Ngoja niongee na wakuu niweke uzi sticky kwa ajili ya wallpapers za desktop za jf, mtengeneze mnaoweza kisha muwe mna submit kwangu naziweka kwenye uo uzi ambao utakuwa sticky ili watu wawe wanadownload, au vipi wadau?
watu8 hujatendea hakin MMU is missing in action!
Mie poa tu...vipi mpango ya weekendhahaha jamani, usijali zipo ideas nyingi itafit tu somewhere....
mzima lakini weye rafiki....
Tatizo MMU jina lake refu sana angeliweka hapo lingeharibu taswira.