nurbert
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 1,887
- 428
Maandish ya hapo chin umeznguaaaaa
Maandish ya hapo chin umeznguaaaaa
concept nzuri ila hujatendea haki logo ya jf, umeivuta sana, pia umesahau logo ya jf sio duara ni kama yai, halafu imekava eneo kuuubwa kiasi kwamba kwenye desktop yenye resolution ndogo haitafiti vizuri, halafu nahisi(japo sijaijaribu) hujatumia vipimo standard
pamoja kaka...shukrani.
JF daima mbele, nyuma mwiko
mmmmmh!........pic yangu fulani......[/QUOT
kwani vipi?