JF WALLPAPER: Download Wallpaper ya JF Hapa

JF WALLPAPER: Download Wallpaper ya JF Hapa

Watu8

Platinum Member
Joined
Feb 19, 2010
Posts
77,326
Reaction score
111,545
Waungwana habari za leo, katika zile juhudi zetu za Photoshop leo nimeonelea niwape wallpaper yenye theme ya ki-JF...naamini mtaipenda na mtaitumia kwenye computer zenu.
Resolution: 1920 x 1200 in pix...inafaa kwa screen kubwa
Format: png

attachment.php

Wallpaper 2: Happy Holidays
Resolution: 1920 x 1200
Format: png
Happy Holidays.jpg

Wallpaper 3: Merry Christmas
Resolution: 1920 x 1200
Format: png
Merry Christmas.jpg

Wallpaper 4: I Love JF 1
Resolution: 1920 x 1200
Format: png
love jf 1920 x 1200.jpg

Wallpaper 5: I Love JF 2
Resolution: 1680 x 1050
Format: png
love jf 1680 x 1050.jpg

Wallpaper 6: JF
Resolution: 1680 x 1050
Format: png
JF 1680 x 1050.jpg

Wallpaper 7: JF Kilimanjaro
Resolution: 1280 x 768
Format: png
JF Kilimanjaro 1280 x 768.png
 
Attachments

  • JF.jpg
    JF.jpg
    40.6 KB · Views: 7,572
nice umenipa wazo asee ntaleta yangu pia

Sure mkuu, tuoneshe ujuzi wetu uliofichika pengine siku moja tutakua kama kina Bill Gates. Nilikua nimekaa kaa tu hapa ofisini bila kazi ndio hii idea ikanijia haraka nikafungua photoshop yangu ya kizamani nikatoa hiyo kitu kaka...
Nadhani ina resolution nzuri huko kwako...
 
watu8 naomba nikuletee pic yangu fulani uienhance na kuifotoshopuuu.................niibandike kwenye wallpepa ya simu yangu
 
Last edited by a moderator:
Imetulia mkuu, hongera sana na mimi ngoja nikajingunje kwenye 3ds max nione kama naweza pata kitu cha kuvutia.
 
Ngoja niongee na wakuu niweke uzi sticky kwa ajili ya wallpapers za desktop za jf, mtengeneze mnaoweza kisha muwe mna submit kwangu naziweka kwenye uo uzi ambao utakuwa sticky ili watu wawe wanadownload, au vipi wadau?
 
hezbend vp kuhusu mobile users... je inawezekana?¿¿
 
Ngoja niongee na wakuu niweke uzi sticky kwa ajili ya wallpapers za desktop za jf, mtengeneze mnaoweza kisha muwe mna submit kwangu naziweka kwenye uo uzi ambao utakuwa sticky ili watu wawe wanadownload, au vipi wadau?

ni wazo poa sana mkuu mod....
 
Waungwana habari za leo, katika zile juhudi zetu za Photoshop leo nimeonelea niwape wallpaper yenye theme ya ki-JF...naamini mtaipenda na mtaitumia kwenye computer zenu.
Resolution: 1920 x 1200 in pix...inafaa kwa screen kubwa
Format: png

wakora waitu daddy¡¡¡
 
Mkuu iko poa ila kwa upande wangu ungepunguza kidogo mg'ao wa maandishi meusi na hiyo chata ya JF
 
watu8 naomba nikuletee pic yangu fulani uienhance na kuifotoshopuuu.................niibandike kwenye wallpepa ya simu yangu

haina shaka Paloma, utaniPM tujue jinsi ya kufanikisha hilo...
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom