor Member

  #10
  Aug 1, 2010
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 59
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hujamwelewa?! Ana maana kwenye mambo ya 'Tekinolojia' yeye ndiye 'bingwa'! Anahoji kutomtaja kwako!!! Teh teh teh!
   
 11. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #11
  Aug 2, 2010
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Umenichekesha sana mkuu. Kweli shy huwa sometime namuona complicator fulani . sasa hapa anasema mtu kaboronga wala hafafanui kaboronga nini.

  Kwenye list Naongeza

  Usalama wa ICT ,hakimiliki na kikosi cha kupambana na Magendo ya software bandia- Shy
   
 12. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #12
  Aug 2, 2010
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Sorry WS ingawa umesema hakutakuwa mzaha nimeshindwa kujizuia kucheka baada ya kumuona Mzizi Mkavu na idara yake ta Tiba mbadala na asilia. Kweli hii inamfaa naunga mkono

  Nakumbuka alitoa ushauri kwa mdau mmoja afuge bata mzinga wawili ili amalize matatizo yake.
   
 13. Bongolander

  Bongolander JF-Expert Member

  #13
  Aug 2, 2010
  Joined: Jul 10, 2007
  Messages: 4,882
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 135
  Ningependekeza WomanOfSubtance awe kwenye part ya mahuasiano na mapenzi. Kuna mambo mengi kuhusu wanawake ambayo hatuyafahamu, yeye anaweza kutufahamisha mambo kama anatomy ya mwili wa mwanamke, na passwords za kuingia kwenye woman's brain.
   
 14. SHERRIF ARPAIO

  SHERRIF ARPAIO JF-Expert Member

  #14
  Feb 22, 2016
  Joined: Aug 25, 2010
  Messages: 7,081
  Likes Received: 1,818
  Trophy Points: 280
  Huyu Tindikali yupo?
   
Loading...